Dk Slaa kuanika hadharani nchi nzima posho za wabunge

Dr. Slaa, mimi nakuunga miguu na mikono yote juu ya hili.

Nampongeza Dr. Slaa kwa uamuzi wa busara aliofanya, na ninamuombea mafanikio katika kuhakikisha kuwa malipo ya wabunge yanakuwa fair na siyo kuwanyonya wananchi. Hata hivyo nina masuali machache:
  1. Dr. Slaa mwenyewe amekuwa mbunge (na hivyo kupokea marupurupu hayo) tangu mwaka 1995. Yaani baada ya kuwa mbunge kwa miaka 13 sasa hivi ndio amegundua kuwa wabunge (including himself) wanalipwa fedha nyingi sana? Kwa nini miaka yote hiyo alikuwa hajagundua hili?
  2. Baada ya kugundua kuwa malipo hayo ni makubwa sana, yeye binafsi amefanya nini na fedha hizo "excess" kwa manufaa ya wapiga kura wake?
 
Huyu jamaa anajimaliza kwa msimamo wake ,maana anaenda kujikwamisha wakati hana moyo wala ubavu wa kuchukua hatua ya kuikataa ,sijui wananchi watamuelewa vipi na ndio hivyo miaka 13 si mchezo ,labda ameona wanachokipokea ni ufisadi sasa ndio inabidi atangaze.
 
Dr bingwa analipwa chini ya milioni moja na nusu mmbunge millioni saba plus marupurupu anaondoka na wastani wa zaidi ya millioni kumi kwa mwezi.

kazi kweli, sasa tunaona sababu kwanini kila mtu anataka kuwa mbunge.

Hilo ndio somo la leo kwani hata mfanyabiashara anataka siasa maana biashara ikiyumba, japo ana tumilioni tusaba kwa mwezi
 
Huyu jamaa anajimaliza kwa msimamo wake ,maana anaenda kujikwamisha wakati hana moyo wala ubavu wa kuchukua hatua ya kuikataa ,sijui wananchi watamuelewa vipi na ndio hivyo miaka 13 si mchezo ,labda ameona wanachokipokea ni ufisadi sasa ndio inabidi atangaze.

Kuna mwenzetu mmoja humu ndani anasema "no matter how far down the wrong road you have gone, just turn back" - THAT IS WHAT DR. SLAA DID, HE REPENTED HIMSELF AND DESERVE APPLAUDS AND ACKNOWLEDGMENT YA KUWEKA WAZI MAMBO
 
Sawa Slaa,
Tuko na wewe BEGA KWA BEGA. Tungelipata wengine wakusaidie kwa hili, lohh kungelifumuka mabadilko makubwa sana. Kweli kuna haja ya kumpa kazi kubwa zaidi Slaa.
wakumsaidia ni sisi...

labda unafikiri kuna nguvu kubwa zaidi ya NGUVU YA UMMA...

Inawezekanaa..
 
Nampongeza Dr. Slaa kwa uamuzi wa busara aliofanya, na ninamuombea mafanikio katika kuhakikisha kuwa malipo ya wabunge yanakuwa fair na siyo kuwanyonya wananchi. Hata hivyo nina masuali machache:
  1. Dr. Slaa mwenyewe amekuwa mbunge (na hivyo kupokea marupurupu hayo) tangu mwaka 1995. Yaani baada ya kuwa mbunge kwa miaka 13 sasa hivi ndio amegundua kuwa wabunge (including himself) wanalipwa fedha nyingi sana? Kwa nini miaka yote hiyo alikuwa hajagundua hili?
  2. Baada ya kugundua kuwa malipo hayo ni makubwa sana, yeye binafsi amefanya nini na fedha hizo "excess" kwa manufaa ya wapiga kura wake?

Namshukuru sana Dr. Slaa, maana sasa kathibitisha ambacho nimekuwa nikikisema mara kwa mara kwamba wabunge wote ni mafisadi. Na sasa ni vizuri kwamba baada ya miaka 13 ya kushiriki uchafu huo, ameamua kurudi kundini. Nina imani haitakuwa ni "Operesheni Sangara" bali ni jambo atakalolijengea hoja hata kama ikiwezekana ndani ya bunge na namhakikishia ataibuka shujaa. HIZO PESA MZIRUDISHE MARA MOJA! Hii haina tofauti na mikataba mibovu ambayo serikali imekuwa ikiisaini na kuliingizia taifa hasara kubwa. WIZI MTUPU.

Na kwa taarifa ni kwamba siyo tu kwamba utakuwa unatueleza jinsi mnavyotunyonya sisi wananchi; hilo tunalijua ... kumbuka mlipotaka kujiongezea mafao mara baada ya Uchaguzi 2005 ... hasira za wananchi umeshazisahau? (Ingawaje baadae mlijiongeze kimya kimya bila kutangaza).

Lakini kama inamchukua mtu miaka 13 kugundua kwamba anawaibia watanzania, tunayo safari ndeeeefu sana!!.

1. hapa

2. hapa

3. hapa

4. hapa

5. hapa

6. hapa
 
Lakini kumbuka kwamba hayo marupurupu mengi yameanza kipindi cha awani hii ya nne, na nakumbuka alipoingia tu madarakani Kikwete wabunge walilalamika kwake kuwa pesa na mshahara wanaopata havitoshi, na wakati ule ilikuwa laki 9 wakipata na marupurupu ilikuwa kama 1.5m tshs tu. Na nakumbuka Kikwete aliwajibu kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaa, na tukampongeza kwa maneno hayo. Kumbe kilichofanyika walikwenda kukaa na kufanya kimya kimya bila vyombo vya habari kujua na hayo ndiyo matokeo. Kwa hiyo Dr. Slaa yupo sahihi na wala hajachelewa kwani huo ndiyo muda wa kuwachuja ili wasigombee tena hadi watuahidi kama watakwenda kubadilisha misimamo hiyo au laa.
 
Back
Top Bottom