Vijana punguzeni pombe ,pombe inawapotezea pesa

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,410
15,994
Jana nilikuwa na tour za kutembelea bar kadha hapa mjini dodoma

Kwanza nilianza kwa Steve liquor area C ,pale Nimekuta kundi kubwa la vijana wamejazana ktk viti wakipiga ulabu na nyama kwa wingi nikasema lbda Kuna sherehe kumbe hkn Cha sherehe wala nn Ni pesa inatumika

Kisha nikaelekea rainbow pale area D mida ya saa Moja o nusu hivi pale nako nikakuta viti karibia zote vimejaa kukawa Hakuna nafasi Kuna reserved table zimebaki. nikaona siwezi kusimama dakika 90 nikaona wacha nisepe niende chimbo lingine la platinum grill karibu na chako Ni chako, nako pale nimekuta kundi kubwa la vijana wamejazana wanapiga game kwa kwenda mbele ,Basi nikabaki pale hadi saa nne hv nikasepa kueleke nyumbani

Wakat naelekea home jamaa angu akanipigia na Kisha kuniita tukutane La Liga Kisasa. jamaa angu ametoka safarini Basi akaniambia tukutane pale nikaona fresh kwanza pia nikaona vzr maana mitaa ile Nina piss yangu hvyo nitatumia muda huo kuzungumza nae aloo nimefika pale mida ya sa tano hv nikakuta kundi la vijana wengi sana wamekaa kwenye meza kubwa na ndogo Wana gonga vitu balaa

Na sis tukakaa pale na kuagiza black and white kwa shilingi elf 35k

Sasa kilichonisukuma kuandika uzi huu ni kwamba vijana mnatoa wapi pesa za kulewa hovyo hovyo ?

Je hzo pesa hazina Kaz za kufanya ?

Mbaya Zaid wengi wenu mmepanga na hamtaki viwanja

Vijana punguzeni pombe na mademu kwa Jana tu mm kijana mwezenu nimetumia Zaid ya 200k na Sina ajira rasmi hapa Niko na mawazo tela rejesho la linanisumbua
 
_20240205_162745.JPG
 
Dr. Mwenzangu wewe ni dactari bwana acha kulalama...

Naunga mkono hoja😊

I hate ulevi & co LTD
 
Back
Top Bottom