Dodoma mjini wakosa mbunge

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
Nimepita maeneo mbalimbali ya dodoma mjini kuhoji watu kuhusu utendaji kazi wa mbunge wao mh.malole kupitia ccm na nimehoji wato 97 katika watu hao watu 73 wanasema mbunge wao hafanyin lolote tangu alipochaguliwa ni bora wangekaa bila mbunge kwani hana faida kwao.watu 21 niliowahoji katika kitongoji cha njedengwa palipobomolewa nyumba siku chache zilizopita wamesema mbunge waliemchagua hakuonekana kabisa katika kuwasaidia wananchi wake tofauti na ahadi zake wakati wa kampeni kwamba angekuwa pamoja na wananchi hasa katika wakati wa shida.
Naomba kuwasilisha jamvini kwa wadau.
 
Kama Kitongoji cha Ndejengwa peke yake umewahoji watu 21 kati ya 97, nina mashaka na utafiti wako!
 
Kama Jimbo la Arumeru Mashariki halijawahi kuwa na Mbunge tokea Uchaguzi!
Arumeru Magharibi ndiyo hakuna mbunge kabisa, yaani ni afadhali ya Arumeru Mashariki ambayo haina mbunge kuliko Ole Medeye.
 
Kwani uchaguzi wa wenyeviti wa vitogoji ni lini maana ndiyo mwanzo wa serikali kama mkiwa na serikali za mitaa imara hata diwani na mbunge atafanya kiru cha maana.............
 
Kama Kitongoji cha Ndejengwa peke yake umewahoji watu 21 kati ya 97, nina mashaka na utafiti wako!

Kuna biasness kwenye sample yake. Dodoma ina vitongoji vingi sasa kuchukua asilimia 21 kutoka sehemu moja hiyo haiwezi kuwa representative sample. Inaweza ikawa kweli watu wana maoni hayo lakini utafiti huu hauwezi kuwa scientifically acceptable. I rest my case.
 
Kama Jimbo la Arumeru Mashariki halijawahi kuwa na Mbunge tokea Uchaguzi!
Arumeru Magharibi ndiyo hakuna mbunge kabisa, yaani ni afadhali ya Arumeru Mashariki ambayo haina mbunge kuliko Ole Medeye.

Yaani Arumeru Mashariki wote wehu hata wa CDM Ole Kisambu si inasemekana alikula mlungula ili ashindwe
 
dodoma kweli hakuna mbunge hapa,tuna kilaza tu mkubwa anaitwa maloleeeeeeeeeee!
 
Yaani Arumeru Mashariki wote wehu hata wa CDM Ole Kisambu si inasemekana alikula mlungula ili ashindwe

Arumeru mashariki CDM alikuwa ni Nassary na sio huyo ulemtaja. Na hakupewa mlungula kuachia jimbo, hoji vizuri utajua CCM ilipita pitaje na kwanini mbunge hawezi kwendi Dodoma zaidi ya kwenye misiba Akheri kijijini
 
Nimepita maeneo mbalimbali ya dodoma mjini kuhoji watu kuhusu utendaji kazi wa mbunge wao mh.malole kupitia ccm na nimehoji wato 97 katika watu hao watu 73 wanasema mbunge wao hafanyin lolote tangu alipochaguliwa ni bora wangekaa bila mbunge kwani hana faida kwao.watu 21 niliowahoji katika kitongoji cha njedengwa palipobomolewa nyumba siku chache zilizopita wamesema mbunge waliemchagua hakuonekana kabisa katika kuwasaidia wananchi wake tofauti na ahadi zake wakati wa kampeni kwamba angekuwa pamoja na wananchi hasa katika wakati wa shida.
Naomba kuwasilisha jamvini kwa wadau.

Yaani mitanzania tutalalamika sana miaka hii mitano...tatizo ni miakili yetu ya kuchagua wezi...inauma,lakini wakati mwingine inaboa...
 
dodoma mjini haijawahi kuwa na mbunge katika miaka 50 ya uhuru wa tanganyika na haitakaa ipate mbunge kwa sababu ya akili za wagogo.
mikoa tanzania ambayo haina wapinzani ni tabora na dodoma na ndio mikoa masikini zaidi tanganyika.
dodoma acha wapigwe mabomu na kuuwawa na ccm kwani ndicho kiapo walichokula,malole hana kosa kwani alijua akili za wagogo wenzake ndo maana akagombea,alimshinda kimbisa kwa sababu za kikabila tu lakini mzee kimbisa ana afadhali kuliko huyu malole.
 
Back
Top Bottom