Dr Benson Banna: Mimi ni muumini wa serikali moja

Kuna kipindi nilisikia ni mshauri wa rais wa mambo ya siasa, kwahiyo hawezi kuwa na ujasiri wa kukosoa.
 
Wana jamvi ameyasema hayo leo katika kipndi cha barugumu chanel kua ni sahihi kwakufukuzwa mwanasheria mkuu wa zanzibar kwakua ametenda kosa la kiuongozi kwakuayupo chini ya mamlaka ya rais
hizi doctorate zingine ni shida sana. sasa kwa nini kulikuwa na upigaji wa kura kama kilikuwa kinajulikana kitakachokuwa mwishoni? siwangesema watu wenye vyeo fulani hawapigi kura kwani wao ni lazima wakubaliane na kilichopo? nchi hii ngumu. da!
 
Polepole mkuu ,usiongelee mtu mmoja au wawili ,chuo chetu ni chuo BOra Afrika ...hata wewe unajua ,lakini inatokea ndani ya uzuri kuna ubaya ,kwa Tanzania ni bahati mbaya kwa CHUO KIKUU BORAK UTOA RAIS BOMU NA MHADHIRI KAMA DK BANA!
Huyu mzee kila siku yupo kwenye Tv, anafundisha saa ngapi? UDSM ndio chanzo cha umaskini wa hii nchi. Heri Sasa vyuo vimeanza kuwa vingi huenda Tanzania ikaanza kuwa na maendeleo maana hawa wasomi wa UDSM na walimu wao Ni majanga ya kidunia.
 
Back
Top Bottom