Dowans imewashwa, umeme upo....???

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Ok sasa nisije kuwa natibua mambo; tuliambiwa tatizo la umeme linahitaji Dowans kuwashwa haraka na bila ya hivyo nchi itazidi kuwa gizani. Katika kauchunguzi kangu kadogo kanaonesha umeme unapatikana si kwa mgao mkali sana kama wiki chache zilizopita. Sasa nimejiuliza labda kwa vile tulikuwa tunafuatilia mambo ya Loliondo yawezekana tumeshindwa kujau hatua zilizochukuliwa. Yawezekana:

a. Mitambo ya Dowans imewashwa
b. Umeme kwenye Migodi umehamishwa uraiani? - ili na wao waonje uchungu?
c. Tanesco wametafuta umeme wa ziada...
d. ...
 
Mkuu sisi bado tuko Loliondo,Muvi letu likiisha labda tutakumbuka kuwa kulikuwa na Dowans maana huwa wakati mwingine tuna ugonjwa wa kusahau.
 
Huku kwangu JF Ville situmii jenereta:eek:hwell: , atiilisti for sasa:shocked:

Mzee MM, nafikiri ni D: all of the above?
 
hapakuwa na critical tatizo la umeme ...... kuleta mgao wa umeme ilikuwa ni conspiracy ili kuonyesha DOWANS ingekuwa ndiyo suluhisho pili ili kuhakikisha wananchi wanaweweseka ili wasipinge malipo ya tuzo ya DOWANS tatu walileta mgao makusudi ili kumtayarisha AL ADAWI kuja kuwasafisha wahusika na ili wananchi wamwone yeye ni mfalme na ndiye mwenye DOWANS .... yote haya yame backfire
 
Ok sasa nisije kuwa natibua mambo; tuliambiwa tatizo la umeme linahitaji Dowans kuwashwa haraka na bila ya hivyo nchi itazidi kuwa gizani. Katika kauchunguzi kangu kadogo kanaonesha umeme unapatikana si kwa mgao mkali sana kama wiki chache zilizopita. Sasa nimejiuliza labda kwa vile tulikuwa tunafuatilia mambo ya Loliondo yawezekana tumeshindwa kujau hatua zilizochukuliwa. Yawezekana:

a. Mitambo ya Dowans imewashwa
b. Umeme kwenye Migodi umehamishwa uraiani? - ili na wao waonje uchungu?
c. Tanesco wametafuta umeme wa ziada...

d. SERIKALI INAGAHARAMIA MAFUTA YA KUENDESHA MITAMBO YA IPTL
e. MVUA SI HABA ZINAPIGA
f. DOWANS WATEMA MITAMBO
g. WALIOKABIDHIWA MITAMBO YA DOWANS WANASUBIRI TENDER YA KUFUA UMEME WA DAHARUA ITANGAZWE
h.... KAMPUNI GANI IMERITHI MITAMBO YA DOWANS Mzee Mwanakijiji TWAMBIE
 
Kama sikosei nilisikia kwenye habari kuwa IPTL inatoa 70 MW. Vile vile baada ya mvua kuanza Pangani na Nyumba ya Mungu zimeweza kupunguza makali ya mgao. Kimbembe bado ni Mtera kwa sababu kina chake bado kipo chini sana na kikizidi kushuka makali ya mgao yataongezeka tena.

Tetesi nazosikia ni kuwa CTI wana mpango wa kununua ile mitambo ya Dowans
 
Ok sasa nisije kuwa natibua mambo; tuliambiwa tatizo la umeme linahitaji Dowans kuwashwa haraka na bila ya hivyo nchi itazidi kuwa gizani. Katika kauchunguzi kangu kadogo kanaonesha umeme unapatikana si kwa mgao mkali sana kama wiki chache zilizopita. Sasa nimejiuliza labda kwa vile tulikuwa tunafuatilia mambo ya Loliondo yawezekana tumeshindwa kujau hatua zilizochukuliwa. Yawezekana:

a. Mitambo ya Dowans imewashwa
b. Umeme kwenye Migodi umehamishwa uraiani? - ili na wao waonje uchungu?
c. Tanesco wametafuta umeme wa ziada...
d. ...

mvua imenyesha sana nchini,nadhani na kina cha maji kimeongezeka katika mabwawa ya kuzalishia umeme.hivyo basi nadhani hakuna kitu kati ya haya hapa chini.

a. Mitambo ya Dowans imewashwa
b. Umeme kwenye Migodi umehamishwa uraiani? - ili na wao waonje uchungu?
c. Tanesco wametafuta umeme wa ziada...
d. ...
 
mgawo ulikuwa ni changa la macho.pamoja na viongozi kuwafanya wananchi ni mapoyoyo kwenye hili wananchi ni washindi.
aluta continua.
 
mgawo ulikuwa ni changa la macho.pamoja na viongozi kuwafanya wananchi ni mapoyoyo kwenye hili wananchi ni washindi.
aluta continua.

Wananchi ni washindi wakati vita haijaisha bado?Watulie tu ****** awanyoe.Kwani kuna tamko lolote la serikali linalosema kuwa Dowans hatutawalipa tena?
 
dalili za watu kwenda mtaani zilikuwa kubwa ikabidi walegeze bomba kidogo
 
tusubiri watakavyotuambia wao. nahisi bado wanajipanga kutupiga sound ili tuwaelewe. kipindi cha mgao walikuwa wasemaji wazuri ila sasa hv wamekaa kimya kabisa,kitu ambacho kataika mazingira ya kawaida hakiwezekani. taarifa za matatizo kama haya ni muhimu sana kwa wanchi.
 
