Diwani wa CHADEMA mbaroni kwa KUMBAKA YATIMA

Umeona ukiandika Diwani wa Chadema ndio habari yako itapata msisimko au sio. Sio mbaya lakini acha afunguliwe mashtaka na ukweli utajulikana ila kwa taarifa yako hataukumiwa kwa mrengo wa chama bali atahukumiwa kama raia mwingine.
 
Minafikiri huyo ni msichana wa umri wa miaka kumi na tisa ( 19 )na sio yatima anglia Rais wa migomo

mkuu,mi nimenukuu kama ilivyotoka kwenye news,hata hivyo miaka 19 ni haimuondoi yy kuwa yatima kama hana wazazi
 
Umeona ukiandika Diwani wa Chadema ndio habari yako itapata msisimko au sio. Sio mbaya lakini acha afunguliwe mashtaka na ukweli utajulikana ila kwa taarifa yako hataukumiwa kwa mrengo wa chama bali atahukumiwa kama raia mwingine.

acha kutumia viungo visivyostahili katka kufikiri.
mimi nimechukua hyo kwny gazeti na ITV wameonyesha sasa kama unawashwa ni PM.
 
Ndio maana hawa jamaa hawaoiiii?? Ndio kazi yao! Mnyika, Sugu, kabwe na Kikongwe, oeni jamani msije mkafanya kama huyu mheshimiwa diwani!

Kweli bwana, unaakili sana wewe!!
Waoe kama Kikwete anavyojua kuoa....anaoa wakuu wa wilaya, wakurugenzi, anatoroka hadi Ikulu na kwenda Magomeni au Slip way na washiokaji wa zamani kwenda kuoa!! safi sana kaka uko sahihi!
 
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia yatima na baadaye kumuomba rushwa ya ngono.

yatima huyo aitwaye Sylvia Kigola (19) alienda kulalamika polisi kwamba alipoenda kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kuandikiwa barua ya dhamana kwa ajili ya kwenda kuomba kazi ndipo mwenyekiti huyo alimgeuzia kibao na kumbaka.

Amefunguliwa kesi jalada no.KJN/RB/1117/2012.

Tukio hilo lilishuhudiwa na waandishi mbalimbali wa habari akiwemo wa ITV.

Source:taifa letu Tarehe 17.02.2012 ukurasa wa kwanza.

My take:Ni aibu kwa kiongozi wa umma kufanya kitendo kama hiki.hatua kali za kisheria zichukuliwe baada ya kuthibitika.

Propaganda.!
 
Ndio maana hawa jamaa hawaoiiii?? Ndio kazi yao! Mnyika, Sugu, kabwe na Kikongwe, oeni jamani msije mkafanya kama huyu mheshimiwa diwani!

Mh yani ukipita mchujo wa kuwatoa member nitapiga kampeni utolowe wewe fast.coz unachangia sijui kiushabiki.kosa la kubaka linaingiaje kwenye chama?pia huwezi kusema makosa ya ufisadi wa ccm kwa viongozi wake ufananishwe na hili.kwanza lazima ujue hata kama angembaka kweli bado angekua amefanya kosa binafs ambalo halihusiani na chama chake kimsingi.ila chama wanahaki ya kumuengua kwa kua si muadilifu.kuhusu kubakwa kwahuyu bint binafs nasema hakubakwa tena hapakua na issue ya barua.kwa kwa sababu kuu zifatazo.1 guest ina uhusiano gani na office.inamana hakujua kua ile ni guest wakati anaingia au hapajaekwa bango lakuonyesha kua ile ni guest?pia ina maana huyo mwenyekiti hana office au nyumba anayoish mpaka wakutane guest?mwisho inamaana mpaka wanafika guest hiyo hamuoni kua walikua na miadi?ukizingatia umri wa bint huyo ni dhahri hajabakwa ila niwapenz hawa.sema kuna kitu wamekosana dem akamua kumuoshea
 
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia yatima na baadaye kumuomba rushwa ya ngono.

yatima huyo aitwaye Sylvia Kigola (19) alienda kulalamika polisi kwamba alipoenda kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kuandikiwa barua ya dhamana kwa ajili ya kwenda kuomba kazi ndipo mwenyekiti huyo alimgeuzia kibao na kumbaka.

