Dr. Kipilimba atakuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa au Usalama wa Magufuli kisiasa?

Status
Not open for further replies.
Hata Lowasa angeshinda Urais Waziri Mkuu lazima angempa Mbowe...

Badala ya kumlalamikia Rais ni vyema tungejiangalia Kwanza ndani ya vyama vyetu teuzi zetu tunateuna kwa utaratibu upi.?

Kama tunaangalia huyu ni upande upi .... au huyu amekifanyia nini Chama ndio tunamteua haina haja ya kumlaumu Rais.

Vyama vya siasa ndio vinaongoza kuvunja katiba zao kwa maslai ya wachache..... halafu ndio kundi la kwanza kujidai kutetea katiba.

Tujiulize kama viongozi wa vyama wanazifanyia figisu katiba zao kwa maslai yao .....je wakipewa nchi watakuwa Na udhubutu gani wa kuisimamia katiba bila kuifigisu.

Mchumia Janga hula........
 
Anaandika Comrade Ben-Rabiu Wa Saanane.

Nilifunzwa kusema ukweli,nikafunzwa kutilia shaka kila kitu.Doubting Everything. Leo Rais Magufuli amemteua Mkurugenzi Mkuu Mpya wa Usalama wa Taifa(TISS) Dr.Modestus Kipilimba. Kabla hajaapishwa baadae leo nafukua Makaburi mawili.

Haya tuanze, Mwaka jana kipindi cha Uchaguzi tulilalamika .Zipo tuhuma zilizopaswa kuwa cleared kwanza maana nafasi hii inahitaji Intergrity.Wengine tulitilia mashaka kustaafu kwa Rashid Othman muda huu hapo majuzi.Nanukuu yale ya Mwaka jana hapa.

"MKAKATI WA KUIBA KURA WANASWA

* NEC YAHUSIHSHWA. MSIMAMIZI MKUU NI DR. MODESTUS KIPILIMBA

* ALIKUWA MTUMISHI WA BOT, AKADAGANYA KACHUKUA LIKIZO KUMBE KAENDA NEC KWA KAZI MAALUM.

Niliposikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wamekubali matokeo kubandikwa ukutani kwenye vituo husika, niliwaza sana ni jinsi gani CCM inanusurika. Kwa bahati nzuri imegundulikwa kwamba mchezo wote utafanyika kwenye mfumo wa ujumlishaji wa matokeo "Tallying System".

Msimamizi mkuu wa hili zoezi ni Dr. Modestus Kipilimba ambaye katoka BOT (Bank of Tanzania) na kupelekwa ofisi za NEC kwa kile kinachoitwa kazi maalum....

* Dr. Modestus Kipilimba ni nani?..... (Tuanzie hapo)...

Dr. Kipilimba alikuwa mtumishi wa BOT Miaka kadhaa iliyopita. Baada ya BOT kuhusishwa na wizi wa mabilioni ya fedha katika taasisi hiyo taarifa zilitoka kuwa aliachishwa kazi kwa barua namba MFP/BOT/PF/24/03. Baada ya kufukuzwa kazi alikimbilia nje ya nchi (Uingereza) ambapo alienda kusoma zaidi.

Baada ya Prof. Ndulu kuwa gavana wa Bank, Ndugu Kapalimba haijulikani jinsi alivyorudi kazini. Ila ni wazi alipitia mlango wa nyuma, baada ya uongozi wa juu wa banki hiyo kupewa agizo la Dr. Kapalimba kurudishwa kazini. Dr. Kapalimba akaajiriwa tena kwa mara ya pili na kupewa cheo cha "Bank Advisor". Kwa muda mfupi akapandishwa cheo na kuwa mkurugenzi wa idara ya Risk Mgt(Maafa).

Mwezi uliopita Dr. Kapalimba kwa taarifa zilizopo BOT zinaonyesha Kapalimba kachukua likizo. Ila cha kushangaza huyo bwana yupo anafanya kazi NEC na kapewa idara nyeti ndani ya kurugenzi ya IT .Anaongoza kitengo cha TEHAMA Na pia ni yeye aliyepewa jukumu la kupokea na kusambaza makaratasi ya kupigia kura.

Dr. Kapalimba ni mtaalamu wa IT, aliyepeta elimu hiyo nje ya nchi na ni moja wa watu wanaosifika kwa utaalam huo. Idara nyingi za serikali imekuwa ikimtumia kwa operation mbalimbali...

