Dkt. Mollel: Bima ya Afya Sio Mfuko wa Kusaidia Wasiojiweza

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,042
49,727
Ujumbe kuntu huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, bali ni mfuko wa kuchangiana ili mmoja atakapoumwa aweze kupatiwa matibabu.

Samia apigilia msumali πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨

Rais Samia: Bima ya Afya haiepukiki
ZANZIBAR: RAIS, Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendelea kutoa huduma za afya endelevu suala la bima ya afya kwa kila mtu haliepukiki.

Rais Samia ameyasema hayo leo Januari 10, 2024 katika ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi (Lumumba)

Amesema, hospitali hiyo ya Lumumba itasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa na kutoa huduma bora zinazokusudiwa.

"Suala la bima ya afya haliepukiki tujipange kila mmoja kuwa na bima ili tutibiwe vile ipasavyo,” amesema.

Pia ameeleza kufarijika kuwepo kwa wataalamu katika hospitali hiyo, na kutoa rai kwa Wizara ya Afya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
 
Huyu huo uwaziri asingekua waziri ningemkwida ngumi
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendelea kutoa huduma za afya endelevu suala la bima ya afya kwa kila mtu haliepukiki.

Amebainisha hayo wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Lumumba na kusema hospitali hiyo itasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa na kutoa huduma bora zinazokusudiwa.

"Suala la bima ya afya haliepukiki tujipange kila mmoja kuwa na bima ili tutibiwe vile ipasavyo,” amesisitiza Rais Samia.

Pia ameeleza kufarijika kuwepo kwa wataalamu katika hospitali hiyo, na kutoa rai kwa Wizara ya Afya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
 
Ujumbe kuntu huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, bali ni mfuko wa kuchangiana ili mmoja atakapoumwa aweze kupatiwa matibabu.

Samia apigilia msumali πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨

Rais Samia: Bima ya Afya haiepukiki
ZANZIBAR: RAIS, Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendelea kutoa huduma za afya endelevu suala la bima ya afya kwa kila mtu haliepukiki.

Rais Samia ameyasema hayo leo Januari 10, 2024 katika ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi (Lumumba)

Amesema, hospitali hiyo ya Lumumba itasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa na kutoa huduma bora zinazokusudiwa.

"Suala la bima ya afya haliepukiki tujipange kila mmoja kuwa na bima ili tutibiwe vile ipasavyo,” amesema.

Pia ameeleza kufarijika kuwepo kwa wataalamu katika hospitali hiyo, na kutoa rai kwa Wizara ya Afya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

View: https://www.instagram.com/reel/C17Bd5DiRyT/?igsh=OWZkcjQ1cXk5dHNn
 
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendelea kutoa huduma za afya endelevu suala la bima ya afya kwa kila mtu haliepukiki.
Suala la bima ni muhimu kweli lakini liwe na uzito wa kuwa endelevu ( bila kukolapusi) baadhi ya mambo lazima yafanywe. Kudhibiti udanganyifu kwenye matibabu na vipimo, kuimarisha uzalishaji wa madaktari, wauguzi na wengineo Bora na si Bora madaktari, wauguzi na wengineo. Kuondoa matumizi mabaya ya fedha zinazokusanywa.

Mpaka sasa nadhani maelezo ya kina hayajapatikana kuhusu hoja hizi.
 
Ujumbe kuntu huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, bali ni mfuko wa kuchangiana ili mmoja atakapoumwa aweze kupatiwa matibabu.

Samia apigilia msumali πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ”¨πŸ”¨

Rais Samia: Bima ya Afya haiepukiki
ZANZIBAR: RAIS, Samia Suluhu Hassan amesema ili kuendelea kutoa huduma za afya endelevu suala la bima ya afya kwa kila mtu haliepukiki.

Rais Samia ameyasema hayo leo Januari 10, 2024 katika ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi (Lumumba)

Amesema, hospitali hiyo ya Lumumba itasaidia kupunguza msongamano wa wagonjwa na kutoa huduma bora zinazokusudiwa.

"Suala la bima ya afya haliepukiki tujipange kila mmoja kuwa na bima ili tutibiwe vile ipasavyo,” amesema.

Pia ameeleza kufarijika kuwepo kwa wataalamu katika hospitali hiyo, na kutoa rai kwa Wizara ya Afya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.
Cheki hii tikiti, anaongea vitu gani sijui!
 
Back
Top Bottom