Amefunguliwa kesi jalada no.KJN/RB/1117/2012.

Tukio hilo lilishuhudiwa na waandishi mbalimbali wa habari akiwemo wa ITV.

Source:taifa letu Tarehe 17.02.2012 ukurasa wa kwanza.

My take:Ni aibu kwa kiongozi wa umma kufanya kitendo kama hiki.hatua kali za kisheria zichukuliwe baada ya kuthibitika.

kigogo wa bakwata aliyekamatwa mwanza kwa kukwepa kodi ulimtetea kwa nguvu zako zote lakini chadema hatua kali za kisheria zichukuliwe. Nina mashaka na post zako tangu umejiunga JF
 
Rais wa Migomo ana kadi ya CCM hapo amelenga chadema huo ubakaji ni janja yake tu. Fungueni post zake za nyuma utaona mengi kuhusu mtazamo wake dhidi ya chadema.
 
kiongozi yeyote wa umma anapofanya kitu kisicho cha kawaida tunapaswa kukemea kwa nguvu zote bila kujali itikadi za siasa.tufikirie mambo kama taifa sio chama au umimi au urafiki
 
Rais wa Migomo ana kadi ya CCM hapo amelenga chadema huo ubakaji ni janja yake tu. Fungueni post zake za nyuma utaona mengi kuhusu mtazamo wake dhidi ya chadema.

peke yake,usinihukum kwa kuangalia post au kuniangalia mimi.angalia uzito wa hoja..imeandikwa kwenye vyombo vya habari mimi nimenukuu,u ccm wangu apo uko wapi kaka???????????mbona unanionea??????????????
 
Rais wa Migomo ana kadi ya CCM hapo amelenga chadema huo ubakaji ni janja yake tu. Fungueni post zake za nyuma utaona mengi kuhusu mtazamo wake dhidi ya chadema.

jadili hoja usijadili jina langu,wewe ndio unabaka demokrasia kwa ku assassinate character yangu,na kwa hili unapaswa kuniomba radhi.
 
kigogo wa bakwata aliyekamatwa mwanza kwa kukwepa kodi ulimtetea kwa nguvu zako zote lakini chadema hatua kali za kisheria zichukuliwe. Nina mashaka na post zako tangu umejiunga JF

sitetei uovu hata siku moja.kwanza umesoma hilo taifa letu au unanishambulia tu kaka kwa kuwa mimi ndo nimeleta hiyo thred apa jukwaani.kiongozi yeyote awe wa dini au wa kisiasa au wa serikali anapaswa kulaaniwa anapoenenda kinyume na maadili ya jamii yetu
 
Myaka 19 ni mtu mzima, kwa mjibu wa sheria za nchi yetu, kama waliridhiana ni swadaktaaaa!. Pia mazingira ya kwamba alienda mwenyewe hadi kuingia gest uckute kulikuwa na makubaliano mazuri.

Nachelelea kumlaumu jamaa uckute wabaya wake ndo wamemtibulia dili (maji taka!). Labda kama alijaribu kumlazimisha kwanamna yoyote ile, lakini kwa umri hiyo ni chakula tosha kabisaaa!

Sylvia alisema kuwa february 7,mwaka huu alikwenda nyumbani kwa mwenyekiti huyoambako ndipo ilipo ofisi yake ya serikali ya mtaa ili kuomba aandikiwe barua hiyo tena akiwa ameongozana na mama mwenye nyumba wake aitwae Mama Hawa...badala ya kumwandikia barua alitoa maelezo ambayo ilishindikana kupatikana kupatikana kwa siku hiyo....
 
kuna wakati, kosa la mtu liwe la mtu mwenyewe lisiunganishwe na dini au chama anachofungamana nacho.

maana hakuna chama au dini ambayo inafurahia maovu

Hakuna jamii yoyote inayokubali maovu na uovu wa aina yoyote hauvumiliki katika dini yoyote na hata vyama vya siasa.... kwa kuwa kiongozi huyu anaongoza jamiii isiyokubali maovu....uovu wake hautenganishwi na uongozi wake na kwa hiyo hafai kuwa Kiongozi.
 
Back
Top Bottom