Uchaguzi 2020 Dkt. Damas Ndumbaro achukua fomu ya Ubunge Songea Mjini kupitia CCM. Atumia usafiri wa baiskeli

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,722
45,128
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Dokta Damas Ndumbaro amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama cha CCM kwa ajili ya kuwania ubunge wa Songea Mjini kwa kuwasili ofisi za CCM akiwa na usafiri wa baiskeli. Mwaka huu tutashuhudia mengi mno

1.jpg
2.jpg
3.jpg
 
Aisee, sisi wana wanchi ndo tumekuwa vipofu. Muda huu wanatumia kila njia ya ulaghai ili kuendelea kutupumbaza.
 
phd ya bongo, just mocking walala hoi
Kama ya Cashew nuts? None productive and practical in real life.If education did not help changes to betterment, what's the use of investing to such idiotic researchers and then award them Doctorates?
 
Back
Top Bottom