Dodoma: Wanahapana wagoma, Kamati yaachwa marikiti

Hao wazanzibar wasiende huko kwenye kamati watang'olewa kucha bure!

Au wanaweza kuwa~kolimba,ccm walitaka kuzuia feeling za tanganyika nationalism,naona hali ilipofikia kila mtu wa bara anajua kwamba yeye ni mtanganyika na anauhitaji utanganyika
 
Sita anajifanya kama hawajui wazanzibar, hakuna watu wenye msimamo kama wazanzibar.......ndio wakome kuchakachua matakwa ya wananchi

Hata nyerere na mkapa wanawajua,waliwasweka jela kwa kesi za uzushi lakini sasa wako na nafasi zao ikulu,mkapa aliwapiga risasi lakini leo anakaa mkutanoni anahutubiwa na maalim seif sharif hamad
 
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila wahusika kujitokeza.Vimesikika viapo vya kutorudi nyuma.Hapa Dodoma mambo ni moto.Kila mmoja anasema na kushauri lake. Njiapanda. Tutokaje?

Intelijensia inaonesha kuwa kura za HAPANA za wazi na siri zimeshakwamisha akidi ya kupitisha Rasimu iliyopendekezwa na Kamati ya Chenge. Ndiyo maana Kamati ya Maridhiano iliundwa haraka sana kusaka maidhiano ya kiakidi.Lakini,Wazanibar wameapa kulinda kura zao za HAPANA walizozipiga sirini na bayana. Njiapanda. Tuamue kuelekea wapi?

Tafadhalini Wazanzibari,tuokoleeni Rasimu hii ili,kama chama tawala,tupate cha kusema kwa watanzania. Tutasemaje mambo yakibaki hivi yalivyo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (kwasasa Dodoma kurudi Dar)

Z'bar! Z'bar! Uzuri wa Z'bar ufahamu wa kisiasa ni mkubwa ukilinganisha na bara. Mtu wa Z'bar akishasema HAPANA ni vigumu kumuhonga milioni ili aseme NDIYO. Upande wa bara, Ni rahisi kumuhonga ulanzi akasema kinyume na mapenzi yake.
 
Mashujaa wote duniani ni wale waliosimamia wanachokiamini, hawayumbishwi kwa rushwa wala vitisho. HALIOSEMA HAPANA NI MASHUJAA WATAKAO INGIA KWENYE VITABU VYA HISTORIA. Hongereni sana WanaHAPANA.
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.
 
Z'bar! Z'bar! Uzuri wa Z'bar ufahamu wa kisiasa ni mkubwa ukilinganisha na bara. Mtu wa Z'bar akishasema HAPANA ni vigumu kumuhonga milioni ili aseme NDIYO. Upande wa bara, Ni rahisi kumuhonga ulanzi akasema kinyume na mapenzi yake.

Sio hilo tu hata kiwango cha elimu kwa Zanzibar kiko juu ukilinganisha na Tanganyika a.k.a Tanzania Bara. Hata ukitafuta develepment indicators mbalimbali Zanzibar wako mbele sana ya sisi.
 
Unajua hata uhuru wa kupewa pewa kama maandazi nao umetuathiri.akili zimejaa vumbi.Ila wenzetu walitumia upanga sultani akakimbia.so wanajitambua kitambo sana.
 
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka, sura zote vifungu vyote 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu katiba inapita.
..........................
 
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.

Kwa faida ya nani
 
Sio hilo tu hata kiwango cha elimu kwa Zanzibar kiko juu ukilinganisha na Tanganyika a.k.a Tanzania Bara. Hata ukitafuta develepment indicators mbalimbali Zanzibar wako mbele sana ya sisi.

Unajua hata uhuru wa kupewa pewa kama maandazi nao umetuathiri.akili zimejaa vumbi.Ila wenzetu walitumia upanga sultani akakimbia.so wanajitambua kitambo sana.

Ni kweli! Ufahamu huu wa Z'bar ndo utakaowatesa watu kama akina Sitta wanatoa mate ili wapate 2/3. Kwa Z'bar wakishasema NO hata wapeleke jeshi kutisha watu kama Mkapa alivyofanya na kuua watu, No haitafutika!
 
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.

We ----- nini? Unadhani suala la 2/3 au hiyo nusu unayosema ni jambo la kanuni? Kwa nini hutaki kusoma mambo ya maana?
 
mnasherehekea nini. mnadhani hao wajinga wanaopiga kura kwa maelekezo ya mabwana zao watakwamisha katiba? mtu hajachangia hata thumni, mwanzo hadi mwisho halafu kura anakurupuka 'hapana'. kwa msingi huo ikibidi kanuni zirekebishwe, nusu tu, katiba inapita.