NB:.. Baada ya hili kujulikana sasa tunaomba tume ya uchaguzi ikubali ombi la Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. La kutaka mfumo wa kujumuisha idadi za kura ukaguliwe mara moja na vyama vyoto wakiwemo CCM...

Kukagua mfumo husika ndio suluhu kwa sasa. Ila bila NEC kuruhusu hilo, bao la mkono litakuwa hapo...."

Mwisho wa Kunukuu habari hiyo.

Sasa Kabla Mwaka haujaisha Mhusika amepewa Ukurugenzi wa Usalama.Je hii ni Zawadi?

Je,atakua mkurugenzi wa Usalama wa Taifa au Usalama wa Magufuli kisiasa?

Je,Tunaweza kumuamini?

Anayo maadili yasiyotiliwa Shaka?

Oh Kabla sijasahau hivi ile Kampuni ya Infosys iliyomilikiwa na Charles Kitwanga iliyofanya kazi na Lugumi hivi Jina la Modestus Kipilimba si ndio hilihili?

Ni vyema tuhuma hizi na rekodi hii ingesafishwa kabla ya kupewa heshima kubwa kama hii.Tuhuma hizi sikuona kama ziliwahi kujibiwa popote .Ziliwahi kujibiwa?

Aluta Continua,Victory Ascerta....

Ben Saanane
WAAMBIE WALIO KUTUMA HII HAINAGA USHEMEJI..........
 
Anaandika Comrade Ben-Rabiu Wa Saanane.

Nilifunzwa kusema ukweli,nikafunzwa kutilia shaka kila kitu.Doubting Everything. Leo Rais Magufuli amemteua Mkurugenzi Mkuu Mpya wa
Usalama wa Taifa(TISS) Dr.Modestus Kipilimba. Kabla hajaapishwa baadae leo nafukua Makaburi mawili.
Haya tuanze, Mwaka jana

kipindi cha Uchaguzi tulilalamika .Zipo tuhuma zilizopaswa kuwa cleared kwanza maana nafasi hii inahitaji Intergrity.Wengine tulitilia mashaka kustaafu kwa

Rashid Othman muda huu hapo majuzi.Nanukuu yale ya Mwaka jana hapa.
"MKAKATI WA KUIBA KURA WANASWA
* NEC YAHUSIHSHWA.
MSIMAMIZI MKUU NI DR. MODESTUS KIPILIMBA

* ALIKUWA MTUMISHI WA BOT, AKADAGANYA KACHUKUA

LIKIZO KUMBE KAENDA NEC KWA KAZI MAALUM.
Niliposikia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wamekubali matokeo kubandikwa ukutani kwenye vituo husika, niliwaza
sana ni jinsi gani CCM inanusurika. Kwa bahati nzuri imegundulikwa kwamba mchezo wote utafanyika kwenye mfumo wa ujumlishaji wa matokeo

"Tallying System".
Msimamizi mkuu wa hili zoezi ni Dr. Modestus Kipilimba ambaye katoka BOT (Bank of Tanzania) na kupelekwa ofisi za NEC kwa kile kinachoitwa kazi maalum..
..
* Dr. Modestus Kipilimba ni nani?..... (Tuanzie hapo)...

Dr. Kipilimba alikuwa mtumishi

wa BOT Miaka kadhaa iliyopita. Baada ya BOT kuhusishwa na wizi wa mabilioni ya fedha katika taasisi hiyo taarifa zilitoka kuwa aliachishwa kazi kwa
barua namba
MFP/BOT/PF/24/03. Baada ya kufukuzwa kazi alikimbilia nje ya nchi (Uingereza) ambapo alienda kusoma zaidi.
Baada ya Prof. Ndulu kuwa gavana wa Bank, Ndugu
Kapalimba haijulikani jinsi alivyorudi kazini. Ila ni wazi alipitia mlango wa nyuma, baada ya uongozi wa juu wa banki hiyo kupewa agizo la Dr. Kapalimba kurudishwa kazini.
Dr. Kapalimba akaajiriwa tena kwa mara ya pili na kupewa cheo cha "Bank Advisor". Kwa muda mfupi akapandishwa cheo na kuwa mkurugenzi wa idara
ya Risk Mgt(Maafa).

