"Dot connecting Intelligence" na Sakata la Bandari zetu!

Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
1,651
5,126
1st Dot:

DP World Foundation hata kabla Watanzania hatujajua mkataba uliosainiwa wa kupora Bandari zetu wakakimbilia Mbeya kugawa Futari mwezi mtukufu wa ramadhani uliopita.

2nd Dot:
DP World Foundation wamekiri wazi kuwa specifically walichagua mikoa miwili ya kugawa "Futari" zao, kwa Tanzania Bara ni Mbeya na mkoa mwingine Zanzibar!

3rd Dot:

Spika wa Bunge letu Tulia Ackson anatokea Mbeya !

4th Dot:

Learned Counsel and the Hero Boniphace Mwabukusi anatokea Mbeya.

5th Dot:

Case ya Mkataba batili wa " kuuza" Bandari zetu imefunguliwa na kusikilizwa Mbeya.

6th Dot :
Former TISS Boss and the Patriot, the Late Apson Cornel Mwang'onda alitokea Mbeya.

Kwa elimu ndogo ya ku- connect dots niliyopata kutoka kwa Professor Larry Sabato wa Virginia States University kule Marekani naweza kuandaa taarifa kutokana na hizi dots 6!

Ni dhahiri suala la Mkataba batili wa Bandari unatoa " horrible smell " ya RUSHWA!
 
Mkataba FAKE, BATILI na HARAMU!!

Yaani tubadilishane Bandari zote Kwa FUTARI na nyama ya ngamia?
 
Watanzania wengi bado wamelala lakini kwa wenzetu walio makini hili la Bandari lilitosha kabisa kumtoa Rais Madarakani!
Jiulize, ndege ya kubeba mizigo Wananchi wanaalikwa kuipokea lakini Bandari ambazo ni urithi wa Watanzania na vizazi vyao Rais Samia kimya kimya anaenda Dubai kuzigawa bure kwa Waarabu!!!!!!!
Mama tunakupenda ila kwa hili HAPANA! Omba radhi na Kisha upishe kwenye Kiti hicho! HUTOSHI!!
 
naskia yuko dubai kwa wajomba gps ya ndege imeonekana huko. sijui ameenda kuuza nini tena maana haaminiki huyuu mama.
 
Back
Top Bottom