Dodoma mjini wakosa mbunge

Nimepita maeneo mbalimbali ya dodoma mjini kuhoji watu kuhusu utendaji kazi wa mbunge wao mh.malole kupitia ccm na nimehoji wato 97 katika watu hao watu 73 wanasema mbunge wao hafanyin lolote tangu alipochaguliwa ni bora wangekaa bila mbunge kwani hana faida kwao.watu 21 niliowahoji katika kitongoji cha njedengwa palipobomolewa nyumba siku chache zilizopita wamesema mbunge waliemchagua hakuonekana kabisa katika kuwasaidia wananchi wake tofauti na ahadi zake wakati wa kampeni kwamba angekuwa pamoja na wananchi hasa katika wakati wa shida.
Naomba kuwasilisha jamvini kwa wadau.

Jifunze katiba yenu inasemaje. Kwani kichwa cha habari chako kimevunja Katiba yenu. Mwenye haki kisheria kusema maneno hayo ni Tume yenu ya Uchaguzi na sio mtu yoyote au chama chochote.

Fikiri kabla kuandika mada. Huo ni ushauri wangu kwako.

 
akili ndogo ndogo hufikiria maisha ya watu wakati akili zinazofanya kazi ipasavyo zinafikiri na kutafakari masuala muhimu ya kujamii,kiuchumi na kisiasa yatakayowaletea maendeleo.mleta mada pamoja na mnaounga mkono jiulizeni uwezo wenu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom