Yona Mallo
Member
- Aug 30, 2018
- 10
- 2
We ndo jinga jingaWewe Ni Mjinga Halafu hujui Kama Mjinga
Azimio la Arusha halikuwahi Kuwa kwenye katiba Na kulifuta halikuhitaji katiba Mpya
Katiba haibadilishwi Kama unabadilisha sabuni ya kuogea
Kenya wana Katiba Mpya Na Jaji aliefuta Matokeo ya ushindi wa Kenyata fuatilie kinachomkuta anaitwa Mama Mwiru
Ni vema Bashiru akajikita na yanayomhusu.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Dkt. Bashiru Ali amesema atamuita mmoja wa mawaziri anayedaiwa kumiliki ekari 1,000 za mashamba ili amueleze alizipataje
Bila kutaja jina la Waziri huyo, Dkt. Bashiru amesema atamtaka Waziri huyo achague kitu kimoja kuwa mporaji wa ardhi ya wanyonge ama kiongozi
Katibu huyo ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akifungua Mkutano wa Baraza la Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Taifa(UWT)
Alisema "Nilienda katika eneo moja wananchi wanajiuliza Waziri huyo amepataje ardhi hiyo nitamuita Waziri huyu aeleze amepataje eneo hilo kwa sababu CCM hawezi kuwa na viongozi waporaji wa ardhi."
MikoroshoEkari 1000 analimia nini!! Dah
Naskia pale royal village ndio wamezaliwa babu na babu yake kwahiyo muhamiaji haramu karithi toka kwa mababu,kuhusu gharama za ujenzi nayo ni pesa ya urithi babu yake aliacha.Huyu Dr. Bashiru ni type ya Nyerere, bado anadhani CCM hii ni ile ya Nyerere ya Azimio la Arusha, kwanza apewe semina kuhusu Azimio la Zanzibar, na akimalizana na huyo waziri, aende kile kijiji cha royal village, nako sio tuu akaulize ardhi imepatikanaje, bali pia aulize hayo majumba yamejengwa kwa fedha kiasi gani na zimepatikanaje, na kumalizia kuulizia ile hoteli ya ghorofa ya nyota 4 ilioota hapo kama uyoga yenye floor ya marble na samani imported za pure leather zimepatikanaje?, na asije kudanganywa ni eneo la ukoo, wahamiaji huwaga hawanaga maeneo ya ukoo!.
P.
Usiofu na paschal Mayala kashajitoa sadaka, tunasubiri muda tuu mambo yatimieNawaomba wana JF tukuombee tuu maana verified user kisha nondo hizi najikuta natetemeka. Hasa kwa hali ya sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la yeye Bashiru, anadhani izo hekari 1000 zipo posta dar es salaam. Iyo mihekari ukienda dodoma, tabora na Lindi unapata tuuu. Tatizo mtu ananunua sehemu anatengeneza panakuwa na thamani mnaanza figisu. Mfano mzuri pale mlimani city pametengenezwa serikali inaanza figisuMbona na mimi nina hekari 1000 na zaidi ,huku kwetu kijijini hekari moja shs 100,000/= unanunua tani yako .Kama mtu Dar anaweza kununua nyumba au kiwanja kwa shs 450m ndio hekari 1000 kijijini kwetu.
Huyu Dr. Bashiru ni type ya Nyerere, bado anadhani CCM hii ni ile ya Nyerere ya Azimio la Arusha, kwanza apewe semina kuhusu Azimio la Zanzibar, na akimalizana na huyo waziri, aende kile kijiji cha royal village, nako sio tuu akaulize ardhi imepatikanaje, bali pia aulize hayo majumba yamejengwa kwa fedha kiasi gani na zimepatikanaje, na kumalizia kuulizia ile hoteli ya ghorofa ya nyota 4 ilioota hapo kama uyoga yenye floor ya marble na samani imported za pure leather zimepatikanaje?, na asije kudanganywa ni eneo la ukoo, wahamiaji huwaga hawanaga maeneo ya ukoo!.
P.