Mambo hayaendi hivyo kama unavodhani, kwani waliosema ndio wote walichangia thumni? Watu wapo bungeni kisheria na wanatakiwa wafanye kazi na si kulipa fadhila Kwa mtu yeyote.
Hii ni katiba ya vizazi vijavyo na watu wanaojielewa huwezi ukakurupuka tu kukubali kitu kitakachotesa vizazi miaka mingi.
 
Kila wakati huwa nasema penye nia pana njia. Kinachofanyika mjengoni hakina nia ya kuwalinda wananchi wa nchi hii kina nia ya kuwalinda kina Sta na familia zao! Big up UKAWA.
 
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila wahusika kujitokeza.Vimesikika viapo vya kutorudi nyuma.Hapa Dodoma mambo ni moto.Kila mmoja anasema na kushauri lake. Njiapanda. Tutokaje?

Intelijensia inaonesha kuwa kura za HAPANA za wazi na siri zimeshakwamisha akidi ya kupitisha Rasimu iliyopendekezwa na Kamati ya Chenge. Ndiyo maana Kamati ya Maridhiano iliundwa haraka sana kusaka maidhiano ya kiakidi.Lakini,Wazanibar wameapa kulinda kura zao za HAPANA walizozipiga sirini na bayana. Njiapanda. Tuamue kuelekea wapi?

Tafadhalini Wazanzibari,tuokoleeni Rasimu hii ili,kama chama tawala,tupate cha kusema kwa watanzania. Tutasemaje mambo yakibaki hivi yalivyo?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam (kwasasa Dodoma kurudi Dar)

Ndo mtajuwa maana ya maridhiano...

1. Maridhiano gani mnayataka wakati vinavyosababisha mfanye maridhiano mnaendelea navyo..??
2. Cha kutueleza wananchi ni kwamba rudisheni hela mliyotumia... MWIGULU ALISHASEMA... Tatizo lenu CCM yeyote anayeleta mawazo mbadala huwa mnamwita msaliti... NYERER ALISHASEMA, CCM SI MAMA YAKE... sasa hao uliowaita wanaHAPANA, WAMEIRUDIA KAURI HIYO KIVINGINE...
3. Na kiwa nini muwahoji waliosema hapana pekee..?? Wale waliosema NDIYO kwa nini hawaitwi kuridhiana ili wajiunge na wanaHAPANA..??
4. Yaani hao saba/nane ndo mnawaogopa sana hadi kuwaundia kama ya maridhiano kuliko wananchi..??? JE IKITOKEA MWANANCHI MMOJA AKASEMA HAPANA, NAYE MTAMUUNDIA KAMATI YA MARIDHIANO..?? TATIZO MNA KELELE SANA KABLA YA KUVUKA MTO.
5. Mlidhani kura za wazi ndo mtashinda, sasa HAPANA ZA WAZI HAZICHAKACHULIKI..

MMESEMA WAPIGE KRA... KWA WAZI AU KWA SIRI KUTEGEMEANA NA MAAMUZI YA ANAYEPIGA KURA...

1. KWANINI KURA YA HAPANA IUNDIWE TUME..??
2. Kwa nini kura NDIYO haiundiwi tume..??
3. Waliowahi kupiga kura za hapana huko nyuma waliwahi kuundiwa tume..??
 
Sitta amesema amepata wajumbe wawili waliokubali kupiga kura nje ya bunge! Sijui ikoje hii kisheria? Kwan siku ya kupiga kura imeshapita? Wajuvi nielewesheni tafadhali.
 
Kejeli na ubabe hauwezi kuendesha nchi kistaarabu. Hivi kungekuwa na maridhiano toka pale UKAWA walipotoka nje haya yote yangetokea? Matusi na vijembe kwa Warioba na viongozi wengine wa UKAWA yasingekuwepo hali ingefikia hapo ilipofika?
CCM haitaki kujifunza kuwa hizi ni nyakati zingine sio zile za "kidumu chama tawala"

Mara mzee anazeeka vibaya
Mara huyu mzee ni shiiiiidaaaa

Nape ameshawahi kumshambulia warioba
Komba ameshawahi fanya hivyo
Wasira ameshawahi kumsema mzee Warioba
WanaCCM wengi sana walishawahi kumshambulia mzee wa watu

SAA HIZI WANATAMANI KUZIMEZA KAULI ZAO

Komba, wa kutuhi njangu, henu ghe malovi, gamkajovii goha muwoneka ngati mulwala nahaa.. Mupise malovi keta kuna kilawu lepa..... vayinu pa kujosa vilekesa pachokopiii pa kilawu, lakini mwenga muwoneka mkamalii goha

Mnapoongea jamani wekeni na akiba ya kuka... SI MNAMKUMBUKA SHEHE YAHAYA ALIPOSEMA RAISI AJAYE ATAKUWA MWANAMKE..??? ALIPOSHINDA JAKAYA KIKWETE, SI MNAKUMBUKA ALIRUDI NA KAULI GANI..??? HAYA NA NYIE MEZENI MATAPISHI YENU... AU INGIE MSITUNI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom