Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

Na bado mpaka Lowassa arudishwe, tutaheshimiana tu.
Huku mtaani pia hakufai.Kama hawatomrudisha Lowassa basi goli la mkono ni la UKAWA.
 
Lowassa alikuwa ana usaka urais kwa njia ya kimafya,matunda yake ndiyo yameanza kujitokeza,kama Lowassa ana nia nzuri na chama chake na watanzania kwa ujumla,ana takiwa atoe tamko kukubaliana na kile kilichotokea na awashawishi wafuasi wake wakubaliane na matokeo na waache kufanya fujo.

Wamtoe membe kwanza.. Ni upuuzi kutoa watu wenye uwezo na kuacha vilaza
 
Hapa ni mi naomba paendelee kuchimbika hadi wamrudishe au ukawa wachukue nchi
 
Niko hapa Dodoma nashuhudia kila kitu kweli ni kelele tu na kuna hatari ya kutoke vurugu muda wowote.
 
Hapa ni mi naomba paendelee kuchimbika hadi wamrudishe au ukawa wachukue nchi
Ni rahisi sana UKAWA kuishinda ccm iliyo vipande, dalili zilivyo ni wazi umoja wa lichama ni mgumu kama ngamia kupita tundu la sindano!
....mzee sio harufu ya oil, ni yeye 'kakatwa'!
kingu.jpg
 
Wamtoe membe kwanza.. Ni upuuzi kutoa watu wenye uwezo na kuacha vilaza

Kumtoa Membe ni sawa na kuziba tundu la mtumbwi upande wa kushoto na kutoboa tundu lingine upande wa kulia ukitegemea kuwa hiyo ndiyo dawa ya kuzuia mtumbwi kuzama.
 
Back
Top Bottom