Dr. Bashiru, If you are a man of Principles, Hata Wakushukie vipi Stand Firm!, Don't Apologize!, Utaheshimika Zaidi na Zaidi!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,503
113,616
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda heshima yako na integrity yako!, more and more kwa kuheshimika zaidi na zaidi.

Nashauri fuata kauli ya Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara isemayo “Better to die standing, than living on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na wewe umenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe misinterpreted na kueleweka vibaya.

Paskali
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kwa kumshukia kama mwewe huku wengine wakimkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda Integrity yako!. Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara Quote: “Better to die standing, than to live on your. “Better to die standing, than to live on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na yeye amenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe miss interp

Paskali
Pascal Mayalla, huyo Bashiru kaonja sumu ya panya, unataka abugie chupa nzima?
 
Mbona wewe uliomba msamaha ulivyoitwa bungeni?

Wewe siku hizi sio tena Paskali, wewe ni Piskali.
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kwa kumshukia kama mwewe huku wengine wakimkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda Integrity yako!. Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara Quote: “Better to die standing, than to live on your. “Better to die standing, than to live on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na yeye amenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe miss interp

Paskali

Mtu wa misimamo, au unamchora nini? Wakati wa Magufuli alipopewa cheo cha Ukatibu mkuu wa CCM alisema amepewa cheo kikubwa sana hadi ajue iweje. Akateuliwa kubwa karibu mkuu wa CCM, akasema hatakubali tena cheo kingine. Ila ajabu akateuliwa kuwa mbunge wa viti maalum. Saa hii na yeye anaomba maswali ya nyongeza. Mbona hakukataa huo ubunge kama kweli ana misimamo?

Ile demokrasia mnayohadaa wananchi kuwa iko ndani ya CCM iko wapi? Mbona huyo mtetemekea vyeo katoa maoni yake chama kizima mnamshambulia? Haya yalitokea kwa Ndugai pia. Au demokrasia yenu ni ya ndio mzee? Umeme na maji ni tatizo, hakuna mwanaccm anakuwa mkali, lakini maoni ya kipuuzi chama kizima kimeshikia bango.
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kwa kumshukia kama mwewe huku wengine wakimkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda Integrity yako!. Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara Quote: “Better to die standing, than to live on your. “Better to die standing, than to live on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na yeye amenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe miss interp

Paskali
Mosi: Unampoteza, atakula kwako? Mheshimiwa Mungu...nimeokotwa Jalalani... alikuwa anatetea kwenda chooni!
Pili: Once a traitor, always a traitor. It only takes true repentance and a turn -around to regain public Trust! (by Maria Sarungi, shangazi) Hiyo ndiyo concern ya wanaomshambulia na si kuwa anachosema ni uongo!
 
Usisahau pia kuwa Bashiri ni Muislamu, ndo maana hata jinsi anavyojibiwa ni kwa heshima husikii akiitwa kiroboto au sijui aambiwe “kazikwe naye Chato”, kuna limit how far they can go with him hata afanye nini huwezi kusikia kadhalilishwa utu wake hata siku moja, some people are more equal than others, and Muslims stick together no matter what, kama hauamini mshauri mtu kama Kabudi ajilipue halafu utasikia huo moto wake,…
 
Hamna kitu, hana principles zozote Bashiru
Kipindi Cha kabla hajateuliwa na jiwe alikuwa mtu wa kukosoa udikteta wa CCM ikiwemo na kutumia Katiba hii mbovu na Dola kubaki madarakani

Baada ya kuteuliwa akabadilika totally

Na alidai Tena ukatibu mkuu ndio cheo chake Cha mwisho Cha kuteuliwa
Ila ameteuliwa Mara 2 na kukubali
 
Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,

CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kwa kumshukia kama mwewe huku wengine wakimkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.

Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa, If You Are A Man of Principles, Hata Wapige Kelele Vipi, Watukane Vipi, Wakushukie Vipi kama Mwewe, Don't Do The Mistake ya ku Apologize!, Stand Firm With Your Opinion, Utalinda Integrity yako!. Mwanamapinduzi wa Cuba, Ernesto Che Guevara Quote: “Better to die standing, than to live on your. “Better to die standing, than to live on your knees.” — Ernesto Che Guevara.

Ila kama na yeye amenukuliwa vibaya, sio vibaya akatufafanulia, alimaanisha nini ili aeleweke vizuri, asiwe miss interp

Paskali

Kuna mtu ulitabiri ni mpakwa mafuta lakini hola!

Kazi ipo...
 
Usisahau pia kuwa Bashiri ni Muislamu, ndo maana hata jinsi anavyojibiwa ni kwa heshima husikii akiitwa kiroboto au sijui aambiwe “kazikwe naye Chato”, kuna limit how far they can go with him hata afanye nini huwezi kusikia kadhalilishwa utu wake hata siku moja, some people are more equal than others, and Muslims stick together no matter what, kama hauamini mshauri mtu kama Kabudi arudie ajilipue halafu utasikia huo moto wake,…
Hii sasa kali
 
Back
Top Bottom