Diwani wa CHADEMA mji wa Tunduma ashikiliwa kwa zaidi ya saa 10

ouagadougou

Member
Sep 12, 2012
5
1
Kutokana na yaliyojiri juzi mji mdogo wa Tunduma, polisi walimshikilia Diwani Frank Mwakajoka wa Chadema tangu saa 3 asubuhi. Ajabu ni kwamba yaliyotokea juzi ni mgogoro wa kuchinja kati ya Wakristo na waislamu. Diwani aliyekuwa na kikao shule ya sekondari mpakani aliambiwa kuhusu yaliyokuwa yakiendelea, ifahamike kuwa shule ya sekondari ya mpakani iko nje kidogo ya mji. Diwani huyo wa CHADEMA aliamua kuacha kikao hicho kinachotokana na vurugu za wanafunzi zilizofanywa hivi karibuni akaelekea Polisi na akamwambia RPC uitishe mkutano wa wananchi ili wazungumze nao, RPC aligoma kwa sababu anazozijua. vilevile ifahamike siku moja kabla ya juzi Mkuu wa mkoa Abbas Kandoro alikaa na viongozi wa dini katika Hotel ya Ukinga Hill ili kupata hatma ya tatizo.

baada ya kukosekana kwa muafaka mkuu huyo wa mkoa aliamuru "KILA MTU ALE VYAKE". ushahidi wa CD upo.

Baada ya mkutano huo ilipofika asubuhi ya siku ya jumatano wakristo waliwahi asubuhi kuchinja na wakakuta kuna askari polisi na kuwa wameagizwa wawazuie kuchinja. hali hiyo ilipelekea wakristo kuzuia nyama ya waislamu kuuzwa na hapo vurugu zikaanza. ikumbukwe waislamu katika mji wa Tunduma ni asilimia 1%

Ajabu ni kwamba diwani alishikiliwa Polisi mtu asiyehusika na lolote katika mgogoro

Vile vile ifahamike kuwa askari polisi jana walipora wananchi fedha nyingi na simu za mkononi leo nimekutana na mama ambaye aliingiliwa nyumbani kwake na m aaskari hao na akaporwa shilingi milioni moja ambazo ni ada ya mtoto wake ambaye shule inafunguliwa siku chache zijazo baada ya likizo ya pasaka. alipowang'ang'ania walimrudishia laki saba na wakaondoka na laki 3 pia ushahidi upo. (kumbuka alifuatwa nyumbani usiku, mama asiyejua lolote na leo amemfuata Mbunge na akaonyesha karatasi aliyotoka nayo polisi na kusimulia kisa chote.

MY TAKE:

Kwa kuwa mji wa Tunduma na Jimbo la Momba yanaongozwa na CHADEMA. CCM kupitia makada wake hao inatakakuutumia mgogoro huu ambao ni wa kitaifa ili kuwapumbaza wananchi na kuionea CHADEMA.

Mwenyekiti wa CCM bwana JUMA MWANDUSU yuko tayari kutumia mbinu zozote chafu kama afanyavyo mwigulu Nchemba ili kuwapa moyo mabosi wake kuwa anafanya kazi kubwa ya kuirudisha CCM kwenye chati. Ukorofi huu hauvumiliki.
 
Narudia kusema kwa sasa hatuna Jeshi la Polisi bali tuna Genge la wahalifu linalokubali kutumiwa kama Condom na CCM.

Poor CCM!!!
 
Natoa wito kwa watanzania wote kuanzia sasa kuchukua hatua hizi popote pale wanapowaona Polisi, Viongozi wa Nchi na CCM
1/Kuwazomea mpaka waabike.

2/Kuwaonyesha vidole viwili juu kama alama ya CHADEMA

3/Kuwapigia makofi mengi mengi ya dhihaka.

4/Kusema kwa nguvu Slogan ya Peopleeeee's Poweeeeer!!

5/Kuwaimbia wimbo wa kuwadhihaki wa ''Mafisadi Mafisadi Mafisadi.....''
 
Na ile kauli ya baba mwanaasha msilitegemee jeshi la polisi ilikuwa ni kukwepa lawama kama kawaida yake lakini upande wa pili ndivyo wanavyofanya....
Unafiki ndio jadi ya masisiem!!!!
 
Hivi tutaendelea kulalamika hadi lini? Tuchukue hatua sasa. Hawa Polisi wanalipwa mishahara kwa jasho letu, halafu haohao wanarudi kutuonea. Ifike mahali tuchoke na "tutake" action. Vinginevyo Polisi hawatashika adabu, hawatajua thamani yetu.
 
