Dr. Dr. Dr. JK anataka kuunda serikali ya mseto na Dr. Slaa?

Dua la kuku hilo! Slaa hana lolote,kadangaya ameibiwa kura kumbe fix tu! kwanza watanzania walimshitukia ni mtu wa kukurupuka eti cement itakua 5000 tsh! ni kichekesho hiyo bei from which calculation! mnakuwa na ushabiki wa kimahaba kwa Slaa! nashauri afanye mpango wa kuoa kwanza manake bado hata la ndoa lina mshinda leo awe PM! Umri wake bado ana mchumba! useless man!
 
Nafunga mjadala kwa kukwambia Ndg Kibunango............. HUJUI ULICHOKUWA UMEANDIKA.
Sidhani kama una jukumu la kufunga huu mjadala zaidi ya Mods kupitia kwa Ng'wanangwa alijeanzisha mjadala! Anyway slaa sio mstaarabu ndio maana akaitwa fisadi kiwembe.
 
Sijafunga mjadala MKUU... ila nimefunga mjadala wa wewe KUNIAMBIA AMEPATA AIBU KWA WASTAARABU... na wewe kushindwa japo kuthibitisha wastaarabu ni wapi hao.

Kwa kuwa umeshindwa kuthibitisha wastaarabu NDO NIKAAMUA KUFUNGA MJADALA. Kwa kuwa kama unafuata misingi ya avatar yako naamini HAKUNA MSTAARABU HUKO... ila kama ni kinyume cha avatar uloiweka then unaweza kuwataja millions of them bro...
 
ni mtu wa kukurupuka eti cement itakua 5000 tsh! ni kichekesho hiyo bei from which calculation!
Mark bei sahihi ya Cement mwaka 2011 mwezi June. Endelea kufuatilia bei za vitu, now that we have a president ambaye hakurupuki! Ila tu usilie wala kulalama :drum:
 
Lau CCM ingekuwa imeingia madarakani kwa nia hasa ya kumkomboa maskini wa tanzania ingewezekana serikali ya mseto,
Tatizo CCM iko kimaslahi zaidi, na kulinda siri zao zisivuje, Lakini kwakuwa dunia inaona ujinga wa viongozi wa CCM leo, tutarajie hawa jamaa kushindwa na hata kupoteza uwezo wa kuongoza dola la Tanzania siku za karibuni, kwani sasa mfumo wanaotumia wa Bora liende utashindwa kuendelea kuwa applied siku za usoni.
 
Dua la kuku hilo! Slaa hana lolote,kadangaya ameibiwa kura kumbe fix tu! kwanza watanzania walimshitukia ni mtu wa kukurupuka eti cement itakua 5000 tsh! ni kichekesho hiyo bei from which calculation! mnakuwa na ushabiki wa kimahaba kwa Slaa! nashauri afanye mpango wa kuoa kwanza manake bado hata la ndoa lina mshinda leo awe PM! Umri wake bado ana mchumba! useless man!

Ndio ufahamu na uono wako ulipo komea si kosa lako Kuna nchi Hivi sasa wananchi wao ambao hawana kazi wanalipwa mishahara kila mwezi; Marehemu Karume Aliweza kuwapa nyumba wananchi wake ni nini cement NYUMBA ambayo cement ni cha mtoto! Wizi wa kura umefanyika kama sivyo Dr Slaa tusinge muona mitaani maana sehemu ya muongo ni JERA Nakuhimiza hata wewe kama una ushahidi Dr ni muongo mpeleke mahakamani afungwe haki hiyo unayo mwana! Kuna wanadamu mahanithi hao nao hawana haki ya uongozi? Na mwenye haki ya kulalamika ni yule aliye onewa mbona yuko kimya? wewe ni nani. Ni ukweli mahitaji yetu nchi hii sio NYETI ya mwanamke au mwanaume labda wewe. Kudinda ugonjwa kiume pesa mwanangu Ndio sababu majukwaani walikuwa wananadi watatutoa vipi toka magumu haya tulionayo na si vinginevyo Wewe umebakia kwenye uchumba uzee mh! Kazi kweli kweli. MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI;!
 
kumpa nchi dk slaa kuzidi kuingamiza nchi. dk slaa hawezi kuongoza anajua kukurupuka. kutulia kwake kunaonyesha jinsi alivuyokata tamaa. hasa 2015 pengine akisimamishiwa mkatoliki mwenziwe ccm hapo tena amemalizika kabisa

God of Love,
Help me with those who are difficult to love.

Dua la kuku hilo! Slaa hana lolote,kadangaya ameibiwa kura kumbe fix tu! kwanza watanzania walimshitukia ni mtu wa kukurupuka eti cement itakua 5000 tsh! ni kichekesho hiyo bei from which calculation! mnakuwa na ushabiki wa kimahaba kwa Slaa! nashauri afanye mpango wa kuoa kwanza manake bado hata la ndoa lina mshinda leo awe PM! Umri wake bado ana mchumba! useless man!

serikali ikiamua inaweza. ndo maana kuna kitu kinaitwa ruzuku. acha ukiazi best
 
kumpa nchi dk slaa kuzidi kuingamiza nchi. dk slaa hawezi kuongoza anajua kukurupuka. kutulia kwake kunaonyesha jinsi alivuyokata tamaa. hasa 2015 pengine akisimamishiwa mkatoliki mwenziwe ccm hapo tena amemalizika kabisa

katika watu wap... we number ya kwanza.
 
kumpa nchi dk slaa kuzidi kuingamiza nchi. dk slaa hawezi kuongoza anajua kukurupuka. kutulia kwake kunaonyesha jinsi alivuyokata tamaa. hasa 2015 pengine akisimamishiwa mkatoliki mwenziwe ccm hapo tena amemalizika kabisa

Ivorian Supporters say They Will 'Fight to Death' for Gbagbo.
ms say he will fight to death for his presedent
Need I to say more?
 
