Negotiator
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 303
- 44
Hapa ni Mwembetogwa Iringa ambapo wazee wa hapa kwa kumbukumbu zao toka kuanza kwa mageuzi haijawahi kukusanyika umati mkubwa namna hii kwenye kampeni.
Pamoja na CCM kuzomba watu kwa malori lakini hawajapata kufikia rekodi hii ya watanzania waliomiminika kusikiliza sauti ya ukombozi. Mkutano ulijawa na usikivu na hamasa kubwa ya mabadiliko.
Shuhudieni wenyewe hapa
http://www.youtube.com/watch?v=uD_0bR5SqIw

Last edited by a moderator: