BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 5,263
- 11,754
Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.
Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.
Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa Dr. Tulia Ackson.
Huyu msomi huwezi kumfanisha na akina Jenista Mhagama waliopata madivisheni ziro, au sijui Halima Mdee. Hiki ni chuma kweli kweli.
Hata anavyoliongoza Bunge unaona kabisa huyu ni msomi wa kisawasawa.
2025 twende na hiki chuma. Tusipoteze tunu adhimu kama hii.