Magufuli alitosha kuwa PM lakini sijui kwanini wamemrudisha huyu harmless creature!

hahahahaha dah,sikuwahi kufikiria magufuri angekuwa pm ingekuwa vipi tanzania,nadahani jk angepata atleast picha ya vipi waongoze nchi
 
maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna wikiliki inamsubiri. hapohapo kuna mgao wa umeme. hapohapo kuna dowans. hapohapo kuna kupanda kwa gharama ya umeme licha ya kuwa umeme wenyewe tiamaji-tiamaji. Slaa mwenyewe katulia tuli. kama maji mtungini. hana tyme. lakini mambo ya government ya jk hayaendi kabisa. hajui hata aanze na lipi amalize na lipi. jk sasa anatia huruma.

inabidi amuite Slaa ili ampe u-PM? kama alivyofanya mwenzake Kibaki?

Hii thread imekaaje,kichwa wala miguu siini kaazi kweli kweli.
 
Angekuwa anaona mbali asingeweza kuuvaa mkenge uliomtia doa kwa wastaarabu.

Inaonekana inakuuma sana swala hilo,unalo babu.Sisi mambo yake binafsi halali yake.wewe ndiyo unaona limemchafua unaloooooooooooooo.
 
maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna wikiliki inamsubiri. hapohapo kuna mgao wa umeme. hapohapo kuna dowans. hapohapo kuna kupanda kwa gharama ya umeme licha ya kuwa umeme wenyewe tiamaji-tiamaji. Slaa mwenyewe katulia tuli. kama maji mtungini. hana tyme. lakini mambo ya government ya jk hayaendi kabisa. hajui hata aanze na lipi amalize na lipi. jk sasa anatia huruma.

inabidi amuite Slaa ili ampe u-PM? kama alivyofanya mwenzake Kibaki?

Slaa hawezi uongozi wowote zaidi ya ya ubunge, ndio level yake, na tungemchagua kuwa rais tungekoma hana uwezo huo wa kukalia kiti kile ndio maana wananchi walilitambua hilo na kumpa JK ushindi wa kishindo kama sio wa sunami. Slaa amekaa kimya kwa aibu ya kushindwa, kama jinsi wafuasi wake walivyo kimya na wengine kumuombea mabaya JK kama wewe ufanyavyo, dua la kuku.......
 
maana kakabwa kweli. anajuta kuchakachua. anawaza safari za nje safari hii sijui itakuwa vipi. euronews wamerusha picha za kikatili wa polisi zidi ya maandamano ya amani ya waTZ. hapohapo kuna wikiliki inamsubiri. hapohapo kuna mgao wa umeme. hapohapo kuna dowans. hapohapo kuna kupanda kwa gharama ya umeme licha ya kuwa umeme wenyewe tiamaji-tiamaji. Slaa mwenyewe katulia tuli. kama maji mtungini. hana tyme. lakini mambo ya government ya jk hayaendi kabisa. hajui hata aanze na lipi amalize na lipi. jk sasa anatia huruma.

inabidi amuite Slaa ili ampe u-PM? kama alivyofanya mwenzake Kibaki?

Ameisha oa huyu Slaa kwanza ????? Padri mzima mkatoliki anavunja amri ya 6, kweli ufalme wa mbingu kwake ni ndoto kabisa
 
Dua la kuku hilo! Slaa hana lolote,kadangaya ameibiwa kura kumbe fix tu! kwanza watanzania walimshitukia ni mtu wa kukurupuka eti cement itakua 5000 tsh! ni kichekesho hiyo bei from which calculation! mnakuwa na ushabiki wa kimahaba kwa Slaa! nashauri afanye mpango wa kuoa kwanza manake bado hata la ndoa lina mshinda leo awe PM! Umri wake bado ana mchumba! useless man!

Nahisi u mmoja wao
 
Mimi kwa maoni yangu nasema bado watanzania wana maisha matamu sana ndio maana wengi wao vichwa ni konokono, humu wengine wanaochangia michango ya kubeza maendeleo msidhani wote wametumwa na ccm, hapana, wengi wao hata hayo makazi wanakaa kwa shemeji zao, waliowaolea dada zao, unakuta mtu amepewa kikazi cha kukusanya miatano miatano kwenye internet cafe ya shemeji yake madhala yake ndio haya hoja za hovyo hovyo,mimi ningependelea mkwere na kampuni yake waendelee kuikamuwa nchi kwa nguvu, kasi, na hali mpya, ili kufikia uchaguzi ujao kusiwe na shida ya kumueleza mtu kwamba kuchaguwa tena ccm ni kuchaguwa maafa, yaani ccm ni janga la kitaifa. wacha watanzania wapate msoto wa nguvu ndio watajifunza. mimi binafsi nimeshajifunga kibwebwe kwa miaka hii mitano ya mateso.
 
Back
Top Bottom