Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

Hilo swali linalengo na kumfuta kazi.Kama haipendi hiyo kazi aseme Bashite Kakosea hata kiti hatakalia!
 
WanaJF,

Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa.

"Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"-Waziri Mwakyembe

HIVI HILI JAMAA KUMBE NI LIJINGA NAMNA HII??? LINATUMIKA KAMA MPIRA UZEENI>>>
 
ma DR wa kukalili , hili ushahidi gani anaotaka? njaa zinawadhalilisha sana hawa ma Dr wa tanzania
 
Yeye nae huyu sheria sheria bila haki na ukweli. Dume ni Nape hao bure tu.
 
WanaJF,

Waziri mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo amejibu swali la waandishi kadhaa wa habari waliomhoji mapema leo baada ya kuapishwa katika viunga vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mwakyembe amenukuliwa akisema maneno yafuatayo juu ya sakata hilo lililotikisha vichwa vya habari nchini kwa juma moja sasa.

"Ninachokijua kuhusu tukio la Clouds Media kinatokana na vyombo vya habari, sidhani kama taarifa hizo zinatosha mimi kutoa uamuzi"-Waziri Mwakyembe

Permanent Head Damage, our poor doctor (mwakyembe)
 
Back
Top Bottom