Dr. Batilda Salha Buriani unayafanya haya kwanini?

Jamani mbona mnakuwa watu wa kubadili hoja kuzifanya kuwa za majungu ? Huyu mama she never want to be known kwamba anabagua .Yeye huomba marafiki zake kwamba wamtafutie na huwa hasemi mtu wa dini ipi .Ila kwa ndani sasa yaani nyumbani kwake hataki uislam . Je unajua habaru hizi zinatoka ndani kabisa kwa wale ambao ni wakristo ambao anakaa nao ? Unajua kuna mzee mmoja jina nalihifadhi nasema haya ili mkisha mweleza a recall kumkataza mzee mmoja kuja kuwachukua Mama yake mzazi na wale ndugu zake wengine kwenda nao Kanisani kwa lift ya gari kwa kusema wanamchosha mzee na hivyo wabakie tu ndani ? Anadai kuendelea kutamka Yesu ndani kwake mwanae mdogo wa miaka karibia 2 na watoto wa mumewe ambao ni wakubwa ana kaa nao wana kwazika maana wao ni Waislam .Je unajua kwamba wakati wa ramadhani hajali wewe ni mkristo wala nini lazima wote kufunga maana hamuweza kula nyumbani wake wakati yeye anafunga ?

Rudi kaulize tena naweza sasa kuanza kutoa namba za simu za wahusika wote nilio wataja muwaulize .Wanahasema si kwamba wana madai kwa kulipwa kidogo hapana bali wanasikitika matendo ya huyu Mama na unyama wake kwao . Wanaogopa hata kumface maana wanasema anasema ana madaraka makubwa wanaweza kuishia pabaya . Mimi kuleta habari hizi hapa si kumharibia ila kumpa habari kwama watu wanajua sasa anavyo nyanyasa watu hata kutowalipa nk .
 
Ingawa kila mtu anakuwa na imani yake. Tanzania bado ni nchi inayokubali na kuruhusu watu kufuata dini mbali mbali (ili mradi zinakubalika kisheria). Mheshimiwa kwa nini asitafute msaidizi wa ndani ambaye hawatapingani katika mambo ya imani? Lakini hili ni dogo. KUBWA NI WAZIRI KUWA NA MFANYAKAZI AMBAYE HANA MAKARATASI. NA KAMA ANAYO! JEE TUMEKOSA WA TANZANIA WA KUFANYA HIZO KAZI KWAKE? AU NDIO MA TX MPAKA MAJUMBANI? AU NDIO KULEWA MADARAKA?

Mkuu nandhani ni kwasababu ya kuchafua kila kona nchi nzima kaona hana kwa kwenda kupata yaya akaamua kuvuka mipaka.
 
Nakandamiza Kibara;"Jamani mbona mnakuwa watu wa kubadili hoja kuzifanya kuwa za majungu ? Huyu mama she never want to be known kwamba anabagua .Yeye huomba marafiki zake kwamba wamtafutie na huwa hasemi mtu wa dini ipi .Ila kwa ndani sasa yaani nyumbani kwake hataki uislam . Je unajua habaru hizi zinatoka ndani kabisa kwa wale ambao ni wakristo ambao anakaa nao?"

Majungu? haya umayaleta wewe! na ndio, ni majungu haya!
Kuna hoja gani humu?

nafikiri ulishawataja humu!


"Unajua kuna mzee mmoja jina nalihifadhi nasema haya ili mkisha mweleza a recall kumkataza mzee mmoja kuja kuwachukua Mama yake mzazi na wale ndugu zake wengine kwenda nao Kanisani kwa lift ya gari kwa kusema wanamchosha mzee na hivyo wabakie tu ndani ? Anadai kuendelea kutamka Yesu ndani kwake mwanae mdogo wa miaka karibia 2 na watoto wa mumewe ambao ni wakubwa ana kaa nao wana kwazika maana wao ni Waislam .Je unajua kwamba wakati wa ramadhani hajali wewe ni mkristo wala nini lazima wote kufunga maana hamuweza kula nyumbani wake wakati yeye anafunga ?"

Rudi kaulize tena naweza sasa kuanza kutoa namba za simu za wahusika wote nilio wataja muwaulize .

Nafikiri tena, Wana hudhuria JF na watanzania wengine wangependa kujua! Naamini huko nyuma kuna mwanahudhuri alisema kuna wandishi wa habari ambao wanaweza kufwatilia hili...wape hizo simu tujue kwani upande wangu, haya ni majungu na nilishauliza huko kwani wewe ulinyimwa?

