Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,920
- 15,610
Onesha hayo makosa unayodai kama kweli wewe mweledi wa lugha, unakwama wapi ndugu yangu?Basi labda kaandikiwa na non native english speaker na hakusoma kabla ya kupost kwa maana kuna makosa ya kigrammar ambayo hayawezi kufanywa na native speaker hata siku moja achilia mbali huyo loya, ...
Kiingereza ni lugha pana, haiko finyu kama hivyo unavyoisawiri.
Na hata kama angekuwa kaandikiwa, basi jambo la awali ingekuwa ni yeye kupitia maandishi na kusahihisha lugha (kama kuna makosa). Hiyo (umakini) ni kawaida kwa wazungu ambao wamesomea fani nyinginezo, si kwambii mtu aliyesomea law na mashuhuri duniani kama huyo Robert umakini wake utakuwa juu kwa kiwango gani.