DP World wataanza kufanya kazi baada ya Kubadilishana kwa hati za Mkataba

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Kwa mujibu wa Mazungumzo ya Msemaji Mkuu wa Serikali yanayoendelea Clubhouse Usiku huu, Julai 1, 2023, Gerson Msigwa akiwa na Msemaji Mwingine (Mwanasheria) anayefahamika kwa jina la Mohamed Salum wamesema IGA ni mkataba wa Kimataifa unaoitaka Serikali kuu pindi inapofanya majadiliano na nchi nyingine kusaini, na haimaanishi mkataba huo tayari umeanza kutekelezwa.

Aidha, baada ya maridhiano hayo, makubaliano hupaswa kupelekwa Bungeni ili upitishwe na wabunge kwa kuwa hulenga kubadilisha baadhi ya sheria za Nchi.

Ili mkataba huu uanze kufanya kazi ni lazima mabadilishano ya hati za Mkataba yafanyike. Hivyo, kwa sasa DP world hawajaanza kufanya kazi yoyote nchini na watu hawapaswi kudanganywa au kupotoshwa kuwa DP World tayari wameshaanza kufanya kazi wakati mabadilishano ya hati bado hayajafanyika.
 
Msemaji mkuu haaminiki alisema mkataba haujasainiwa,spika akasema haiwezekani upelekwe bungeni Kama haujasainiwa.anaropokaropoka tu.abakuwa Kama msemaji wa vilabu vya mpira
 
Back
Top Bottom