Unataka iwe vipi na huyu mama? aache tabia zisizoendana na uwaziri au aache tabia za kibinaadamu?

"Wanahasema si kwamba wana madai kwa kulipwa kidogo hapana bali wanasikitika matendo ya huyu Mama na unyama wake kwao . Wanaogopa hata kumface maana wanasema anasema ana madaraka makubwa wanaweza kuishia pabaya ."

Kwa sasa nafikiri kazi hawana! Ahasante kwako wewe kwa kumbandika hapa au kwa lugha uliyotumia Kum-deface!
Mimi kuleta habari hizi hapa si kumharibia ila kumpa habari kwama watu wanajua sasa anavyo nyanyasa watu hata kutowalipa nk .

Umeshawahi kumwandikia barua yeyote kuhusu haya na hakukujibu?
Umeshamharibia! Lete hizo namba watu wafuatilie...mapaka sasa haya ni majungu tu!
 
Majungu, fitna, ugombanishi at its best... wewe Nakandamiza huna hoja zaidi ya kuleta vioja.

Iweje asiependa ukristo aajiri mkristo? kwanini kibarua hicho asiwape "ndugu" zake waislam ktk kuendeleza "upendeleo" wake kwa waislam?

Hoja ya wafanyakazi wake hawana makaratasi: katika hili mkuu kwanini usiwasiliane na uhamiaji wawakate na kuwa deport na huyu mama ashughulikiwe na sheria. Do you want to convince us kuwa huyu mama is untoachable? dont think so... to me sound jungu of the highest order!

Eti kamlazimisha mama yake abadili dini.. huyo mama hana utashi kiasi cha kulazimishwa asilimu? hata kama ni kweli it has nothing to do with us here in JF.. acha kulishushia jamvi hadhi kujadili nani kasilimu nani karitadi nani kawa mlokole etc.

No wonder wengine wameamua kujadili eti anajirusha na EL.. it least that one fits JF bill......
 
Nakandamiza Kibara


ushindwe na ulegee

fitna sio mtaji na kuchafuliana sio ubinaadam. na kupandikiza fitna za kidini na hatari mno.

USHINDWE USHINDWE NA ULEGEEEE
 
Waandishi kwanza wachukue namba namba ya Mwanakijiji wamtafute Buriani na kumuuliza kabla nyie wapamba hamjaanza kumjibia then namba nisambaze kwenu . Mbona hao waandishi hawajamuuliza kuhusu haya na namba iko hapa ?

Masatu na Mtu wa Pwani na Kada Mpinzani hizi ndiyo zenu.Narudia kusema yeye huwa anaomba msichana wa kazi bila ya kusema preferences na akisha mpata cha moto ni ndani kwa ndani . What is not clear here guys ?
 
Nakandamiza Kibara weka namba za hao walokosa kazi..ACHA MAJUNGU na KUWACHAFULIA WATU WAJINA...
 
Chuma kwanza muulizeni Bi Salha juu ya habari hizi maana namba yake iko hapa ajibu then nitaweka .Ila yeye Salha kama anakutuma kwa speed hii kuwa makini .Huyu hachafuliwi jina anajua ninacho kisema kama anafuatilia hapa haya maongezi .
 
Kama yasemwayo na ndugu Nakandamiza Kibara ni ya kweli, basi Batilda ana-deserve hukumu iliyotolewa leo (dakika chache zilizopita) huko New York kwa couple iliyotenda mambo yanayoendana kabisa na yanayoelezwa humu.

Kwa kweli sioni tofauti yoyote katika tendo hili lililotokea huko New York na maelezo yaliyotolewa kwenye thread hii. Kama kweli nchi yetu inatawaliwa kwa utawala wa sheria basi responsible parties zitende majukumu yao accordingly..

Soma hapa chini for more information.


link: http://www6.comcast.net/news/articles/national/2007/12/17/Forced.Labor/

Couple Convicted in Slavery Case

By FRANK ELTMAN, AP
51 minutes ago
CENTRAL ISLIP, N.Y. -

A jury on Monday convicted a millionaire couple of enslaving two Indonesian women they brought to their mansion to work as housekeepers.

Mahender Murlidhar Sabhnani, 51, and his wife, Varsha Mahender Sabhnani, 45, were each convicted of all charges in a 12-count federal indictment that included forced labor, conspiracy, involuntary servitude, and harboring aliens.
Prosecutors said the women were subjected to repeated psychological and physical abuse and were forced to work 18 hours or more a day.

