Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

Nimepewa taarifa toka Dodoma kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar, Ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda amejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge. Nimeambiwa kuwa Makonda amekwenda huko akiitikia wito wa Bunge wa kutaka akajieleze kwa 'kulidharau'.

Mtoataarifa za kimaarifa kwa taifa anasema kuwa Makonda anajitokeza mbele ya Kamati iliyosheheni wana-CCM kindakindaki wanaofahamu msimamo wa Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli. Anaongeza kuwa Makonda anaonekana kujiamini na mtulivu.

Hatimaye, Bunge limenasa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda. Hatimaye, Bunge linaigiza kumhoji Makonda ikiwa ni wazi kabisa 'hawatamfanya kitu chochote' kwa muundo wa Kamati ulivyo; Bunge lilivyo-na wingi wa CCM pamoja msimamo wa na wakukabidhiwa kitakachoamuliwa juu ya Makonda.

Hatimaye, Bunge linachezeshwa ngoma iliyofanyiwa maandalizi ya kutosha na kutisha tangu huku Dar es Salaam. Makonda amekuja huko Dodoma kuizima hoja hiyo juu yake. Wajumbe wa Kamati ya Maadili hawatathubutu kwenda kinyume na chama na Mwenyekiti. Hakutakuwa na jipya.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

===============================
Kamati husika ni hii:

(i)
Mhe. Kapt(Mst), George H. Mkuchika, (Mb)
-
M/kiti
(ii)
Mhe. Almas Maige
(Mb)
-
Makamu Mwenyekiti
(iii)
Mhe. Rashid Ali Abdallah
(Mb)..............Mjumbe
(iv)
Mhe. Amina Nassoro
Makilagi
(Mb).......Mjumbe
(v)
M
he. Dkt. Christine G. Ishengoma
(Mb)......Mjumbe
(vi)
Mhe. Othman Omar Haji
(Mb)...............Mjumbe
(vii)
Mhe. Rose Kamili Suku
m
(Mb)..................Mjumbe
(viii)
Mhe. George Malima Lubeleje
(Mb).........Mjumbe
(ix)
Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf
(Mb)..........Mjumbe
20
(x)
Mhe. Susan Anselm L
yimo
(Mb) ...............Mjumbe
(xi)
Mhe. Tunza Issa Malapo
(Mb)..................Mjumbe
(xii)
Mhe. Asha Abdallah Juma
( Mb)......Mjumbe
(xiii)
Mhe. Augustino Manyanda Masele
(Mb)
......Mjumbe
(xiv)
Mhe. Innocent Sebba Bilakwate
(Mb)......
Mjumbe
(xv)
Mhe.
Emmanuel
Adamson Mwakasaka
(Mb) ...
Mjumbe
Je ile tume iliyoundwa na Mh.Nape yenyewe unausemi gani juu yake?
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Mungu akikupenda huwezi kulamba fa fa fa akakuacha
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Kujitoa ufahamu ni haki yako kikatiba.
 
Wewe ulitakaje labda!!Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu. Makonda yupo na ataendelea kuwepo...Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Mungu anampenda Makonda na Mwenyekiti anampenda Makonda.

Je unamjua Bashite?
Mwendawezimu amepewa rungu, jitahadhari.

Rais anaipenda nyimbo hii na ameagiza(ameshauri) iongezewe maneno.

Nimepewa taarifa toka Dodoma kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar, Ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda amejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge. Nimeambiwa kuwa Makonda amekwenda huko akiitikia wito wa Bunge wa kutaka akajieleze kwa 'kulidharau'.

Mtoataarifa za kimaarifa kwa taifa anasema kuwa Makonda anajitokeza mbele ya Kamati iliyosheheni wana-CCM kindakindaki wanaofahamu msimamo wa Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli. Anaongeza kuwa Makonda anaonekana kujiamini na mtulivu.

Hatimaye, Bunge limenasa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda. Hatimaye, Bunge linaigiza kumhoji Makonda ikiwa ni wazi kabisa 'hawatamfanya kitu chochote' kwa muundo wa Kamati ulivyo; Bunge lilivyo-na wingi wa CCM pamoja msimamo wa na wakukabidhiwa kitakachoamuliwa juu ya Makonda.

