kwenye chanjo ya matende na mabushaMafanikio aliyowahi kuletea taifa katika kuwajibika kwake kwenye nyadhifa mbali mbali huku siku za nyuma plz???????????
Mwele is a brilliant girl. I am not sure if the powers that be have ignored other good performers in her Institute, but bearing the name of 'Malecela' should not disqualify her from promotion.
We would be practicing discrimination by the reverse gear if children of prominent personalities in the public services were barred from consideration. What is needed is transparent, objective and fair consideration of all elligible candidates.
Congratulations Dr Mwele Malecela. Try to prove by performance that you deserved it.
Enyi Majuha msio mjua Mwele mkae kimya! She is splendid Tanzanian lady with intelectual ability nimefanya naye kazi in professional level for the past 4 years! Shes sweet kwa kazi hata Nov nilikuwa naye Atlanta! Enyi wajungu mpongezeni Kikwete ! Pole Mboera Dr , endelea na ushirikina. We need a transformation in NIMR
Credit should be given where it deserves.. Dr Mwele is capable and qualified for the job, the fact that she also happens to be Mr Malecela's daughter, doesn't mean she was given the post, its just that this place is full of hatred and cynicsm(sp) even to things we are sure of...
Nchi hii bwana!!!! Ukiwa mtoto wa mkubwa basi hutakiwi kupata kazi nzuri, kupandishwa cheo, ubunge na uwaziri ndo aaaaaaaa. Somesheni watoto wenu na nyie ili waje kupata vyeo sio mnabaki kusimanga watoto wa wakubwa. Sioni kwanini watu wana urgue Mwele kupewa nafasi ya DG. Mwele has been with the institute for almost 30 years, very well educated in the field, long experience in different capacities. N apia position ya Acting DG amekaa miaka kama mitatu tangu Dr Kitua astaafu. Kitu ambacho ningependa tu urgue strongly ni ufanisi wa NIMR.
Ila ktk vyote mi macho yake yanavutia,kama kanywa valuu
Dr Wele Malecela si 'kichwa' kama alivoonekana kudai mwenzetu hapa.
Kwa mujibu wa kumbukumbu za NIMRI ya machapisho ya tafiti kwenye li-jarida lao kati ya 1980 hadi 2009 (takriban miaka 28) , huyu mama anaonekana kuchangia sehemu ndogo sana pale. Katika pita pita zangu mle nimeona wachangiaji machapisho amba majina yao yanarudia rudia sana wakiwa ni wengine kabisa. Sasa huu ukichwa ...
Labda kama kuna sifa nyinginezo mbali na kuwa mtoto wa 'Katapila' na basi mtujuze humu.
http://www.nimr.or.tz/documents/PUBLICATION-NIMR- BY YEAR.pdf
15) Malecela, M.N., Lazarus, W, Mwingira U, Mwakitalu E, Makene C, Kabali
C, Mackenzie C. Eliminating LF: A progress report from Tanzania. Journal
of Lymphoedema 2009; 4(1), .
hawaelewi ni kwa nini nilisema ninammudu! Hofu yangu ..
Bongo celebrity..inahusu vp mkuu?/
Bongo celebrity..inahusu vp mkuu?/
Re: Dk. Mwele Malecela ateuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIMR
hawaelewi ni kwa nini nilisema ninammudu! Hofu
- ???????????????
William.
mkuu hujasomeka bado....
Nampongeza kwa dhati.
Ila nilishawahi kutonywa kuwa Sheria iliyoanzisha NIMR inataja kuwa DG wake lazima awe na MD na huyu mama ninavyosikia hana hiyo MD (wanaojua please tuelezeni yalivyo). Sina maana kuwa yeye siyo capable, bali ningependa kuweka records clear.
anakukumbusha Amina, hujaelewa tu kwamba unadhaniwa wewe ni Zito?
Huna lote wewe! Ubinafsi umekuja!
- Well, maneno mazito tena hayo mkuu, sawa sawa!
William.
Rais Jakaya Kikwete amemteuwa Dk. Mwele Malecela kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa National Institute for Medical Research (NIMR) iliyo chini ya Wizara ya Afya. Dk. Mwele alikuwa ni mtafiti mkuu wa NIMR na amekuwa akikaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu kwa muda. Ni kijana na mwanamke wa kwanza kuiongoza NIMR. Huyu mama ni kichwa sana na anaweza sana kazi. JK huwa anafanya mapupu mengi sana kwenye uteuzi wake ila hapa kafanya kweli.
Source: channel ten news bulletin leo 7pm