Doto Biteko: Nilifukuzwa shule kwa kukosa ada ya mtihani wa form 4. Mungu akaingilia kati mitihani ikafutwa wote tukaanza upya

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,112
49,826
Hii ndio big story na ushuhuda wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Kwamba akiwa Kidato Cha Nne wanafunzi ambao hawakuwa na ada ya Mtihani wa form 4 walifukuzwa shule,akaenda kutafuta ada akakuta wenzie wako somo la 6.

Huku wenzie wakiendelea kushangaa itakuaje nae alipiga Pepa la masomo yaliyosalia ila bahati nzuri mwaka huo Kabla ya Mtihani haujamalizika, Mitihani yote ilifutwa na ndipo akapata nafasi ya kufanya Upya na wenzie baada ya kuwa amelipa ada.

Sikiliza video hapa chini👇



My Take
Njia za Mungu ni za maajabu.Kila mtu ana story yake ya Maisha ila ya Dotto na Samia naona ni za kipekee sana.

Just imagine kutoka kufeli form 4 Hadi kuwa Rais wa Tanzania mbele ya wanaojiita wasomi na watabe kina Lissu, Slaa, Mwambukisi nk.
 
Hii ndio big story na ushuhuda wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.

Kwamba akiwa Kidato Cha Nne wanafunzi ambao hawakuwa na ada ya Mtihani wa form 4 walifukuzwa shule,akaenda kutafuta ada akakuta wenzie wako somo la 6.

Huku wenzie wakiendelea kushangaa itakuaje nae alipiga Pepa la masomo yaliyosalia ila bahati nzuri mwaka huo Kabla ya Mtihani haujamalizika, Mitihani yote ilifutwa na ndipo akapata nafasi ya kufanya Upya na wenzie baada ya kuwa amelipa ada.Sikiliza video hapa chini👇

View: https://www.instagram.com/reel/CwzgAbHB3AQ/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==



My Take
Njia za Mungu ni za maajabu.Kila mtu ana story yake ya Maisha ila ya Dotto na Samia naona ni za kipekee sana.

Just imagine kutoka kufeli form 4 Hadi kuwa Rais wa Tanzania mbele ya wanaojiita wasomi na watabe kina Lisu, Slaa,Mwambukisi nk.

Kila binadamu ana hustler zake mara mtoto wa mkulima.....

Mara nilisomeshwa na pesa ya pombe ie GONGO

BEST OF TIME OR WORSE OF TIME.
 
Pepa lililofutwa nchi nzima ni la mwaka 1998, kuna jamaa yangu mmoja naye alikosea instraction mitihani yote kabla ya kufutwa. Jamaa alikuwa fiti darasani ila kama mtihani usingefutwa ilikuwa aende na maji tuje kushangaa kufeli kwake. Bahati yake mtihani ule ulifutwa na ukarudiwa mwezi januari 1999. Je Dotto alihitimu kidato cha nne mwaka 1998?
 
Kipindi cha akina Sumaye hizo Dip zilikuwa nondo with Practical... mfano DIT/ Mzumbe/ NIT/ ustawi...
Kuliko hizi Degree za kuokota sasa hivi.. kipindi hicho mtu ana Adv. Dip ya Mipango/ uchumi kutoka Mzumbe au Muhandishi wa Ujenzi kutoka DIT ujue kaiva.
hata four za miaka hiyo ilikuwa kali sana. Mambo yamebadilika sana mitaani kuna wahitimu wengi wametulia na elimu zao wanafanya kazi ambazo hawakuzisomea
 
Back
Top Bottom