The Sabhnanis, who have four children and operate a worldwide perfume business out of their Muttontown home on Long Island's Gold Coast, could face up to 40 years in prison, although attorneys predicted the punishment would be considerably less. He is from India, and she is from Indonesia, but both are naturalized U.S. citizens

One of the couple's daughters, Dakshina, collapsed in the front row as the verdict was read, prompting the judge to clear the courtroom while medical personnel attended to her.

Defense attorney Jeffrey Hoffman said he would appeal. "Apparently, the jury was taken by the histrionics ..." of the Indonesian women, he said.

Fellow defense lawyer Stephen Scaring said another of the Sabhnanis' children, daughter Tina, told him: "We never did anything to anybody, how could this happen to us in America?"

Prosecutors refused to comment until court proceedings were completed.

A representative of the Indonesian consulate in New York declined to comment.

Prosecutors called it a case of "modern-day slavery." Assistant U.S. Attorney Mark Lesko said in closing arguments the poorly educated women worked as housekeepers for $100 or $150 a month _ all of which was sent to their relatives back home.

Lesko said the women, known only as Samirah and Enung, were subjected to "punishment that escalated into a cruel form of torture" that ended when one of the women fled on Mother's Day.

Allegations of abuse included beatings with brooms and umbrellas, slashings with knives, being made to repeatedly climb stairs and take freezing cold showers as punishment for misdeeds that included sleeping late or stealing food from trash bins because they were poorly fed.

Samirah, the woman who fled the house in May, said she was forced to eat dozens of chili peppers and then was forced to eat her own vomit when she failed to digest the peppers, prosecutors said.

"This did not happen in the 1800s," Lesko said. "This happened in the 21st century."

Enung testified that Samirah's nude body once was covered in plastic wrapping tape on orders from Varsha Sabhnani, who then instructed Enung to rip it off. "When I pulled it off, she was screaming," the housekeeper said through an interpreter before breaking down in tears on the witness stand.

The Sabhnanis' defense attorneys contended the two women concocted the story of abuse as a way of escaping the house for more lucrative opportunities. They argued the housekeepers practiced witchcraft and may have abused themselves as part of an Indonesian self-mutilation ritual. They also said the couple went on frequent vacations that would have given the two women ample opportunity to flee.

The Sabhnanis spent nearly three months in jail until a judge approved a bail package that required them to post $4.5 million and pay an estimated $10,000 a day for security monitoring while they were kept under house arrest. The bail package remained in effect Monday.
 
batilda.jpg
Mama Batilda Ni Mpenda Mashirikiano Tena Bila Ya Kubagua Hapa Anaonekana Akiwafariji Wafiwa Wa Mbunge Na Hawa Ni Wakristo.

Watu Kwa Kuchafua Hadhi Za Wengine Ni Hatari
 
View attachment 900
Mama Batilda Ni Mpenda Mashirikiano Tena Bila Ya Kubagua Hapa Anaonekana Akiwafariji Wafiwa Wa Mbunge Na Hawa Ni Wakristo.

Watu Kwa Kuchafua Hadhi Za Wengine Ni Hatari

Nakubaliana na wewe kwani katika shida lazima awe hivyo kuficha kucha kwa mbaaaaaaaaaaaali. Si ajabuamekwishaambiwa juu ya taarifa hizi na hivyo ana-ji-Camouflage. Mbinu hizo kule jeshini tuliita Mbinu za Midani a.k.a "MM".
Pili anahakikisha anatetea kitumbua chake kwa guvu zote na kwa gharama yoyote ile ili aendelee ku-survive.

Mbona wa JF kuna mmoja alisema kwamba atawasiliana na yeye moja kwa moja vipi hakua mwenye ubavu wa kumpigia huyu mama akamweleza juu ya tuhuma zinazo mkabili???
 
View attachment 900
Mama Batilda Ni Mpenda Mashirikiano Tena Bila Ya Kubagua Hapa Anaonekana Akiwafariji Wafiwa Wa Mbunge Na Hawa Ni Wakristo.

Watu Kwa Kuchafua Hadhi Za Wengine Ni Hatari


huwezi kum judge just kwa kumuona msibani...wa mkristo..thats is too superficial..kwani huyu uchumi unapaa si mkristo???....na hatukuyajua haya ya ubaguzi kabla...
 
Naweza kusema kwamba ninamfahamu Dk. Batilda Burian, lakini pia naweza kusema simfahamu.

