Mkuu kasii Hujatuambia unatumia Modem ipi? chomeka Modem yako kisha andika kwenye Bowser hizi herufi 192.168.0.1 kisha bonyeza Enter itafunguka kisha utaendelea wewe mwenyewe au bonyeza hapa D-LINK SYSTEMS, INC | WIRELESS ROUTER | SETUPkwa anayejua configuration za dlink router nahitaji msaada