Dk. Slaa amlipua Rais Kikwete kwa kujigeuza Ofisa Manunuzi

Kikwete ameigeuza ikulu kuwa kijiwe cha wahuni, walanguzi, majambazi, malaya, walevi, ushirikina, ufisadi na mengine yanayofanana na hayo.


Ikulu inanuka uchafu

Kikwete ame ishusha sana hadhi ikulu mpaka kapten komba nae anataka kua rais...!!!
 
Ukikosa elimu umekosa tu ati unahitaji mtambo wa Mawasiliano Ikulu kupata simu za Slaa... Hizi field za technology zina wenyewe....Huo Dr. Slaa uliosema nasema ni upuuzi ...

We mwenye elimu inakusaidia nini ikiwa unapata taarifa za serikali yako kutaka kuku spy na bado huoni thamani ya anaekustua toka usingizini.
 
Mbowe alipoiuzia Chadema FUSO MBOVU na kujiandikia cheki ya malipo mwenyewe alikuwa Afisa manunuzi?
 
Hivi JK ana wake wangapi vile?
Kwa safari zake za kila dakika i cant imagine how lonely his wives are.
 
Mbowe alipoiuzia Chadema FUSO MBOVU na kujiandikia cheki ya malipo mwenyewe alikuwa Afisa manunuzi?

.
Kwa hiyo unamaanisha kwamba Jk nae anataka kuiuzia ccm helcopter na mitambo mibovu kwa kuwa Mbowe nae alikiuzia fuso mbovu chama chake?
Kwa kweli ukichaa ni mtu kupenda.
.
 
Duh! Tuhuma nziyo sana hizi,

Tunasubiri majibu sahihi.

Kuichia hii ni hatari sana.

Kwa mustakabari wa taifa letu.
 
Back
Top Bottom