Mwezi uliopita Dr. Kapalimba kwa taarifa zilizopo BOT zinaonyesha Kapalimba kachukua likizo. Ila cha kushangaza huyo bwana yupo
anafanya kazi NEC na kapewa idara nyeti ndani ya kurugenzi ya IT .Anaongoza kitengo cha TEHAMA Na pia ni yeye aliyepewa jukumu la kupokea

na kusambaza makaratasi ya kupigia kura.
Dr. Kapalimba ni mtaalamu wa IT, aliyepeta elimu hiyo nje ya nchi na ni moja wa watu wanaosifika kwa utaalam huo.
Idara nyingi za serikali imekuwa ikimtumia kwa operation mbalimbali...
NB:.. Baada ya hili kujulikana sasa tunaomba tume ya uchaguzi ikubali ombi la Kaimu
katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. La kutaka mfumo wa kujumuisha idadi za kura ukaguliwe mara moja na vyama vyoto wakiwemo CCM...



Kukagua mfumo husika ndio suluhu kwa sasa. Ila bila NEC kuruhusu hilo, bao la mkono
litakuwa hapo...."


Mwisho wa Kunukuu habari hiyo.
Sasa Kabla Mwaka haujaisha Mhusika amepewa Ukurugenzi
wa Usalama.Je hii ni Zawadi?

Je,atakua mkurugenzi wa Usalama wa Taifa au Usalama wa Magufuli kisiasa?



Je,Tunaweza kumuamini?

Anayo maadili yasiyotiliwa
Shaka?
Oh Kabla sijasahau hivi ile Kampuni ya Infosys iliyomilikiwa na Charles Kitwanga iliyofanya kazi na Lugumi hivi Jina la Modestus

Kipilimba si ndio hilihili?
Ni vyema tuhuma hizi na rekodi hii ingesafishwa kabla ya kupewa heshima kubwa kama hii.Tuhuma hizi sikuona kama
ziliwahi kujibiwa popote
.Ziliwahi kujibiwa?

Aluta Continua,Victory Ascerta....
Ben Saanane

Kumbe bado hujagusa kina cha bahari ndio maana huoni wapi Nyangumi wanazaliana unaona usioyaona na unajua usioyajua
 
Msema Ukweli Mpenzi wa Mungu.... Huyu Mungu anachezewa atakavyo Bora sie tusiomuamini kuwa Hayupo... Wanamuamini wanamchezea kama Kitenesi kwenye uwanja wa Barafu.... Tusiamini Oyeeeeee!
 
kweli we ni chaumbea ukiambiwa uthibitishe kauli yako utasemaje maana inazua walakini wa 2020 unachochea uvunjifu wa amani kwa majibu yako kijana chunga sana ulimi wako na mahaba niue yako .
Ccm huyo, hapa anasema kwa niaba ya chama chake.
 
Hivi huko TISS hakukuwa na watu ambao wangefaa zaidi kupewa hiko cheo kuliko kumtoa mtu kutoka taasisi nyingine?
Mkuu huwezi jua Hawa watu hawajipangi kama jeshi la polisi ,wametawanyika sehemu nyingi ili wapate undani wa jambo au mambo.Sishangai huyu Spy Master no.1 hajaokotwa benki kuu au Nida,kule na kwingineko ambako hatujui amepitia kama mmoja ya kazi yake.Kumbuka hili neno Inteligensia kwa wao ni watu kichwa hasa ndio sifa ya kwanza,kama kichwa ni cha wastani hutaishia kazi za kiaskari zaidi.Na huyo jamaa mnaona Daktari wa TEHAMA,
 
Mkuu huwezi jua Hawa watu hawajipangi kama jeshi la polisi ,wametawanyika sehemu nyingi ili wapate undani wa jambo au mambo.Sishangai huyu Spy Master no.1 hajaokotwa benki kuu au Nida,kule na kwingineko ambako hatujui amepitia kama mmoja ya kazi yake.Kumbuka hili neno Inteligensia kwa wao ni watu kichwa hasa ndio sifa ya kwanza,kama kichwa ni cha wastani hutaishia kazi za kiaskari zaidi.Na huyo jamaa mnaona Daktari wa TEHAMA,
Nilikuwa sija consider kuhusu hilo, you might have a point.
 
Ccm huyo, hapa anasema kwa niaba ya chama chake.
:):) namjua sana na yeye ni mmoja wa wasio na hekima ktk matamko yake anadhani anajenga kumbe anabomoa hawa ndo wachafua amani lakini nyani haonagi kundule siku zote........ananichefuaga kweli maana si kwa mahaba haya
 
Kila kitu mnakiona cha kisiasa hawa ukawa inaonekana wamefilisika fikra hata usalama wa nchi mnautafsiri KIUKAWAUKAWA,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom