Dodoma: Ajimwagia mafuta ya taa na kujichoma moto mpaka kufa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
faya.jpeg

Mwanamke mmoja mkazi wa Mtaa wa Nduka, Kata ya Chamwino jijini Dodoma, Rehema Shabani (41), amefariki duniani kwa kujimwagia mafuta ya taa na kujiwasha moto akiwa amejifungia chumbani kwake.

Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nne asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Alisema mtoto wake kabla ya umauti kumfika alikuwa akiumwa kwa muda mrefu hali ambayo wakati mwingine ilikuwa ikimfanya kuchanganyikiwa.

“Alikuwa anaumwa kabla ya tukio hili hali ambayo ilikuwa inamfanya wakati mwingine kuwa kama mtu aliyechanganyikiwa na wakati mwingine kuwa sawa.

“Leo niliamka asubuhi yeye akiwa amelala, lakini badaye aliamka na kuniuliza mama unapika uji nikasema ndiyo akasema sawa akaondoka akaenda dukani baadaye akarudi baada ya kukuta duka limefungwa na kisha kurejea tena dukani,” alisema.

Nipashe
 
Sababu hazifanani hata chembe!
 
Mmmh!
Like a spinning tactics in order to decieve people from knowing the real cause of the tragedy. Anyway!
 
Mwanamke mmoja mkazi wa Mtaa wa Nduka, Kata ya Chamwino jijini Dodoma, Rehema Shabani (41), amefariki duniani kwa kujimwagia mafuta ya taa na kujiwasha moto akiwa amejifungia chumbani kwake.

Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa nne asubuhi huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Alisema mtoto wake kabla ya umauti kumfika alikuwa akiumwa kwa muda mrefu hali ambayo wakati mwingine ilikuwa ikimfanya kuchanganyikiwa.

“Alikuwa anaumwa kabla ya tukio hili hali ambayo ilikuwa inamfanya wakati mwingine kuwa kama mtu aliyechanganyikiwa na wakati mwingine kuwa sawa.

“Leo niliamka asubuhi yeye akiwa amelala, lakini badaye aliamka na kuniuliza mama unapika uji nikasema ndiyo akasema sawa akaondoka akaenda dukani baadaye akarudi baada ya kukuta duka limefungwa na kisha kurejea tena dukani,” alisema.

Nipashe
Siri yake amekufa nayo ilibaki ni dhana tuendelee kumuomba Mwenyezi Mungu!
 
Inaonekana kama Kuna kitu kimejificha nyuma ya tukio hili.
Huyo mtoto wake alikuwa wapi wakati moto ulipowashwa? Kuna mashaka makubwa kwenye hili, uchunguzi wa kina unapaswa kufanyika. Huenda pengine kuna 'mkono wa mtu.'
 
Kajimaliza kama mtoto wa nabii aliekutana na yesu
 
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
 
Inaonekana kama Kuna kitu kimejificha nyuma ya tukio hili.
Huyo mtoto wake alikuwa wapi wakati moto ulipowashwa? Kuna mashaka makubwa kwenye hili, uchunguzi wa kina unapaswa kufanyika. Huenda pengine kuna 'mkono wa mtu.'
Polisi wana weledi zaidi wacha watuletee ramli zao wakusanye kijiji kabla ya mchujo!
 
Back
Top Bottom