Dodoma: Wanahapana wagoma, Kamati yaachwa marikiti

Unaongelea nani! Kessy? achana na huyo takataka mnafiq mkubwa. Ameshindwa hata kuvipigia kura ya HAPANA Sura ya 1 na 6 inayopendekeza muundo wa S2, wakati yeye ni "muumini" wa S3

Halafu leo huyo Yuda Isikarioti ndio unamuona ni role mode wako!

kESSY NI MJINGA MCHANGAMFU HANA LOLOTE.
 
Asante KIMBEMBE. Kandinsky zirekebishwe ili kupendelea haja zenu? Si walisharekebisha Mara nyingi tu na kill mara zinagoma? Msirekebishe tena kwanini maana kila rekebisho limegoma. Sasa zitupeni Kabisa hiyo kanuni labda ndipo ulaghai wenu utafanikiwa.

kwi kwi kwi! na tena kodi za watanzania wote ndio zimetumika aache kauli kuwa wana hapana hawajachangia hata thumni
 
Ni yeye mwenyewe...hata Tanzania Daima wamechapisha hii karatasi na Sitta amekiri kwamba aliandika ila amejitetea kipuuzi puuzi tu kama mwenyewe alivyo mpuuzi !

Oooooh na kapicha na kapicha hako sasa!
Haya mtuthibitishie hiyo ndo hati ya Six kwa wanaoijuwa?
Kumbe jamaa naye mwadiko alifeli eeeh!
 
Nilikua sijui kwamba wajumbe wakipiga kura ya hapana huwa inaundwa tume kuwauliza kwa nini wamesema hapana!.Mbona hakuna tume ya kuwauliza watu waliosema ndio?. Mnaojua taratibu tujuzeni.
 
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila wahusika kujitokeza.Vimesikika viapo vya kutorudi nyuma.Hapa Dodoma mambo ni moto.Kila mmoja anasema na kushauri lake. Njiapanda. Tutokaje?

Intelijensia inaonesha kuwa kura za HAPANA za wazi na siri zimeshakwamisha akidi ya kupitisha Rasimu iliyopendekezwa na Kamati ya Chenge. Ndiyo maana Kamati ya Maridhiano iliundwa haraka sana kusaka maidhiano ya kiakidi.Lakini,Wazanibar wameapa kulinda kura zao za HAPANA walizozipiga sirini na bayana. Njiapanda. Tuamue kuelekea wapi?

Tafadhalini Wazanzibari,tuokoleeni Rasimu hii ili,kama chama tawala,tupate cha kusema kwa watanzania.

Tutasemaje mambo yakibaki hivi yalivyo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (kwasasa Dodoma kurudi Dar)

Nimeipenda hii verse............................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom