Kuna kipi rahisi ambacho naweza kumuelewesha bibi yangu kule kijijini akaelewa kwa nini maisha ni magumu.Because you choose to let some theological lawyer to think for you. Umekuwa STAN, ndio maana huelewi vitu rahisi.
Kama wabunge wa Chadema wamekula kiapo cha kuitambua katiba, then wanamtambua Rais. Maneno ya kutokumtambua ni siasa tu za barabarani, na itadhihirika leo kwa sababu watakuwepo kumsikiliza Rais wa nchi.
Ewe mwanachama usidanganyike! "akili za kuambiwa,...".
Anajivunia amani ya Zanzibar msimu huu. Zanzibar sasa ni shwari na watu wanaishi kindugu.
A/tibaijukaJK anampokenza AM na SS na anasema wameonyesha wao hawako Gender Biased......Haingalii CCM top Members wote ni wanaume including yeye.....May be 2015 CCM watatoa Mgombea Mwanamke na Hence atakua M/kiti wa Chama
Tuache hayo jamani jk anaongea nini sasa!???
tumefanikiwa kurekebisha mikataba ya makampuni makubwa na wameanza kulipa Kodi, tumetunga sera mpya na sheria mpya........ CCM daima
aihuuuuuinahuuuu?
:nono::nono::nono::nono::nono:tumefanikiwa kurekebisha mikataba ya makampuni makubwa na wameanza kulipa Kodi, tumetunga sera mpya na sheria mpya........ CCM daima
ulitegemea jipya gani mkuu??yaahi hotuba haina kipya anarejea yale yale
tumetunga sheria mpy......
uchumi unakua sasa kwa % 7........
na bla bla zinggine
I take it for you ufisadi is not a problem in Tanzania.Sikilizeni watu ambao wameexperience kugovern. Sio mnapiga kelele ufisadi ufisadi.
Jamani tunazungumzia wabunge wa chadema kutoka au baadhi ya wabunge wa chadema? Mbona sielewi mantinki ya hii post ya Khoty????
....Sisi katika CCM tunawashukuru ndugu zetu hawa wa vyama vya upinzani kwa kutupa changamoto katika uchaguzi huu ulioisha. Tumejifunza tumeteleza wapi, na tunajipanga kuvirudisha viti tulivyovipoteza na kuongeza vingine zaidi. Tunawashukuru kwamba mmetushtua mapema na kutupa fursa ya kujipanga
upya wakati bado tukiwa ni Chama tawala.
Lets assume kweli alishinda. hivi kweli JK amefanya analysis ya kutosha kwa from 80% to 61% na kuweza kujipa sifa zote hizi......Narudia tena shukrani zangu kwa wananchi kwa kunirejesha mimi na Chama Cha Mapinduzi katika uongozi wa nchi yetu. Maelezo yake ni ya aina tatu tu. Kwanza, ni kwamba Watanzania wanaienzi na kuithamini rekodi na historia ya Chama chetu katika dhamana ya uongozi wa nchi yetu. Pili, wameridhika na kazi tuliyoifanya na mafanikio tuliyoyapata katika kipindi cha miaka mitano
iliyopita. Na, tatu, wamekubaliana na hoja tulizozitoa kwenye kampeni kote nchini, na wana imani, juu ya mipango yetu ya kukabiliana na changamoto za nchi yetu na kusukuma gurudumu la maendeleo kama tulivyoahidi kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka huu........
......Naomba pia muwape ushirikiano unaostahili Mawaziri nitakaowateua. Nisaidieni kuwashtua watakapokuwa wanasuasua, lakini pia wapongezeni wakifanya vizuri.......