Does it matter?

Akikuzidi uzuri inaimply nn?

Na akiwa mbaya?
the issue sio uzuri na ubaya peke yake,unajua mara nyingi kunapokuwa na hizi kesi yule aliyekosewa hujilaumu na kuona pengine yeye ndo tatizo,ni watu wachache sana wakiwa cheated hupeleka lawama kwa wenzi wao,yani a peerson awe anajitambua na kujiamini katika upekee wake yeye kama mwanaume au mwanamke,wengi hukimbilia kujion wao ndo wana tatizo,ikiwa ni mwanaume ataanza kujiuliza kuhusu uwezo wake kifedha kielimu,kimapenzi,kimwonekano nk,kwa wanawake asilimia kubwa hukimbilia kujiangalia maumbile,wakiamini inawezekena maumbile yao hayavutii,sio wajuzi kitandani,na vitu vingine sasa ndo mana nimesema it really does matter!though kosa ni lile lile lakini wen in t cums to security ya huo upendo na hayo mahusiano wengi hukuimbilia kuhisi hawawezi kucompete against,na kubaki kwenye hayo mahusiano kutegemea huruma tu ya mwanume au ya mwanamke,kumbe kimsingi aliyekusaliti amekusaliti tu haijalishi amekusaliti na nani,ubaya au uzuri wako sio sababu ya kukuumiza.
 
Hahahahaha!

Kwani mtu akibaka mnyama nae kacheat?

Eti mwizi wako ni mnyama!

Jamani kapeleka kitu ya mama kwa mbuzi, si amemsaliti mama?

By the way hilo jina la mwizi sipendi kulitumia sana; kwani kosa hapo ni kutokuwa mwaminifu kwa ahadi aliyoitoa kwa mwenzake. Hivyo mtuhumiwa namba 1, 2, na mpaka mwisho ni husband/wife na si mwanamke/mwanaume mwingine hii ni kutokana na mtazamo wangu.
 
the issue sio uzuri na ubaya peke yake,unajua mara nyingi kunapokuwa na hizi kesi yule aliyekosewa hujilaumu na kuona pengine yeye ndo tatizo,ni watu wachache sana wakiwa cheated hupeleka lawama kwa wenzi wao,yani a peerson awe anajitambua na kujiamini katika upekee wake yeye kama mwanaume au mwanamke,wengi hukimbilia kujion wao ndo wana tatizo,ikiwa ni mwanaume ataanza kujiuliza kuhusu uwezo wake kifedha kielimu,kimapenzi,kimwonekano nk,kwa wanawake asilimia kubwa hukimbilia kujiangalia maumbile,wakiamini inawezekena maumbile yao hayavutii,sio wajuzi kitandani,na vitu vingine sasa ndo mana nimesema it really does matter!though kosa ni lile lile lakini wen in t cums to security ya huo upendo na hayo mahusiano wengi hukuimbilia kuhisi hawawezi kucompete against,na kubaki kwenye hayo mahusiano kutegemea huruma tu ya mwanume au ya mwanamke,kumbe kimsingi aliyekusaliti amekusaliti tu haijalishi amekusaliti na nani,ubaya au uzuri wako sio sababu ya kukuumiza.

Hapo ndipo ninapogoma kukubali na ndio maana naonekana ni hard on men; umekosa ni kosa lako na wa kulaumiwa ni wewe, nimekosa ni kosa langu na nilaumiwe mimi. Kama situation is so hard, kuliko nikucheat bora nikwambie tuishane; kama ni ngumu kuachana nitavumilia mpaka pale nitakaposema l cant take it no more!
 
lucky u unajitambua na upekee wako kama mwanadamu!watu wengine wapo too way naive huwa wanakimbilia kujilaumu katika kila makosa wannayotendewa kwenmye mahusiano
 
AshaDii umesema yote
small house hakupaswa kabis akujionyesha wazi kiasi hicho bana tena ukiwa unajua kuwa wapo ndugu au mke ambao wanaweza wahi hospital asubuhi na mapema kumjulia mgonjwa hali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom