Do you have guts??? Basi "Brag" a bit....

I didn't mean a reader as the one who reads books et al. I meant a reader as a lecturer/professor at a public/private University.


I had understood but posed my question badly.... Sorry, was I supposed to ask "what field are you?" hopefully it sounds alrite now...
 
Huku niliko napatikana kwa kutumia radio call,e-mail na JF tu nishasahau matumizi ya cellphone kabisa..Nikija mjini ntawawekea wazi kabisa.Vipi kwa maelezo hayo naweza kuwa mwanasiasa au siwezi binti Mwali???
Unaweza sana! hadi umenifanya mimi Mwali nikuombe namba za sim? hiyo ni convincing power ya nguvu! lol
 
iv bn great bigy sisy!
Tunapishana sana tu hapahapa....
Mmmh umenifurahisha hapo kwenye lips, unajua huo ni ugonjwa wangu lol
nina collection ya movie za Angelina Jolie just to watch those lips!
Mi bwana nmefanikiwa kufika Zenji baada ya mipango ya mda mrefu.



Mgonjwa wa lips eeeh? lol.... Basi you outa see ya ADI....
thou Frankly speaking ya Jolie ni Unique....
Movie gani wapenda yake na why?
 
Kakufanyaje Michelle? lol

Yaani Mwali (twin sisy wangu wa ukweli), psychological torture and disturbance.....!

Wewe kama ni pacha wangu utakuwa unajua alichofanya....mwambie vibaya hivyo....:smash:
 
AMEN dearest, you help me with my problems and i will be the best....that i promise.....you are a great lady too and thats why i gave you the job to do....God Bless you more dear....pamoja saaaaaaaaaaaaaana mpaka kieleweke....!


How wonderful it is to read this..... Humbled Dearest..... May God Bless you too...... Na I agree with you, mpaka kieleweke!
 
hivi unajua kila nikikusoma huwa nashtuka?
unajua why?
ukichukua herufi tano za hii id yako
ndo zinatengeneza my first name.......kwangu mimi ambitious is my name....

And ambitious you must be.Lucky you. Ningekuwa na cheti cha kuzaliwa cha hospitali ningebadilisha nijiite kama wewe ila haya majina ya kupewa na waganga hayabadiliki kwanza ni mwiko kayabadilisha.The boss am happy to have the same name as you though in two different forms of existence mine being JF only.
 
Yaani Mwali (twin sisy wangu wa ukweli), psychological torture and disturbance.....!

Wewe kama ni pacha wangu utakuwa unajua alichofanya....mwambie vibaya hivyo....:smash:
Tema hapa nimchape. Alafu mi najua dawa yake huyu. lol
 
hahahaha.... I like this! Bragging at it's best! lol.... Gat to meet you Learned.... I bet you physique is Learned too....:biggrin:

You surely don‘t want to be tempted to fall for a guy u meet just on day 1,do you? I should save u from mental anguish and craving that are certain to ensue soon thereafter!!
 
Huu mstari unahusu watu walioishi enzi za Nuhu, walifanya uovu mwingi sana ndipo Mungu alipoamua kuwagarikisha.



Sasa nimekupata Kadakabikile...... Thank you.... nje ya hio kuna kitu/feature yako ambayo waikubali saana?
 
Nimeipenda hii wajameni, haya nakusifia "bonge"...
Nmefanikiwa kula urojo wa forodhani lol

Kwahiyo umeamua kuninyanyasa ehh??!
Hunijui , sikujui achana na mimi. Konnie atanisaidia source.

Hehehehe umeosha ehhh?!Mi urojo sijui hua nauonaje. .. hata kuonja tu HAPANA.
 
And ambitious you must be.Lucky you. Ningekuwa na cheti cha kuzaliwa cha hospitali ningebadilisha nijiite kama wewe ila haya majina ya kupewa na waganga hayabadiliki kwanza ni mwiko kayabadilisha.The boss am happy to have the same name as you though in two different forms of existence mine being JF only.

Hee kumbe jina lako ni ambitious?Ama kamba tu?
 
Back
Top Bottom