Dkt. Magufuli akagua ujenzi nyumba za Serikali

Watz hatujielewi maana tumelewa siasa kiasi cha kupotaza dira ,anayefanya kazi hatumtaki aliyekaa ofisini na kusoma magazeti tunamshangilia yaani its shame.

Mtekelezaji wa Ilani kwa vitendo zaidi ni huyu hakuna mwingine ndani ya CCM.
 
wapi magufuli aliuza nyumba? acha kashifa juzi, waliwawekea yu tubu ya maelezo ya sumaye namna mkapa alivyopitia kuuzwa kwa nyumba za serikali baada ya bunge kukata kutenga hera za matengenezo, na kama haukuiona tafuta kuriki kumkashimu mtu,
mtu anatumika watanzania nyie ni kumuandama tu,na kuwasapoti wale ambao utumishi wao wa miaka kenda serikalini hakuna wanachoweza kuonyesha ,hatufiki kwa namna hii,

Magufuli hajaandamwa suala lililopo ni uwajibikaji wa pamoja. Ukisikiliza hotuba ile kwa usahihi utaona ina mapungufu mengi. Kwamba Serikal haina uwezo/bajeti ya kuhudumia nyumba sasa inakuwaje mfanyakazi akawa na uwezo wa kukarabati hizo hizo nyumba. Serikali ikauza nyumba wakati huo huo ikawapangia wafanyakazi na familia zao hoteli. Kama ilikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri basi yeye ni mmoja wao.
 
Mpango mzima ni kujenga nyumba 10,000 na kuwauzia wafanyakazi wa Serikali katika madaraja mbalimbali hata wa kipato Cha chini kabisa.

Wasiwasi wangu ni kwamba watauziwa ndugu wa vigogo wa chama na serikali hata kama siyo wafanyakazi, na watauziwa kwa bei ambayo haifiki hata robo au nusu ya gharama za ujenzi. Ni matumizi mabaya ya kodi za walalahoi na wakeshahoi!
 
wapi magufuli aliuza nyumba? acha kashifa juzi, waliwawekea yu tubu ya maelezo ya sumaye namna mkapa alivyopitia kuuzwa kwa nyumba za serikali baada ya bunge kukata kutenga hera za matengenezo, na kama haukuiona tafuta kuriki kumkashimu mtu,
mtu anatumika watanzania nyie ni kumuandama tu,na kuwasapoti wale ambao utumishi wao wa miaka kenda serikalini hakuna wanachoweza kuonyesha ,hatufiki kwa namna hii,

Anatumika vipi hebu dadavua kidogo.Hivi operesheni kimbunga ilikukosaje wewe? Lazima utakuwa mkimbizi haramu wewe.
 
na hizi lazima atajiuzia,moja kwa mdogo wake na moja kwa mchepuko wake!!!once a thief always a thief.
 
sijaielewa hii habari. ameshutukiza halafu anafungua jengo? na kibao kimeandaliwa? wakati mwengine nivizuri kushirikisha ubongo.

attachment.php
 
sijaielewa hii habari. ameshutukiza halafu anafungua jengo? na kibao kimeandaliwa? wakati mwengine nivizuri kushirikisha ubongo.

attachment.php

Ubongo umeshirikishwa, msamehe alipokosea. Ila kazi ni nzuri.
 
Magufuli hajaandamwa suala lililopo ni uwajibikaji wa pamoja. Ukisikiliza hotuba ile kwa usahihi utaona ina mapungufu mengi. Kwamba Serikal haina uwezo/bajeti ya kuhudumia nyumba sasa inakuwaje mfanyakazi akawa na uwezo wa kukarabati hizo hizo nyumba. Serikali ikauza nyumba wakati huo huo ikawapangia wafanyakazi na familia zao hoteli. Kama ilikuwa ni uamuzi wa baraza la mawaziri basi yeye ni mmoja wao.

Nadhani tatizo ni jinsi ya kujieleza ndio ilikuwa tatizo ila ki ukweli zile nyumba zilikuwa zimepitwa na wakati sana.
Madhalani, nyingi zilikuwa hazina master bedroom mlikuwa mnashare bafu watoto, mama na baba, kwa wakati huu mtanzania wa kipato cha kati hawezi kukubali kushare bafu na watoto.

Pili, kama kuna mtu alibahatika kwenda kwenye zile nyumba atakubaliana na mimi zilikuwa zimefikia life span yake zilitakiwa kubomolewa na zijengwe mpya.

Shida kwangu kwa nini hawakubomoa baadhi ya nyumba maeneo yale na wakadesign nyumba mpya kwa kupunguza ukubwa wa maeneo na kupata nyumba nyingi zaidi?
Nadhani suala la kuuziwa wafanyakazi ilikuwa ni mojawapo ya mapendekezo ya ripoti na hapo ukumbuke serikali ilikuwa na akina Chenge, Lowassa, Mramba, Yona nk. Hapo ndio Magufuli asingeweza kufurukuta hata maka anaipenda nchi kiasi gani bali ni kusimamia ujenzi wa nyumba mpya kwa kasi ili aweze kupambana na propaganda zilizokuwa zinajitokeza.

Kulikuwa kuna mambo mawili ambayo magufuli alikuwa anatakiwa either achaguwe kufanya kujiuzuru au kupambana ndani ya system na kuwaonyesha watanzania kuwa ni mpambanaji.

Yeye aliamua kubaki na kupambana ndani ya system, na cha kwanza ni kuanza ujenzi wa nyumba mpya mara moja hata kama serikali ina hali mbaya ya kifedha. Na hii ndio uongozi si kukimbia tatizo bali kupambana na kurekebisha tatizo kwa kutafuta njia mbadala.

Hili la ujenzi wa nyumba lazima tumpe sifa zake kwa sababu ameweza kupambana zikajengwa, pili nadhani amepanua mawazo kwamba serikali inabidi iwe inawekeza kwenye nyumba mpya ndio inasaidia ukuaji wa maeneo na pili inaongeza ukuaji wa uchumi hasa kwa kutoa ajira kwa vijana.

Wazo langu binafsi nadhani kuna haja ya serikali kwa siku za baadae hata kwenda kwenye mapori kujenga majengo ya ofisi na wizara mapya na huku mjini ambako kumejaa waachane nako itasaidia kupunguza foleni
 
Hizi zipo sokoni very soon utasikia ni mzigo mkubwa serekali kumiliki nyumba mtumishi anatakiwa ajenge nyumba yake au akapangishe.
 
Hizi zipo sokoni very soon utasikia ni mzigo mkubwa serekali kumiliki nyumba mtumishi anatakiwa ajenge nyumba yake au akapangishe.

Jamani sera ya nyumba za serikali mbona ipo wazi " Kujenga na Kuuza Nyumba kwa watumishi wa serikali" Target nyumba 10,000 na kwa sasa wana zaidi ya nyumba 2000 na zaidi wamejenga.
 
Back
Top Bottom