DP iungane na CHADEMA

Mkuu, Kosa mojawapo tunalo lifanya ni hilo! Kama mwanadamu anayo madhaifu yake na si mkamilifu! Na dhamira inapo msuta anatubu mbele ya Mungu wake, haitupasi kumnyooshea kidole. Jee wewe binafsi umeteleza na kuanguka mara ngapi? Jee uliendelea kugalagala chini! Si uliinuka na kusonga mbele!

Mimi Naunga mkono hoja ya mtoa hoja!
Thanks!

Lakini msisahau siasa ni itikadi na mrengo. Mtikila ana sera za kihafidhina [Tanganyika] CDM iko moderate maana ina support muungano, pili, si lazima wote tukae zizi moja kwani ukombozi uko njia nyingi kuna wanaharakati, wasomi, majukwaa ya wahariri, n.k. Cdm inaongoza mbio hizo ila angalizo si lazima wote waingie humo
 
Back
Top Bottom