Ok sasa nisije kuwa natibua mambo; tuliambiwa tatizo la umeme linahitaji Dowans kuwashwa haraka na bila ya hivyo nchi itazidi kuwa gizani. Katika kauchunguzi kangu kadogo kanaonesha umeme unapatikana si kwa mgao mkali sana kama wiki chache zilizopita. Sasa nimejiuliza labda kwa vile tulikuwa tunafuatilia mambo ya Loliondo yawezekana tumeshindwa kujau hatua zilizochukuliwa. Yawezekana:

a. Mitambo ya Dowans imewashwa
b. Umeme kwenye Migodi umehamishwa uraiani? - ili na wao waonje uchungu?
c. Tanesco wametafuta umeme wa ziada...
d. ...

Hapo kwenye nyekundu:
Na picha la "kikombe" bado linaendelea. Ma-steringi wanazidi kuongezeka. Hadi kufikia jana tulikuwa tuna masteringi wapya (ukimtoa babu) wawili zaidi, nao ni mama mmoja wa huko Tabora a.k.a "bibi" ingawa si mzee na kijana mmoja wa huko Mbeya a.k.a "babu dogo" mwenye umri wa miaka 17. Hawa wote nao wanatoa "kikombe". Dozi ya bibi ni kikombe kimoja kikiambatana na maombi, japo yeye humwombea mtu mmoja mmoja tofauti na babu ambaye maombi yote huyajumuisha kwenye dawa. Wakati dozi ya babu dogo ni vikombe viwili, kimoja kila siku kwa siku mbili mfululizo.

Je hii yote ni janja ya kwamba tusahau matatizo yetu ya msingi?
 
Sakata zima la mgao wa umeme hapa Tanzania, ilikua movie iliyoandaliwa na Mafisadi Papa hapa Tanzania, walijipanga vyema, wakaimba Tamthilia za kutishia Umma, kuwa Bila Dowans hakuna nafuu ya Tatizo la umeme, na kweli walijipanga vyema, lakini asante kwa wapiganaji hodari, asante kwa wazalendo wa kweli, ukweli utadhihiri.
 
Haya maswali yalishajibiwa
na Wahandisi wetu hapa

umeme2.jpg

Jibu lingine

Untitled-2.jpg

Gonga hapa kusoma zaidi "What's wrong? mbona umeme haukatiki?"
 
Huu umeme upo kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Kwa vyovyote vile mafisadi wanajipanga upya "watoke" vipi.
Sasa watanzania tukijisahau na wote kukimbilia Loliondo tutapigwa shambulio la kushtukiza (counter attack) moja tubaki midomo wazi.
Tutakuja sikia Dowans imelipwa na muswada wa katiba uko bungeni.

Tufanye yote kwa wakati mmoja: Loliondo, Katiba, NO to Dowans, Maandamano ya Umma, n.k
 
Move ilikuwa ya kutengeneza jambo liwe la emergency ili mkataba mwingine usainiwe fasta na malipo yafanyike, thanks GOD hilo lilikwama baada ya wananchi na wanaharakati kulishtukia.

Pamoja na upungufu wa maji kwenye mabwawa lakini pia yamejaa matope na hata hizi machine za kufua umeme hazijafanyiwa service inayotakiwa kwa miaka mingi kwa hiyo hata maji yakijaa hizo megawati zinazotakiwa kufuliwa hazifikii kiwango.

je hili nalo mnalijua? na je Tanesco wameshatuweka wazi?
 
Jamani naomba msaada hivi Tanzania ina specific energy policy? Nilikuwa sijawahi ku venture kwenye energy issues sasa nataka kuja na data kamili ya what is the production cost ya kila alternative sources za energy na efficiency capacity zote kuanzia renewable mpaka fossils alafu niambieni ni kwanini Tanzania inaenda kinyume na mtazamo wa kidunia katika mambo ya energy development. nipo nasoma kwa undani sana ili hao kamati ya Bunge waache kutulisha mambo yasiyo na mwelekeo.
 
Ok sasa nisije kuwa natibua mambo; tuliambiwa tatizo la umeme linahitaji Dowans kuwashwa haraka na bila ya hivyo nchi itazidi kuwa gizani. Katika kauchunguzi kangu kadogo kanaonesha umeme unapatikana si kwa mgao mkali sana kama wiki chache zilizopita. Sasa nimejiuliza labda kwa vile tulikuwa tunafuatilia mambo ya Loliondo yawezekana tumeshindwa kujau hatua zilizochukuliwa. Yawezekana:

a. Mitambo ya Dowans imewashwa
b. Umeme kwenye Migodi umehamishwa uraiani? - ili na wao waonje uchungu?
c. Tanesco wametafuta umeme wa ziada...
d. ...

Mkulu Mwanakijiji, hivi nimeona foleni ya kikombe cha BABU LOLIONDO ni ndefu nimeona acha nielekee, pande za TABORA kwenye kikombe cha BIBI. Hivi niko njiani kuelekea huko.....kwa BIBI. kwa hiyo bado akili haijatulia maana huku ni kiza mtindo mmoja. tukija tutalijadili zaidi.
 
Back
Top Bottom