DODOMA: Saed Kubenea(Mb) augua ghafla, akimbizwa hospitali

New plan baada ya Nissan kuwa na makelele na zile njugu zao?!!!

Nasubiri nimsikie raisi mzalendo pekee kwenye nchi na mwenyewe kofia ya umungu mtu akisema Tanzania ni kisiwa cha amani!!!
 
Pole sana Mh. Kubenea. Tuwe wapole, sote duniani hapa tunapita, muda wa kulumbana eti mara hamuiamini serikali ni utoto, tujikite na issue za kulijenga taifa letu. Tunakutakia uponaji wa haraka Mh.
Kujenga taifa kwa hoja za kupunguza kodi za pad za akinamama? Kweli bunge la tz ni la ovyo kuliko maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Tanzania hatuna watu wa maana mpaka kuwapeleka bungeni zaidi yq kina Kibenea kibajaji na bwege? Huyu ni majanga hajui yupo Dodoma kufanya nini.
 
Tunamuombea apone jamani

Ila hizi siasa zao za kudanganya sio za mchezo mchezo wakiwafika shingoni hao wanabuma.. Mawazu mengi, kuishiwa ya kutunga kuvuta wafata mikumbo.. n.k.
Mjibadilishe maana hata kula hamli
Mbn km una haraka yani ulichoandika hakieleweki kbsa
 
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea, ameugua ghafla na kupumzishwa Hospitali mjini Dodoma leo

==============

By Sharon Sauwa, Mwananchi

Dodoma. Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea ameugua ghafla na kupumzishwa katika zahanati ya Bunge.

Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde amesema leo Alhamisi jioni kuwa mbunge huyo alikwenda katika zahanati hiyo baada ya kujisikia vibaya.

“Alijisikia kukosa nguvu akaenda katika zahanati hiyo, amepumzishwa na sasa hivi ndio anasema ni simu yake ya kwanza kuongea nayo tangu apumzishwe. Ndio kwanza amekaribia kumalizia dripu,” amesema Silinde.

Hata hivyo waandishi wa habari walipofika katika zahanati hiyo hawakuruhusiwa kumuona na badala yake wauguzi walisema amepumzika.

Daktari wa zahanati ya Bunge, Dk Noel Solomoni amethibitisha kupumzishwa kwa mbunge huyo tangu saa 10 jioni leo.

Hata hivyo, hakuwa tayari kueleza zaidi kama alifikishwa ama alikwenda mwenyewe katika zahanati hiyo iliyopo ndani ya Bunge.

Chanzo : Mwananchi
Watu wasiojulikana?
 
Tunamuombea apone jamani

Ila hizi siasa zao za kudanganya sio za mchezo mchezo wakiwafika shingoni hao wanabuma.. Mawazu mengi, kuishiwa ya kutunga kuvuta wafata mikumbo.. n.k.
Mjibadilishe maana hata kula hamli
Mkuu, umeonyesha kaunafiki... UNAMUIMBEA APONE, HALAFU UMEMALIZIA NA NENO kutunga...
 
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea, ameugua ghafla na kupumzishwa Hospitali mjini Dodoma leo

==============

By Sharon Sauwa, Mwananchi

Dodoma. Mbunge wa Ubungo(Chadema), Saed Kubenea ameugua ghafla na kupumzishwa katika zahanati ya Bunge.

Katibu wa wabunge wa Chadema, David Silinde amesema leo Alhamisi jioni kuwa mbunge huyo alikwenda katika zahanati hiyo baada ya kujisikia vibaya.

“Alijisikia kukosa nguvu akaenda katika zahanati hiyo, amepumzishwa na sasa hivi ndio anasema ni simu yake ya kwanza kuongea nayo tangu apumzishwe. Ndio kwanza amekaribia kumalizia dripu,” amesema Silinde.

Hata hivyo waandishi wa habari walipofika katika zahanati hiyo hawakuruhusiwa kumuona na badala yake wauguzi walisema amepumzika.

Daktari wa zahanati ya Bunge, Dk Noel Solomoni amethibitisha kupumzishwa kwa mbunge huyo tangu saa 10 jioni leo.

Hata hivyo, hakuwa tayari kueleza zaidi kama alifikishwa ama alikwenda mwenyewe katika zahanati hiyo iliyopo ndani ya Bunge.

Chanzo : Mwananchi
Anatafuta tu Kiki huyo
 
Mbunge wa Ubungo (Chadema) Saed Kubenea ameugua ghafla akiwa ndani ya ukumbi wa bunge na kukimbizwa hospitali ya bunge mjini Dodoma.

Bado haijabainika rasmi Kubenea amepatwa na tatizo gani ingawa inaelezwa kuwa alishindwa kupumua na kupata kizunguzungu kabla ya kukimbizwa hospitali.
 
wabunge wa upinzanz kuweni makini...kuna sumu inawekwa kweny vipaza saut vya wabunge wa upinzani! narudia tena kuweni makini
 
Back
Top Bottom