DR Fortunatus Masha

Mambuchi

Member
Jan 24, 2012
44
11
Aslaam Aleukum.

Naomba kujua kama huyu Dr Fortunatus Masha wa UDP ni yule aliyekuwa waziri wa Mambo ya ndani? Kama siye, yeye yuko wapi kwa sasa.
 
Huyu ni baba yake na Lawrence Masha wa CCM ambae ndo alikuwa waziri na mbunge aliyepigwa chini na Wenje huko Mwanza. Baba yuko UDP na mwanae yuko CCM. Nadhani umeelewa. Funga Thread!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom