Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR

..tatizo ni lenu wenyewe wa-Tanzania.

..mmechagua Raisi bomu.

..hata aje na wateule wenye akili kama za Newton na Einstein, bado imekula kwetu wa-Tanzania.
 
Baba akiwa kichwa na watoto huwa hivyo hivyo...baba akiwa mchezaji mpira na watoto hivyo hivyo..baba akiwa mvuvi na watoto wengine watakuwa wavuvi ..SIMPLE!!!
Kwa nini wabongo mna roho za "kwa nini" na wivu wa kike????30 years at NIMRI and then akakaimu kwa 3 three years and she has got academic qualifications!!! What else mnataka awe nayo??Tuache unafiki ..mwacheni dada wa watu afanye kazi.
CONGRATULATION...Dr. Mwele.
 
Mimi tatizo langu utaalum wake au u-kichwa wake...!

Mimi tatizo langu ni madaraka ya Rais kuteua kila mtu...! Wakurugenzi etc...! Hapa ndio tunahitaji katiba iwe wazi na kupunguza madaraka ya Rais ikiwa ni pamoja na uteuzi anaostahili kufanya. Vyeo kama hivi pamoja na kuhitaji utaalam, uzoefu na upeo vinahitaji pia watu kufanyiwa interviews ili kupima hivo vogezo...! Lasivyo Rais ataendelea kuteua watu kwa lengo la kurudisha fadhila na kufahamiana...!
 
Baba akiwa kichwa na watoto huwa hivyo hivyo...baba akiwa mchezaji mpira na watoto hivyo hivyo..baba akiwa mvuvi na watoto wengine watakuwa wavuvi ..SIMPLE!!!
Kwa nini wabongo mna roho za "kwa nini" na wivu wa kike????30 years at NIMRI and then akakaimu kwa 3 three years and she has got academic qualifications!!! What else mnataka awe nayo??Tuache unafiki ..mwacheni dada wa watu afanye kazi.
CONGRATULATION...Dr. Mwele
.

- Duh! Maneno mazito sana haya mkuuu!

William.
 
Nyie wote mnaochangia ni wafanyakazi wa nimr,kuna makundi kuna Medical Doctor na Scientist ambao sio MD,Kila mmoja ni bora ila Dr MWELE hao watu wako wasanii kwenye kazi kutwa wako mango garden,PR camp, hao kuwa nao makini,
 
Dr mboera kazi anafanya sio mbabaishaji kama dr s k,PM,WK,ENM,wako wengi najua mtachukia
 
Rais Jakaya Kikwete amemteuwa Dk. Mwele Malecela kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa National Institute for Medical Research (NIMR) iliyo chini ya Wizara ya Afya. Dk. Mwele alikuwa ni mtafiti mkuu wa NIMR na amekuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu kwa muda. Ni kijana na mwanamke wa kwanza kuiongoza NIMR. Huyu mama ni kichwa sana na anaweza sana kazi. JK huwa anafanya mapupu mengi sana kwenye uteuzi wake ila hapa kafanya kweli.

Source: channel ten news bulletin leo 7pm

hongera sana
 
Jamani hizi research zinapatikana online? Nimefurahi sana kuziona, kweli nimeamini JF ina kila kitu, NAOMBA MSAADA WA KUZIONA. au hata Hard copy zinapatikana wapi?

Natumai nitapata jibu.
 
Jamani hizi research zinapatikana online? Nimefurahi sana kuziona title lakini hazifunguki ukizi google, kweli nimeamini JF ina kila kitu, NAOMBA MSAADA WA KUZIONA. au hata Hard copy zinapatikana wapi?

Natumai nitapata jibu. Naombeni msaada jamani, NIMEPENDA TITKE ZAKE na itanisaidia Kielimu.
 
Nilihudhuria intense workshop moja ya wiki 3,ilishirikisha young scientists from east and central africa. Dr Mwele alialikwa kama mgeni rasmi na akapresent 'research' paper yake. Kwa kweli kitaaluma yetu as medical scientists sio mkali,alichapwa maswali kama 9 hivi akabaki kuomba misamaha tu.Lunch break nikakaa nae nikapata impresion kua kama alikua anajua huko awali basi scientific knowledge imekua diluted na too much politics. But she is a nice lady and dedicated sana in those aspects NIMR is in ok hands.Hana tamaa za ufisadi.

Alichapwa maswali 9 kati ya mangapi akashindwa?, hata kama yote 9 alijibu hajui inategemea aliulizwa maswali gani. Sio kila uki-present watu huuliza katika areas zako. Mtu anaweza uliza swali kutokana na anachokijua kwa kufananisha na ulicho-present, na kuwa muwazi hutakiwi danganya.
 
Thanks Nsiande. People are overly critical for no reason. Dr. Mwele has really worked hard and she deserves a credit.
 
1) Katika kipindi cha miaka 21 akiwa NIMRI, IMPACT ya tafiti zao zikoje ukiziakisi na Trend ya Infant Mortality Rate nchini mwetu kutokana na magonjwa yanayozuilika nchini kutokana na Malaria???

2) Oanisha pia mafanikio ya tafiti za NIMRI katika kipindi hicho hicho na ongezeko la TB nchini

Bwana Uwezo tunao, tafiti nyingi sana na nzuri zimefanyika katika nchi hii pamoja na mapendekezo mazuri sana kuhusu nyanja zote ikiwemo TB (unaweza kutafuta tu jina KIBIKI Gibson kwny Google utaziona za kutosha)na hata kuzuia MMR kama ulivyofikiri, sio tu chini ya NIMR lakini pia na idara nyingine nyingi mbalimbali ikiwemo KCMC,KCRC,JMP, Kibong'oto-Pale Moshi, Muhimbili, Bugando, Mbeya, Ifakara,,n.k. na kwa taarifa yako tu ni kwamba hakuna tafiti yoyote ya halali inayofanywa nchi hii inayohusu afya ya binadamu bila kupata kibali cha NIMR. Kwa hiyo NIMR ni wasimamizi wa tafiti zote.
Tatizo linakuja kwamba, ushauri wote unaotelewa wa kitaalam, haufanyiwi kazi na serikali unaishia kuwekwa kwenye mashelf hapo MoHSW ndo maana hatuoni impact kubwa..
To my view, i think Malecela is fit for the post,labda hiyo sheria tu ya kwamba lazima awe na MD, while she has BSc-Zoology ndo itamzuia!
 
Ufuatao ni uthibitisho tosha kuwa Mwele ni kichwa and she is highly qualified for this post. I share your concerns kuwa serikalini vyeo vinatolewa ki-ndugu, kwa watoto wa wakubwa, na kila aina ya upendeleo. Ila mkisoma profile yake ifuatayo, nadhani mtakubali huyu mama ni kichwa:


Mwele Malecela, MSc, PhD


Dr. Mwele Malecela is a Chief Research Scientist and Director of Research Coordination and Promotion on the National Institute for Medical Research, Tanzania. She is also Director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program. She holds a BsC in Zoology from the University of Dar-es-Salaam, and an MSc and PhD in Parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine.) Her area of specialization was filarial immunology specifically on filarial immune evasion mechanisms.

Mwele has worked at the National Institute for Medical Research for 21 years, mainly in the field of Lymphatic Filariasis immuno-epidemiology, and has also worked in the areas of Health Systems and Policy Research. As Director of Research at NIMR, Mwele’s focus is now mainly research capacity building and the translation of research into action, policy and practice. She has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.

In her role as Director of the National Lymphatic Filariasis Elimination Program, she brings her long research experience to efforts to eliminate filariasis, and she has run the national program since its inception in 2000. She is well known for her role in advocacy campaigns that have brought to light the real extent of the problem in Tanzania. Mwele is also well known for her efforts in ensuring that the LF program has a strong operation research component and has published extensively in this area.

Mwele has served on a number of international committees including The Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee, and the advisory board of the Initiative on Public-Private Partnerships in Health (IPPPH). She sits on the board of the Aga Kahn Hospital and the International Medical and Technological University, both based in Dar-es-Salaam, Tanzania; and is an adjunct faculty member for the Public Health Sciences Institute of Morehouse College, Atlanta, Georgia, USA.

Source: The Floating Clinic


Dr Mwele Ntuli Malecela

Dr Mwele Ntuli Malecela is Chief Research Scientist, acting Director General and Director of Research Coordination and Promotion of the National Institute for Medical Research, the United Republic of Tanzania.

She is also Director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Programmme. She worked for 23 years at the National Institute for Medical Research in the field of lymphatic filariasis immuno-epidemiology and has run successful programmes for LF patients.

Dr Malecela has several publications in peer reviewed journals.

Source: WHO | Dr Mwele Ntuli Malecela

Hii inajibu hofu za baadhi ya wana JF kusema eti si MD (mwenzio ana phD) au eti hajafanya research (yeye alikuwa Chief Research Scientist wa NIMR kabla ya promotion hii na amefanya research kibao).

NEED I SAY MORE?

