Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
Watu wangu dodoma mpoooo niko sahem moja inaitwa area d ila bdae ntakua chako ni chako
aah..chako ni chako tumeshatoka, tumetulia Dom Hotel na dompo pembeni..lunch kesho tutakuwa rose garden!!
BelindaJacob HUYO DS. ANAFANYA MAZOEZI YA KUSAFIRI UTADHANI ANATAKA KUMRITHI CHEO BABA RIZ MOJA. KHAAAA.
Utalii wa ndani! Wanna join him?? Lol
Heshma yako mkuu !
Swadaktaaa! Waonaje hali mr judge??
Nipo cda hapa jaman wanajf dom
Tumia basi ID yako ya zamani nikutafute.......nipo hapa Caribean
Sina ID ya zamani mkuu
Utalii wa ndani! Wanna join him?? Lol
Wakiti moto haukosi?
Huwa naangalia tu...nafurahia kuona watu wakila mdudu basii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Dom tupoooo! Bwana lkn sku hizi hawaitwi kitimoto! Wanaitwa NOAH OLD MODEL!!!