Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,575
- 113,767
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,
CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.
Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.
Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.
Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.
Paskali