Hii kawaida sana, sisi tunataka uadilifu wake na usafi wake katika maswala ya ufisadi. Je yuko safi wenye taarifa na wachunguzi wa JF leteni uovu wake na mazuri yake kama yapo.

Kuwa na elimu si kigezo cha kuwa kichwa katika maswala ya uongozi wa watu wa nchi hii. Ikiwezekana tujue kama anafanya kazi kwa kufuata utaratibu kama tido mhando au kama anafanya kwa maslahi ya chama tawala na maslahi binafsi haya ndiyo mambo ya kuangalia.

Naomba kuwasilisha.
 
Credit should be given where it deserves.. Dr Mwele is capable and qualified for the job, the fact that she also happens to be Mr Malecela's daughter, doesn't mean she was given the post, its just that this place is full of hatred and cynicsm(sp) even to things we are sure of...

Ukiangalia kwa makini hapa naona watu wanashindwa kuweka wazi watoto wa wakulima nao vp?
 
Elitism ya Tanzania ni kubwa mno.
Thus why watu kama akina Malecela,Salim Ahmed Salim,Mwinyi ,Msekwa HAWAWEZI hata siku moja kusema vibaya kuhusu JK,hata aiuze nchi.
Do you think Malecela angukuwa mstari wa mbele kama akina Mwakyembe etc ,huyu mtoto wake angepata haya madaraka

Why?Wanainterests ya watoto na wajukuu zao kwenye madaraka katika serikali.

1.Mwinyi nafikri interest yake mtoto wake Dr Hussein Mwinyi awe RAIS siku moja.Je anaqualify kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT?No way
2.Malecela the same.Ukigoogle Malecela,ana hao watoto :
1.Dr Mwele Macelela ndio huju ameula
2.Mwendwa Malecela ,High Court Judge
3.Secela Malecela ,MD uko USA


3.Msekwa hawezi kusema lolote,maana mtoto wake yuko huko Sweden ubalozi etc etc

Tusishangae sana,ndio norm hapa Tanzania.Huyu Mwele whether ni mzuri au kichwa ,God knows.Tukumbuke elimu na utafiti wetu bado ni mediocre.NIMR is a joke ,kama MUHAS na vyombo vingine

Riz1 one day atakuwa JAJI wa mahakama Kuu ,kama Mwendwa Malecela!
January Makamba anatakuwa Rais wa Jamhuri.
riz1 kuwa jaji na february i mean january kuwa raisi labda wa2 wa type ye2 wazee wa chini kwa chini tumekufa wote...otherwise that will neva happen on this earth, take my world...
 
Kazi za Mkurugenzi mkuu ni kusimamia shirika ili lifikie malengo yake. Sasa ukali wa utafiti mnaoutaka unasaidia kwenye general management and administration? Kama kuna watafiti wanaomzidi ni bora wakabaki kuwa watafiti badala ya kuwahamishia kwenye kazi za kiutawala.
 
Huyu mama ametumia vibaya fedha za miradi aliyokuwa anaratibu hasa ule wa mabusha; katibu mkuu wa wizara ya afya alipokuwa anathibiti hali hiyo yeye akakimbilia kupika majungu kuwa anafuatwa fuatwa kwa kuwa baba yake ni tinga tinga! Ukweli ni kwamba sio muadilifu na mtamlaumu Blandina Nyoni bure kwa kutimiza wajibu wake kwa nchi yake!! Kaza buti mama Nyoni wasikutishe na ubabaishaji wao.
 
Rais Jakaya Kikwete amemteuwa Dk. Mwele Malecela kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa National Institute for Medical Research (NIMR) iliyo chini ya Wizara ya Afya. Dk. Mwele alikuwa ni mtafiti mkuu wa NIMR na amekuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu kwa muda. Ni kijana na mwanamke wa kwanza kuiongoza NIMR. Huyu mama ni kichwa sana na anaweza sana kazi. JK huwa anafanya mapupu mengi sana kwenye uteuzi wake ila hapa kafanya kweli.

Source: channel ten news bulletin leo 7pm
Anastahili...anapiga kazi ka mchwa.... ananalala masaa manne kwa siku!!:whoo:
 
Nampongeza kwa dhati.

Ila nilishawahi kutonywa kuwa Sheria iliyoanzisha NIMR inataja kuwa DG wake lazima awe na MD na huyu mama ninavyosikia hana hiyo MD (wanaojua please tuelezeni yalivyo). Sina maana kuwa yeye siyo capable, bali ningependa kuweka records clear.

Siyo lazima AWE NA MD ILA NI LAZIMA AWE NA PHD onn health related subjects
 
Back
Top Bottom