Hatimaye, Bunge linachezeshwa ngoma iliyofanyiwa maandalizi ya kutosha na kutisha tangu huku Dar es Salaam. Makonda amekuja huko Dodoma kuizima hoja hiyo juu yake. Wajumbe wa Kamati ya Maadili hawatathubutu kwenda kinyume na chama na Mwenyekiti. Hakutakuwa na jipya.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

===============================
Kamati husika ni hii:

(i)
Mhe. Kapt(Mst), George H. Mkuchika, (Mb)
-
M/kiti
(ii)
Mhe. Almas Maige
(Mb)
-
Makamu Mwenyekiti
(iii)
Mhe. Rashid Ali Abdallah
(Mb)..............Mjumbe
(iv)
Mhe. Amina Nassoro
Makilagi
(Mb).......Mjumbe
(v)
M
he. Dkt. Christine G. Ishengoma
(Mb)......Mjumbe
(vi)
Mhe. Othman Omar Haji
(Mb)...............Mjumbe
(vii)
Mhe. Rose Kamili Suku
m
(Mb)..................Mjumbe
(viii)
Mhe. George Malima Lubeleje
(Mb).........Mjumbe
(ix)
Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf
(Mb)..........Mjumbe
20
(x)
Mhe. Susan Anselm L
yimo
(Mb) ...............Mjumbe
(xi)
Mhe. Tunza Issa Malapo
(Mb)..................Mjumbe
(xii)
Mhe. Asha Abdallah Juma
( Mb)......Mjumbe
(xiii)
Mhe. Augustino Manyanda Masele
(Mb)
......Mjumbe
(xiv)
Mhe. Innocent Sebba Bilakwate
(Mb)......
Mjumbe
(xv)
Mhe.
Emmanuel
Adamson Mwakasaka
(Mb) ...
Mjumbe

Kwa taifa ilo la makondoo huyo ndio raisi anaeandaliwa na hakuna atakae pinga

Mtaufyata
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Kin... E.... Mbe
 
Huyo mpuuzi usimpe credit za bure,inakuwaje anatembelea magari ya aliowatuhumu???Hakukuwa na vita bali chuki,mpaka leo nani aliyemtaja yuko jela?Mpaka 2020 hutasikia aliotaja Makonda wakiwa behind bars,hapo ndio utajua alikuwa na malengo tofauti!Hili linathibitishwa na pale alipotishia kuwaingiza clouds kwny list ya madawa kama hawatafanya kile akitakacho!
Blackmail tupu kawaibia watu pesa zao na mali zao nina hakika makonda angekuwa Uganda wangeshamaliza biashara yote zamani
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Lazima kieleweke. Nijuavyo mimi ni kwamba, vitendo vyote vya kumsakama Makonda ni kujaribu kufifisha moto wa kupambana na waovu hasa wanaohusika na MADAWA ya kulevya.
Kama angeweza mimi ningeomba aongeze nguvu zaidi, wala asijaribu kurudi nyuma.
 
Hizo Kelele zilikuwepo mwaka 2000
ikawa 2005
Ikaja 2010
Bado mkasema 2015
Leo mnasema 2020
Mtaingia kuzimu mkitaja miaka tu
ikulu never kwa wahuni
Duhh!! mtu wa ajabu kabisa wewe, kama Ikulu ni never kwa wahuni vipi juu ya ule wimbo wa Nay wa WAPO unawataja akina nani na wapo chama gani? na usinibishie chochote juu ya huo wimbo kwani umeishapewa baraka zote kuwa yaliyoimbwa humo ni kweli tupu.
 
Lazima kieleweke. Nijuavyo mimi ni kwamba, vitendo vyote vya kumsakama Makonda ni kujaribu kufifisha moto wa kupambana na waovu hasa wanaohusika na MADAWA ya kulevya.
Kama angeweza mimi ningeomba aongeze nguvu zaidi, wala asijaribu kurudi nyuma.
Vita ipi? Dawa zipi? wewe upo Nchi gani? Tangia leo tambua kuwa hakuna vita ya Unga bali makonda kaandaa blackmail ili apate Rushwa na dawa za kwenda kuuza china na South Africa, kwa sasa makonda ana hazina kubwa ya Unga kaweka kwake an
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Tanzania bila madawa ya kulevya haiwezekani.Huu ndio ukweli.
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Tanzania bila DAWA haiwezekani magonjwa ni mengi.
 
