Dodoma: Mkutano wa Lema 'wapigwa stop'... Yeye asisitiza na kuamuru gari kutangaza mkutano!

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Licha ya kuzuiliwa na polisi CCM kufanya mkutano na mapokezi, mbunge wa Arusha mjini kufanya mkutano jioni hii kwenye uwanja wa Baruti.

Kwa sasa magari ya yanapita mitaani yakitangaza juu ya mkutano huo....
RPC akiwa ametoa taarifa kwa CHADEMA kuhusu zuio la mkutano ambao ulikuwa uhutubiwe na Lema kwa sababu zifuatazo:

1. Polisi hawatoshi kwa sababu ya bunge(itifaki)
2. Eneo ni dogo watu watakuwa wengi sana (BARUTI-pale chako ni chako)

Mara baada ya taarifa hiyo mheshimiwa Lema amekuja ofisi za CHADEMA Mkoa na kuwaambia makamanda watangaze mkutano utakuwepo kwa sababu zifuatazo:

1. Wakikubali kuahirisha mkutano, maana yake nikuwa CHADEMA haitafanya mikutano DODOMA maana kwa mwaka bunge linakaa zaidi ya mara moja
2. RPC hana mamlaka ya kuzuia mkutano (mwenye mamlaka ni OCD)
3. Kuhusu idadi ya watu, ana uhakika gani watu watakuwa wengi? (kwani RPC ndo atawaleta?)

Baada ya maelezo hayo gari la CHADEMA limeingia mtaani kutangaza mkutano. Lema anasema wakikamata gari tuyalifuata polis.

Nina Picha, Audio na video za kamanda Lema akiwasili na kutoa tamko hilo akiwa Ofisi za CHADEMA.

Naelekea kwenye mkutano nitakuwa nawapa updates.

NOTE: DODOMA watahimili mikiki ya Polisi? Lets wait and see.

===============
Mkutano kwa sasa unaendelea japo umetangazwa kwa saa moja na sasa katibu wa Chadema mkoa wa DODOMA anaongea
 
wamezima mitambo bungeni kisa Lema, na maandamano wameyazuia, hata huo mkutano nina wasi wasi watauhujumu tu, huyu mwigulu ni mtu wa kuchunga sana....
 
RPC akiwa ametoa taarifa kwa CHADEMA kuhusu zuio la mkutano ambao ulikuwa uhutubiwe na Lema kwa sababu zifuatazo:

1. Polisi hawatoshi kwa sababu ya bunge(itifaki)
2. Eneo ni dogo watu watakuwa wengi sana (BARUTI-pale chako ni chako)

Mara baada ya taarifa hiyo mheshimiwa Lema amekuja ofisi za CHADEMA Mkoa na kuwaambia makamanda watangaze mkutano utakuwepo kwa sababu zifuatazo:

1. Wakikubali kuahirisha mkutano, maana yake nikuwa CHADEMA haitafanya mikutano DODOMA maana kwa mwaka bunge linakaa zaidi ya mara moja
2. RPC hana mamlaka ya kuzuia mkutano (mwenye mamlaka ni OCD)
3. Kuhusu idadi ya watu, ana uhakika gani watu watakuwa wengi? (kwani RPC ndo atawaleta?)

Baada ya maelezo hayo gari la CHADEMA limeingia mtaani kutangaza mkutano. Lema anasema wakikamata gari tuyalifuata polis.

Nina Picha, Audio na video za kamanda Lema akiwasili na kutoa tamko hilo akiwa Ofisi za CHADEMA.

Naelekea kwenye mkutano nitakuwa nawapa updates.

NOTE: DODOMA watahimili mikiki ya Polisi? Lets wait and see.
 
Msisahau kutupa updates mlioko eneo la tukio...........
 
Tunakuombea usiwe Mwangosi wa Dodoma. Naona polisi nao wameona hii ya kuzuia mikutano ya CHADEMA kama ni fasheni. Kisheria wanatakiwa wao wapewe tu taarifa na si kuamua juu ya mkutano kuwepo or not.
 
