Double Dr. Emmanuel Nchimbi

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
29,043
10,692
Bila kujali ile shahada yake ya kwanza ya uzamivu PhD,hivi majuzi yaani mwanzoni wa Desemba 2011 Mh. Dk E.Nchimbi alitunukiwa nyingine pale Mzumbe University baada ya kuipigia kitabu kwa muda mrefu-japo wengi hatukujua na kuipata.Kila la heri.
 
To some of us.....Dr=Debit,....hivyo bado sijakupata vizuri mkuu
 
Hizo PHD za mzumbe kwa viongozi si za kweli hao walimu wanampa kirahisi rahisi tu!. Aje asome nje aone hakuna kujuana!!
 
Hizo PHD za mzumbe kwa viongozi si za kweli hao walimu wanampa kirahisi rahisi tu!. Aje asome nje aone hakuna kujuana!!

Mbona za nje ndo rahisi sasa? Huku kwetu unajua siku ya kuingia lakini siku ya kutoka huijui! Elimu ya nje ni ya kawaida sana, ndo mana mi nikikutana na mtu aliyesoma nje kwenye interview, labda anizidi kiingereza tu. mengine mengi ni ujanja ujanja tu.

Nchimbi kafanya PhD ya thesis tu, kaandika miaka yote minne. Supervisor wake wanadai kafanya vizur sana.

Ila mi ninachojua, ni kuwa wanadamu uona wao tu ndo wamesoma na wengine ni wanafukuza upepi!
 
Hizo PHD za mzumbe kwa viongozi si za kweli hao walimu wanampa kirahisi rahisi tu!. Aje asome nje aone hakuna kujuana!!

Mzumbe inapoza sana tu,tabu UDSM au SUA bana.Huko nje inategemea na chuo.
 
Back
Top Bottom