Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

Sio wanahabari tu,hata cc wananchi wengine,tunatakiwa kukesha tukiomba,kwakua akifungia vyombo vya habari tutaenezaje ubaya wa mwakyembe,magufuli na bashite? Huyo amefaulu mtihani wa magufuli,hata lile jambo la ufungaji wa ndoa nikomdi walilipanga,ili Leo atuaminishe watu walisema mwakyembe hatakuja kuapishwa,kuonyesha anamtii na kaja ! Yote anayoyafanya ss hakuna lakuamini hata moja ni komedi tupu !
 
Achana na hilo jambo hana ubavu nalo kabisa, sijawahi kumuamini huyo bwana toka nimfahamu. Tena asituongezee hasira na kutufanya sisi wajinga. Vyeti vya ndoa/kuzaliwa alilitoa wapi!
 
Huyo sasa hivi yuko mezani anakula na kwa tamaduni zetu huruhusiwi kuongea ukiwa unakula si mliambiwa viongozi wetu huwa na busara wanapo staafu kwa sasa usomi wake upo tumboni twaaafaaaaa
 
Me sijamuelewa vzuri kwa hyo mkulu ameharakisha kutoa uamuzi.....?Mbona mkuu wa kaya tayari ameshatoa uamuzi
 
Mwakyembe ameshapewa first assignment na mheshimiwa bwana mkubwa kwamba aka-deal na kile kituo cha tv ambacho kinapenda "kufanya uchochezi!" kwa kuonesha maandamano ya wakulima na wafugaji!!!
 
1. Inawezekana hata mtuhumiwa aliigomea kamati makusudi ili ripoti ikose nguvu.
2. What next???
 
Waandishi mbaneni hapohapo kuhusu uvamizi cloud mpaka akiwaona awe anawakimbia.

Yeye kama waziri anachukua hatua kufuatilia huo ushahidi ili utoshe.

Naona anataka kuanza usanii mapema sana
 
Hivi Magu anateua mawaziri halafu anawaelekeza cha kufanya tens hata kama hakina weledi?
 
Naona ile sumu iliyom'babua miaka kadhaa iliyopita bado inazunguruka kichwani.. Madigrii yamekuwa corrupted
 
Mnaochonga mtasubiri sana.
Hatudhani kama mngepewa kazi yake ingekuwaje.
Hamstahili kabisa wadhifa huo.
Acheni walio kwenye mfumo waseme. Sisi na nyie mlioko nje tuangalie mambo ki-50/50.
 
Back
Top Bottom