RPC akiwa ametoa taarifa kwa CHADEMA kuhusu zuio la mkutano ambao ulikuwa uhutubiwe na Lema kwa sababu zifuatazo:
1. Polis hawatoshi kwa sababu ya bunge(itifaki)
2. Eneo ni dogo watu watakuwa wengi sana (BARUTI-pale chako ni chako)
Mara baada ya taarifa hiyo mheshimiwa Lema amekuja ofisi za CHADEMA Mkoa na kuwaambia makamanda watangaze mkutano utakuwepo kwa sababu zifuatazo:
1. Wakikubari kuahirisha mkutano, maana yake nikuwa CHADEMA haitafanya mikutano DODOMA maana kwa mwaka bunge linakaa zaidi ya mara moja
2. RPC hana mamlaka ya kuzuia mkutano (mwenye mamlaka ni OCD)
3.Kuhusu idadi ya watu,anauhakika gani watu watakuwa wengi?(kwani RPC ndo atawaleta?)
Baada ya maelezo hayo gari la CHADEMA limeingia mtaani kutangaza mkutano. Lema anasema wakikamata gari tuyalifuata polis.
Nina Picha,Audio na video za kamanda Lema akiwasili na kutoa tamko hilo akiwa Ofisi za CHADEMA.

Naelekea kwenye mkutano nitakuwa nawapa updates.
NOTE:DODOMA watahimili mikiki ya Polisi? Lets wait and see.

Kama unapicha, Audio na video, si utuwekee tu ili sisi tuliombali tujue ni nini kinachoendelea?
 
Dodoma ndo kichaka cha CCM kikubwa kilichosalia baada ya kichaka cha Lindi na Mtwara kuchomwa rasmi na M4C na sakata la Gesi! Sasa CCM wanahofia kuipoteza na Dodoma pia! Hivi wabunge wakiwa dodoma kila mbunge huwa anapewa Askari wa kumlinda?
 
wamezima mitambo bungeni kisa Lema, na maandamano wameyazuia, hata huo mkutano nina wasi wasi watauhujumu tu, huyu mwigulu ni mtu wa kuchunga sana....

KISHINDO!! NCHI IMETETEMEKA!!!!!

"No Place to Hide" No comfort zones for the Jangilis the only solution is to Surrender before battlefield "OPERATION SAFISHA MAJANGILI "start

Shuhudia Maangamizi makubwa zaidi ya magamba.... vikosi vya makamada vitakapo anza kushambulia RASMI KIKANDA .... namaanisha operation... SAFISHA MAJANGILI

habari nilizozipata kutoka Kigoma:Baada ya kusikia kishindo hiki majangili wanatafutana

NOTE: usishangae mitambo kuzimwa Bungeni ...kule KIGOMA ni MTAFUTANO
 
wamezima mitambo bungeni kisa Lema, na maandamano wameyazuia, hata huo mkutano nina wasi wasi watauhujumu tu, huyu mwigulu ni mtu wa kuchunga sana....

mkuu hivi kwanini TV ya serikali ya CCM haikuonyesha Bunge leo?

Tatizo nina DSTV peke yake kwahiyo nina access na TBC peke yake kwa Tz, Vipi star TV walionyesha ili nikanunue king'amuzi?
 
Tupe update mkuu!! virungu na mabomu bado hayajaanza!!!? Vile vya ncha kali sijui vitakuwepo au la? Kuweni makini ila pia hawa polisi nashangaa hawajui kuwa maandalizi ya mkutano kuna gharama halafu unakurupuka tu last minute unafuta!! Wahedi wakubwa nyie!!
 
huyu Nchimbi ni dabwada kweli wale waliopanda treni wamepita njia nzima wakihubiri sera zao na hapo Dodoma na kula kabisa mbona hakupiga marufuku wapuuzi kabisa wanatafuta sifa zisizo stahili
 
Wanasema hawana askari wa kutosha 'kulinda' mkutano huo lakini cha ajabu watapatikana askari hata 200 wa kuuzuia!
 
Back
Top Bottom