Do you have a birthmark? Where is it?

Kumbe watu wengi wanazo! Mimi na dada yangu mkubwa wote tunazo kwenye paja la mkono wa kushoto upande wa nyuma. Dada yangu yeye ni mweusi, ya kwake ni nyeupe (kwa maana ya kama mtu mweupe), wakati mimi ni mweupe na yangu ni nyeusi. Nimekuwa nikijiuliza hizi alama zinatokea tu au nazo tunarithi? Mimi na dada yangu tumechangia baba tu, natamani kweli kumuuliza baba kama anayo!
 
BT true, wapo ambao wanazaliwa na hawana birthmark.
Ila me ninayo,ipo ktkt ya maungio ya paja na kiuno,
ila yangu inanishangaza kidogo coz ipo kama alama ya kopa hv.
Nilijaribu kumuuliza mom(R.I.P) nae akanithibitishia kwa kunipa picha za utotoni.
So nimezaliwa nayo.

really Madame B? just like me! ila yangu imekaa kama squire.
 
charminglady labda umwambie na sidhani kama uko hvyo. Hata hvo mi naangalia tu. Kwan ntafanya nn kbaya?
 
Last edited by a moderator:
mie ninayo upande wa kulia wa mguu. ina shepu mbayaaaa sbb kubwa. bora tu ipo faint.
 
really Madame B? just like me! ila yangu imekaa kama squire.

Real Sashel!
Yangu ni full Kopa,
ila huwa naipaka rangi kuiongezea manjonjo ili ipendeze zaidi.
Maana unaweza sema nimechora tattoo!!!
Bora hata ingesogea sogea tutani.
 
Naweza kuiona?

du hairusi kwa mtu ajnabii kuiona only ma husband to be labda na daktari tena awe ke,me noooooooooo!
 
Ninazo tatu, moja ipo tumboni kwa pembeni, ya pili ipo pajani ya tatu, kama kakipele cheusi ipo kifuani pembeni kidogo ya

ka-nipple
 
msichanganye alama ya Ndui au zile chanjo za Pepo Punda, Surua, kwashakoo na magonjwa mwengine hasa yanayopatikana ktk umri wa utoto.
 
Real Sashel!
Yangu ni full Kopa,
ila huwa naipaka rangi kuiongezea manjonjo ili ipendeze zaidi
.
Maana unaweza sema nimechora tattoo!!!
Bora hata ingesogea sogea tutani.

Unaipaka rangi?!! ahahah we kiboko!
 
waooh! Wanasema golden chance never came twice..ngoja nianze kujibaraguza kama njiwa dume mbele ya majike [ushawah ona hyo]. Niambie
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom