TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
MAWAZO YANGU! Kwanza nimpongeze sana baba yangu Rev.CHRIS MT,Sifa zake nazifahamu hasa aliponifanya niwachukie magabachori.sifa ya kusikia ni pale alipokuwa machachari wa kujenga hoja akiwa Tosamaganga Sec.School ambapo baba yangu 'alikaacha kakiwa Santen' Baba yangu alitumia neno 'kali' kwa sababu ya udogo aliokuwa nao Chris kadhalika babu yangu alimfumdisha History huyu Rev MT.SASA ANAZEEKA,FIKRA ZINADHOOFU KWA HIYO NAMSHAURI AFANYE KAMA Nccr AUNGANISHE NGUVU NA CDM ILI MAJIMBO YA MAKETE,LUDEWA YAWE NA WABUNGE TOKA DP. NAIMANI KWA HIYO ALLIENCE MH.REV MT UTAONYESHA UJASIRI UNAOWAKILISHA SISI WANYALU WOTE NA PIA KUMBUKA CDM NAO WANATUMIA KAULI MBIU KAMA YA DP YAANI SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA. Unganisha na uonyeshe uintellectual ambao Marehemu mwalimu wako wa history na mwl.mwakisusange walikuwa wanakusifia kwa ujasiri wako katika kweli.