Kutokana na yaliyojiri
juzi mji mdogo wa Tunduma, polisi walimshikilia Diwani Frank Mwakajoka
wa Chadema tangu saa 3 asubuhi. Ajabu ni kwamba yaliyotokea juzi ni
mgogoro wa kuchinja kati ya Wakristo na waislamu. Diwani aliyekuwa na
kikao shule ya sekondari mpakani aliambiwa kuhusu yaliyokuwa
yakiendelea, ifahamike kuwa shule ya sekondari ya mpakani iko nje
kidogo ya mji. Diwani huyo wa CHADEMA aliamua kuacha kikao hicho
kinachotokana na vurugu za wanafunzi zilizofanywa hivi karibuni
akaelekea Polisi na akamwambia RPC uitishe mkutano wa wananchi ili
wazungumze nao, RPC aligoma kwa sababu anazozijua. vilevile ifahamike
siku moja kabla ya juzi Mkuu wa mkoa Abbas Kandoro alikaa na viongozi
wa dini katika Hotel ya Ukinga Hill ili kupata hatma ya tatizo.

baada ya kukosekana kwa muafaka mkuu huyo wa mkoa aliamuru "KILA MTU ALE
VYAKE". ushahidi wa CD upo.

Baada ya mkutano huo ilipofika asubuhi ya siku ya jumatano wakristo
waliwahi asubuhi kuchinja na wakakuta kuna askari polisi na kuwa
wameagizwa wawazuie kuchinja. hali hiyo ilipelekea wakristo kuzuia nyama
ya waislamu kuuzwa na hapo vurugu zikaanza. ikumbukwe waislamu katika
mji wa Tunduma ni asilimia 1%

Ajabu ni kwamba diwani alishikiliwa Polisi mtu asiyehusika na lolote
katika mgogoro

Vile vile ifahamike kuwa askari polisi jana walipora wananchi fedha
nyingi na simu za mkononi leo nimekutana na mama ambaye aliingiliwa
nyumbani kwake na m aaskari hao na akaporwa shilingi milioni moja ambazo
ni ada ya mtoto wake ambaye shule inafunguliwa siku chache zijazo
baada ya likizo ya pasaka. alipowang'ang'ania walimrudishia laki saba
na wakaondoka na laki 3 pia ushahidi upo. (kumbuka alifuatwa nyumbani
usiku, mama asiyejua lolote na leo amemfuata Mbunge na akaonyesha
karatasi aliyotoka nayo polisi na kusimulia kisa chote.

MY TAKE:

Kwa kuwa mji wa Tunduma na Jimbo la Momba yanaongozwa na CHADEMA. CCM
kupitia makada wake hao inatakakuutumia mgogoro huu ambao ni wa kitaifa
ili kuwapumbaza wananchi na kuionea CHADEMA.

Mwenyekiti wa CCM bwana JUMA MWANDUSU yuko tayari kutumia mbinu zozote
chafu kama afanyavyo mwigulu Nchemba ili kuwapa moyo mabosi wake kuwa
anafanya kazi kubwa ya kuirudisha CCM kwenye chati. Ukorofi huu
hauvumiliki.

hatimaye imethibitika kwamba chokochoko za kidini zinapewa ushawishi na wafuasi wa Chadema
 
CDM acheni udiniudini noma!.hamtashika dola kwakuwategemea upande mmoja ni sawa na maji kupanda mlimani,msipojiangalia mtaongeza wabunge maeneo ambayo waumini wa dini moja wapo wengi.
 
Kutokana na yaliyojiri juzi mji mdogo wa Tunduma, polisi walimshikilia Diwani Frank Mwakajoka wa Chadema tangu saa 3 asubuhi. Ajabu ni kwamba yaliyotokea juzi ni mgogoro wa kuchinja kati ya Wakristo na waislamu. Diwani aliyekuwa na kikao shule ya sekondari mpakani aliambiwa kuhusu yaliyokuwa yakiendelea, ifahamike kuwa shule ya sekondari ya mpakani iko nje kidogo ya mji. Diwani huyo wa CHADEMA aliamua kuacha kikao hicho kinachotokana na vurugu za wanafunzi zilizofanywa hivi karibuni akaelekea Polisi na akamwambia RPC uitishe mkutano wa wananchi ili wazungumze nao, RPC aligoma kwa sababu anazozijua. vilevile ifahamike siku moja kabla ya juzi Mkuu wa mkoa Abbas Kandoro alikaa na viongozi wa dini katika Hotel ya Ukinga Hill ili kupata hatma ya tatizo.

baada ya kukosekana kwa muafaka mkuu huyo wa mkoa aliamuru "KILA MTU ALE VYAKE". ushahidi wa CD upo.

