ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,785
- 1,317
ipo kwenye manyonyo af siipendi.........
mh,neiba bethimak ni tofaut na machata ya frimasons!
BT true, wapo ambao wanazaliwa na hawana birthmark.
Ila me ninayo,ipo ktkt ya maungio ya paja na kiuno,
ila yangu inanishangaza kidogo coz ipo kama alama ya kopa hv.
Nilijaribu kumuuliza mom(R.I.P) nae akanithibitishia kwa kunipa picha za utotoni.
So nimezaliwa nayo.
ipo kwenye manyonyo af siipendi.........
charminglady labda umwambie na sidhani kama uko hvyo. Hata hvo mi naangalia tu. Kwan ntafanya nn kbaya?
really Madame B? just like me! ila yangu imekaa kama squire.
Boflo, binti yangu anayo kwenye t.ko lake la kushoto. Nilimzaa hivyo hivyo. Ukimaliza kutoa mahari utaiona! LOL by the way, nilicheck bank balance sikuona umedeposit ile wan em!
birthmark yangu iko kwenye mpini. Nakuvujishia siri, mpini wangu una matawi
Real Sashel!
Yangu ni full Kopa,
ila huwa naipaka rangi kuiongezea manjonjo ili ipendeze zaidi.
Maana unaweza sema nimechora tattoo!!!
Bora hata ingesogea sogea tutani.
u hav made my morning! lol!msichanganye alama ya Ndui au zile chanjo za Pepo Punda, Surua, kwashakoo na magonjwa mwengine hasa yanayopatikana ktk umri wa utoto.
charminglady labda umwambie na sidhani kama uko hvyo. Hata hvo mi naangalia tu. Kwan ntafanya nn kbaya?