Dk slaa vs jk vote nani zaidi

Tupeleke ombi kwa uongozi JF wawe na kitu kama hicho ambacho kura itapigwa kutokana na ID ya mtumiaji wa JF ndiyo itakayotuhakikishia ukwali kamili, lakini hii ya kutumia maoni mmoja anaweza kuingiza maoni zaidi ya 50 na zikahesabika kura hamsini kumbe ni mmoja yule yule.
 
Tupeleke ombi kwa
uongozi JF wawe na kitu kama hicho ambacho kura itapigwa kutokana na ID
ya mtumiaji wa JF ndiyo itakayotuhakikishia ukwali kamili, lakini hii ya
kutumia maoni mmoja anaweza kuingiza maoni zaidi ya 50 na zikahesabika
kura hamsini kumbe ni mmoja yule yule.

yes man good idea.
 
Hivi mtu unaweza kupigisha kura kati ya jiwe na nazi? (mtu ambaye ni dhaifu ni sawa na nazi")
 
Hivi mtu unaweza kupigisha kura kati ya jiwe na nazi? (mtu ambaye ni dhaifu ni sawa na nazi")

Much respect! Ni ngumu sana kulinganisha speed ya Bajaj na Boeng 700! Ni sawa kupgia kura Picha ya mgombea na kivuli kisicho na mhusika!
 
Mkuu wewe unaona nani zaidi? Usichukie kutokana na ukweli kuwa maswali ya hovyo hujibiwa hivyo hivyo.
 
unaweza kufananisha MASAKI na TANDIKA au DAR ES SALAAM na ARUSHA . utamfananishaje mshindi wa u RAIS wa NCHI na mgombea asiyeshinda (BABU) ............ hivi mtu kafunga ndoa juzi (kaoa) utamfananisha na rijali . mwanaume mjanja ,mswahili, mtoto wa Bagamoyo aliyekulia kariakoo . anaongea na GEORGE BUSH , OBAMA etc . unamfananisha na mstaafu anayetakiwa awe analipwa pension yake .........mods ondoa hii
 
Sidhani kama hii nayo ni thread ya kuchangia jamani. Precisely, jibu liko wazi kabisa kuwa Dr Slaa ni zaidi ya JK. Dr Slaa ni wa kumpambanisha na Hon. Lowassa tu.
 
Back
Top Bottom