Baada ya mkutano huo ilipofika asubuhi ya siku ya jumatano wakristo waliwahi asubuhi kuchinja na wakakuta kuna askari polisi na kuwa wameagizwa wawazuie kuchinja. hali hiyo ilipelekea wakristo kuzuia nyama ya waislamu kuuzwa na hapo vurugu zikaanza. ikumbukwe waislamu katika mji wa Tunduma ni asilimia 1%

Ajabu ni kwamba diwani alishikiliwa Polisi mtu asiyehusika na lolote katika mgogoro

Vile vile ifahamike kuwa askari polisi jana walipora wananchi fedha nyingi na simu za mkononi leo nimekutana na mama ambaye aliingiliwa nyumbani kwake na m aaskari hao na akaporwa shilingi milioni moja ambazo ni ada ya mtoto wake ambaye shule inafunguliwa siku chache zijazo baada ya likizo ya pasaka. alipowang'ang'ania walimrudishia laki saba na wakaondoka na laki 3 pia ushahidi upo. (kumbuka alifuatwa nyumbani usiku, mama asiyejua lolote na leo amemfuata Mbunge na akaonyesha karatasi aliyotoka nayo polisi na kusimulia kisa chote.

MY TAKE:

Kwa kuwa mji wa Tunduma na Jimbo la Momba yanaongozwa na CHADEMA. CCM kupitia makada wake hao inatakakuutumia mgogoro huu ambao ni wa kitaifa ili kuwapumbaza wananchi na kuionea CHADEMA.

Mwenyekiti wa CCM bwana JUMA MWANDUSU yuko tayari kutumia mbinu zozote chafu kama afanyavyo mwigulu Nchemba ili kuwapa moyo mabosi wake kuwa anafanya kazi kubwa ya kuirudisha CCM kwenye chati. Ukorofi huu hauvumiliki.

muslim tunduma 1%....hivi nyie si ndo mlikataa kipengele cha dini kwenye sensa sasa ya tunduma mmejuaje?
 
2010 Jk ndi alieaisisi siasa za udini, mbona hakamatwi!
we taahira kikwete ndo aliyeenda kuwaambia wachungaji wawaambie waumini wao wachague wakirsto? case study, mfano wa wazi kabisa ni kule kwa zitto. kwa nini mnaspin ukweli? mirembe panakufaa na utaahira wako.
 
Yaani mnazidi kumprove ni kwa njinsi gani CDM mnalipenda hili la udini kwa manufaa yenu ya kisiasa! 1% inatoka wapi ss , ndo maana mliharibu msikiti kwa kuwa nyinyi ni wengi ehee.
 
TanganyikaTANU

5th April 2013 10:11
#2 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 22nd December 2012
Posts : 616
Rep Power : 439
Likes Received316
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Re: Diwani wa CHADEMA mji wa Tunduma ashikiliwa kwa zaidi ya saa 10[/h]
Narudia kusema kwa sasa hatuna Jeshi la Polisi bali tuna Genge la wahalifu linalokubali kutumiwa kama Condom na CCM.

Poor CCM!!!​

  • ANGALIA WEWE UNATAKA KUINGILIA HADI KAZI ZA DOLA! ZOMBII WEEE!!:shut-mouth:
 
We Tanganyika TANU hebu wacha kuwa Zombi na naamini mmoja wa familia yenu ndiye aliyechora Zombi katika mitihani ya kidato cha nne ya 2012. ZOMBI WEE UNAINGILIA HADI KAZI ZA VYOMBO VYA DOLA? AMA KWELI HIKI CHAMA NI HATARI KWA TAIFA LETU TUKUFU.:shut-mouth:

Re: Diwani wa CHADEMA mji wa Tunduma ashikiliwa kwa zaidi ya saa 10

Narudia kusema kwa sasa hatuna Jeshi la Polisi bali tuna Genge la wahalifu linalokubali kutumiwa kama Condom na CCM.

Poor CCM!!!​

  • ANGALIA WEWE UNATAKA KUINGILIA HADI KAZI ZA DOLA! ZOMBII WEEE!!:shut-mouth:
 
muslim tunduma 1%....hivi nyie si ndo mlikataa kipengele cha dini kwenye sensa sasa ya tunduma mmejuaje?

Nilidhani katika kila mtaa wakazi tunajuana Wakristo ni wangapi, na Waislamu ni wangapi.
Hauhitaji wataalam wa sensa kutoka Dar es Salaam kukwambia mko wangapi mahali unapoishi.
 
Tuwaacheni polisi wafanye kazi yao!
user-online.png
TanganyikaTANU

5th April 2013 10:23
#4
JF Senior Expert MemberArray

Join Date : 22nd December 2012
Posts : 620
Rep Power : 440
Likes Received316
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Re: Diwani wa CHADEMA mji wa Tunduma ashikiliwa kwa zaidi ya saa 10[/h]
Natoa wito kwa watanzania wote kuanzia sasa kuchukua hatua hizi popote pale wanapowaona Polisi, Viongozi wa Nchi na CCM
1/Kuwazomea mpaka waabike.

2/Kuwaonyesha vidole viwili juu kama alama ya CHADEMA

3/Kuwapigia makofi mengi mengi ya dhihaka.

4/Kusema kwa nguvu Slogan ya Peopleeeee's Poweeeeer!!

5/Kuwaimbia wimbo wa kuwadhihaki wa ''Mafisadi Mafisadi Mafisadi.....''​

Back
Top Bottom