Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 882
- 1,029
Huna akili wew science ndo uongozi kwel ndo maana lowasa alisema elimu elimu elimu kwa ajil ya watu wenye fikra finyu kama wewe
Mkuu utakuwa umesoma hkl ww
Huna akili wew science ndo uongozi kwel ndo maana lowasa alisema elimu elimu elimu kwa ajil ya watu wenye fikra finyu kama wewe
Mkuu utakuwa umesoma hkl ww
We mwanasayansi tuambie mpaka sasa nini umevumbua?Mkuu utakuwa umesoma hkl ww
Hii nchi toka inapata uhuru haijawahi kuongozwa na wanasayansi' huu ni wakati wa kufanya mabadilko ya kwenda na magufuri mwanasayansi tunayetegemea kutuletea mabadiliko ya kweli' Kama ww ni mwanasayansi ungana na mimi tumpeleke magufuri ikulu na Kuweka historia ya mwanasayansi kushika nchi kwa mara ya kwanza
Magufuli umeshinda na tutakuapisha tu. Wengine watulie tuhapa ni magufuli,scientist.hapa kaz tuu
Dr. Magufuli ni msomi kweli kweli anatufaa hasa kwa uzalendo wake. Tanzania itapendeza sana wakati wa utawala wake.Ili kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...
Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..
Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...
Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,
Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..
Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..
Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.
The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..
DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
eee Bwana CCM hawafai kuongoza minaadamu
eee Bwana CCM hawafai kuongoza minaadamu