Tatizo la haya mazingira ya kisiasa ya Tanzania ni kwamba, kila anayepanda daraja huwa na maadui wengi zaidi, hata kama yeye mwenyewe hajataka kuwapo na uadui. Wote mnajua jinsi Watanzania tulivyo hodari kwa wivu, husuda na chuki binafsi. Sitashangaa kusikia, hapo baadaye, kwamba, hii ni mojawapo ya mashambulizi ya kisiasa... watu wameshazushiwa wizi, kuwa HIV+ hata kufariki pia... sembuse kunyanyasa wafanyakazi wa ndani? Ndio maana hata nikipewa bure uongozi wa kisiasa ndani ya Tanzania kamwe sitakubali! Waachie wenye meno watafune... mimi nshakuwa kibogoyo! Hahahaha!
 
Naweza kusema kwamba ninamfahamu Dk. Batilda Burian, lakini pia naweza kusema simfahamu.

Tatizo la haya mazingira ya kisiasa ya Tanzania ni kwamba, kila anayepanda daraja huwa na maadui wengi zaidi, hata kama yeye mwenyewe hajataka kuwapo na uadui. Wote mnajua jinsi Watanzania tulivyo hodari kwa wivu, husuda na chuki binafsi. Sitashangaa kusikia, hapo baadaye, kwamba, hii ni mojawapo ya mashambulizi ya kisiasa... watu wameshazushiwa wizi, kuwa HIV+ hata kufariki pia... sembuse kunyanyasa wafanyakazi wa ndani? Ndio maana hata nikipewa bure uongozi wa kisiasa ndani ya Tanzania kamwe sitakubali! Waachie wenye meno watafune... mimi nshakuwa kibogoyo! Hahahaha!

Uzuri ni kwamba hapo kwenye msiba ni kwa shemeji yake.
 
Kiuswahili, msibani kina mama huenda na khanga.

Au hii haiwahusu waheshimiwa?
 
MwanaHaki kwa bahati nzuri sana mimi ni masikini jeuri sihitaji kumtafuta mtu ili nile sina uhusiano na siasa za Bongo wala sijahitaji kazi nikanyimwa na yeye .Nimekuwa mtumishi wa Seikali hii miaka mingi sana na huyu hajawahi hata kuwa boss wala wa rafiki yangu .Mimi nime andika kwa hisia kali maana walio athrika mbele ya huyu Mama ni pamoja na Mama yake mzazi ukiwasikia wanasema hutaamini . Mama yake mzazi hajawahi kusema nami ila wale walionipa habari wamesema hata Mama yake ilibidi siku moja aliye kwa kuwambiwa kwamba kampa ruhusa Esther kwenda Kanisani wakati kwake hakuna kitu kama hicho , mama yale alianza kulia sana akiomba kusamehewa na kwamba hataruhusu tena mtu kwenda Kanisani .

Unataka kusema mimi ninatumiwa ama wewe ndiye unatumiwa kuja kubadilisha habari hii ?
 
MwanaHaki kwa bahati nzuri sana mimi ni masikini jeuri sihitaji kumtafuta mtu ili nile sina uhusiano na siasa za Bongo wala sijahitaji kazi nikanyimwa na yeye .Nimekuwa mtumishi wa Seikali hii miaka mingi sana na huyu hajawahi hata kuwa boss wala wa rafiki yangu .Mimi nime andika kwa hisia kali maana walio athrika mbele ya huyu Mama ni pamoja na Mama yake mzazi ukiwasikia wanasema hutaamini . Mama yake mzazi hajawahi kusema nami ila wale walionipa habari wamesema hata Mama yake ilibidi siku moja aliye kwa kuwambiwa kwamba kampa ruhusa Esther kwenda Kanisani wakati kwake hakuna kitu kama hicho , mama yale alianza kulia sana akiomba kusamehewa na kwamba hataruhusu tena mtu kwenda Kanisani .

Unataka kusema mimi ninatumiwa ama wewe ndiye unatumiwa kuja kubadilisha habari hii ?

mbona mwenzetu weye mabuje weye
 
Uzuri ni kwamba hapo kwenye msiba ni kwa shemeji yake.


BABUUU TEH TEH TEH...NILIKUWA sujafikiria hilo ..aaahaa kumbe marehemu losurutia ni bwan shemeji wake...

kanga walisahau ....siunajua tena ubize...ndo maana wanasema pochi ya mwanamke shurti iwe na khanga ati!!!
 
Twaweza sema ni majungu na chuki sawa... lakini swali kubwa ni hili??

Vipi habari ya kusafiri na mtoto mdogo, hadi siku ya kwenda kuapishwa?? hili tu lina nishawishi niamini asilimia kubwa ya yaliyo semwa juu yake, kwani kama mambo yake na watumishi wake yange kuwa mazuri, asingelazimika kuwa na kichanga hicho safarini na kwenye dhifa ya kitaifa!
 
Back
Top Bottom