Nimepewa taarifa toka Dodoma kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar, Ndugu Daudi Albert Bashite alias Paul Makonda amejitokeza mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge. Nimeambiwa kuwa Makonda amekwenda huko akiitikia wito wa Bunge wa kutaka akajieleze kwa 'kulidharau'.

Mtoataarifa za kimaarifa kwa taifa anasema kuwa Makonda anajitokeza mbele ya Kamati iliyosheheni wana-CCM kindakindaki wanaofahamu msimamo wa Mwenyekiti wetu na Rais wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli. Anaongeza kuwa Makonda anaonekana kujiamini na mtulivu.

Hatimaye, Bunge limenasa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda. Hatimaye, Bunge linaigiza kumhoji Makonda ikiwa ni wazi kabisa 'hawatamfanya kitu chochote' kwa muundo wa Kamati ulivyo; Bunge lilivyo-na wingi wa CCM pamoja msimamo wa na wakukabidhiwa kitakachoamuliwa juu ya Makonda.

Hatimaye, Bunge linachezeshwa ngoma iliyofanyiwa maandalizi ya kutosha na kutisha tangu huku Dar es Salaam. Makonda amekuja huko Dodoma kuizima hoja hiyo juu yake. Wajumbe wa Kamati ya Maadili hawatathubutu kwenda kinyume na chama na Mwenyekiti. Hakutakuwa na jipya.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

===============================
Kamati husika ni hii:

(i)
Mhe. Kapt(Mst), George H. Mkuchika, (Mb)
-
M/kiti
(ii)
Mhe. Almas Maige
(Mb)
-
Makamu Mwenyekiti
(iii)
Mhe. Rashid Ali Abdallah
(Mb)..............Mjumbe
(iv)
Mhe. Amina Nassoro
Makilagi
(Mb).......Mjumbe
(v)
M
he. Dkt. Christine G. Ishengoma
(Mb)......Mjumbe
(vi)
Mhe. Othman Omar Haji
(Mb)...............Mjumbe
(vii)
Mhe. Rose Kamili Suku
m
(Mb)..................Mjumbe
(viii)
Mhe. George Malima Lubeleje
(Mb).........Mjumbe
(ix)
Mhe. Dkt. Suleiman Ally Yussuf
(Mb)..........Mjumbe
20
(x)
Mhe. Susan Anselm L
yimo
(Mb) ...............Mjumbe
(xi)
Mhe. Tunza Issa Malapo
(Mb)..................Mjumbe
(xii)
Mhe. Asha Abdallah Juma
( Mb)......Mjumbe
(xiii)
Mhe. Augustino Manyanda Masele
(Mb)
......Mjumbe
(xiv)
Mhe. Innocent Sebba Bilakwate
(Mb)......
Mjumbe
(xv)
Mhe.
Emmanuel
Adamson Mwakasaka
(Mb) ...
Mjumbe
Nyinyi ni wapumbafu sana, mmetaka aitwe sasa kaitwa bado tu mnajifaragua. Kwanini mlilia aitwe? Mlitaka aitwe na bunge la wapi, Madagascar, Morroco, Nigeria ama Ethiopia? Stop childish
 
Wewe ulitakaje labda!!
Mnajua kabisa Mwisho wa mbwembwe ni aibu
Makonda yupo na ataendelea kuwepo
Tanzania bila nadawa inawezekana
Mnunuliwe msi nunuliwe mapambano yanaendelea.

Mtamchukia sana Makonda
lakini Mwenyezi mungu anampenda Makonda
hamta penya.
Vita vya madawa ya kulivya ni yakupiganwa bila woga na watz wooote.

Shida ni kuwa Makonda kageuza vita hivi kuwa FURSA yake ya KUJINUFAISHA NA KUJINEEMESHA KUICHUMI. Ukikataa kumuazima Helkopita ujue utaingizwa kwenye orodha ya Wauza madawa ya kulevya.
Yeye mwenyewe sio mwaminifu wala sio mwadilifu ni mlafi wa kujilibikizia UKWASI hata kama unaupata kwa kudhalilisha na kudhulumu wengine,Hata hata chembe ya Utu na Nidhamu ktik kazi zake hata shetani anamshida kwa hilo.

Kwa kuwa amepata kibali kwa RAIS baaasi anaigeuza yeye ndio RAIS WA NCHI. Lazima awajibishwe bila woga.
 
Back
Top Bottom