Inakua nzito kufunguka natumia nokia c2
thex Jf, kwny xperia x8 ipo poa sana. good job.
Downloaded the app and it worked great...the forum loads almost instantly. The problem is when i tried to use the app for the second time it didnt start...it just hang in the splash screen...hope developers will fix it soon.

Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo https://play.google.com/store/apps/developer?id=Home+of+Great+Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Thanks mkuu,it works fine
You are welcome mkuu. Usisahau kutoa maoni yako huko kwenye Google play store