Diwani wa CHADEMA mbaroni kwa KUMBAKA YATIMA

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia yatima na baadaye kumuomba rushwa ya ngono.

yatima huyo aitwaye Sylvia Kigola (19) alienda kulalamika polisi kwamba alipoenda kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kuandikiwa barua ya dhamana kwa ajili ya kwenda kuomba kazi ndipo mwenyekiti huyo alimgeuzia kibao na kumbaka.

Amefunguliwa kesi jalada no.KJN/RB/1117/2012.

Tukio hilo lilishuhudiwa na waandishi mbalimbali wa habari akiwemo wa ITV.

Source:taifa letu Tarehe 17.02.2012 ukurasa wa kwanza.

My take:Ni aibu kwa kiongozi wa umma kufanya kitendo kama hiki.hatua kali za kisheria zichukuliwe baada ya kuthibitika.
 
kuna wakati, kosa la mtu liwe la mtu mwenyewe lisiunganishwe na dini au chama anachofungamana nacho.

maana hakuna chama au dini ambayo inafurahia maovu
 
Ikithibitika na mahakama Chama kichukuwe hatua Mbona wizi wa akina fulani unahusisishwa na CCM
 
binti huyo alieleza kuwa wakiwa chumba no.D katika guest iitwayo Hisani badala ya kumwandikia barua anayohitaji,mwenyekiti huyo alianza kumweleza kuwa anampenda sana kimapenzi na kwamba asiwe na wasiwasi na zaidi ya hilo atamfanyia mambo makubwa huko mbele ya safari
 
Minafikiri huyo ni msichana wa umri wa miaka kumi na tisa ( 19 )na sio yatima anglia Rais wa migomo
 
binti huyo alieleza kuwa wakiwa chumba no.D katika guest iitwayo Hisani badala ya kumwandikia barua anayohitaji,mwenyekiti huyo alianza kumweleza kuwa anampenda sana kimapenzi na kwamba asiwe na wasiwasi na zaidi ya hilo atamfanyia mambo makubwa huko mbele ya safari

I don't condone this barbaric act, lakini huyo binti nae alikwendaje guest house? Kama ni kweli aliingia chumba cha guest house wakati shida yake ni ya kiofisi then tatizo ni kubwa zaidi kwa Watanzania kuliko nilivyokuwa nafikiri awali! At 19 years binti asing'amue kitu ambacho kingekuwa most likely kutokea kwa yeye kuingia faragha wakati tatizo lake ni public?
 
Ikithibitika na mahakama Chama kichukuwe hatua Mbona wizi wa akina fulani unahusisishwa na CCM

Wewe ndo unafikiria kwakutumia masaburi kabisa wala hata jf haikufai unatakiwa upite mchujo na kuondoa baadhi ya memba kama wewe
 
kuna wakati, kosa la mtu liwe la mtu mwenyewe lisiunganishwe na dini au chama anachofungamana nacho.

maana hakuna chama au dini ambayo inafurahia maovu

vizuri sana kama unajua kosa la mtu au tabia ya mtu binafsi huwezi husisha na dini yake au chama chake,kumbe ata hawa jamaa wa CCM wanaoharibu hawatumwi na chama ni tabia zao wenyewe na ndiyo maana ikithibitika kiongozi amekosa au kusemwasemwa na watu kwa jambo fulani CCM ata kama haijathibitishwa chama kinamwambia akae pembeni asipotoka chama kitamtoa kwa taratibu zake zilizopo!
 
Diwani wa kata ya kijitonyama (Dsm) ambaye pia ni mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kupitia CHADEMA Juma Athman Uloleulole, amedakwa na polisi na kufikishwa kituoni kwa kosa la kumdhalilisha kijinsia yatima na baadaye kumuomba rushwa ya ngono.

yatima huyo aitwaye Sylvia Kigola (19) alienda kulalamika polisi kwamba alipoenda kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Ally maua kuandikiwa barua ya dhamana kwa ajili ya kwenda kuomba kazi ndipo mwenyekiti huyo alimgeuzia kibao na kumbaka.

Amefunguliwa kesi jalada no.KJN/RB/1117/2012.

Tukio hilo lilishuhudiwa na waandishi mbalimbali wa habari akiwemo wa ITV.

Source:taifa letu Tarehe 17.02.2012 ukurasa wa kwanza.

My take:Ni aibu kwa kiongozi wa umma kufanya kitendo kama hiki.hatua kali za kisheria zichukuliwe baada ya kuthibitika.

kwahiyo mwandishi wa ITV alikua akishuhudiwa Binti akibakwa ama....................

tabia ya mtu binafs haiwakilish tabia za chama,kabila,wala dini. km kosa ametenda achukuliwe hatua kali.
 
Ikiwa ni pamoja na kufukuzwa Udiwani. Hatuwezi kuwa na kiongozi bakabaka... Tunapokuwa kiongozi kuna haja ya kubadili tabia coz wengine wanaweza kuja hata kwa nia mbaya ya kukuharibia kisiasa...
 
vizuri sana kama unajua kosa la mtu au tabia ya mtu binafsi huwezi husisha na dini yake au chama chake,kumbe ata hawa jamaa wa CCM wanaoharibu hawatumwi na chama ni tabia zao wenyewe na ndiyo maana ikithibitika kiongozi amekosa au kusemwasemwa na watu kwa jambo fulani CCM ata kama haijathibitishwa chama kinamwambia akae pembeni asipotoka chama kitamtoa kwa taratibu zake zilizopo!
Mkuu nimekubaliana na wewe kwa hili, ila shida ipo pale tu taratibu zilizopo hazitumiki. Kulindana ndio kunaviponza vyama vyetu hasa Magamba, tujaribu kuangalia hata ile confidence ya Nape kuzunguka mikoani na Operation vua Gamba..output zero only Rostam aliamua mwenyewe kuondoka..na kwa sasa Nape wala hasubutu kuingelea tena hiyo kitu kwenye jukwaa...
 
Ndio maana hawa jamaa hawaoiiii?? Ndio kazi yao! Mnyika, Sugu, kabwe na Kikongwe, oeni jamani msije mkafanya kama huyu mheshimiwa diwani!
 
Myaka 19 ni mtu mzima, kwa mjibu wa sheria za nchi yetu, kama waliridhiana ni swadaktaaaa!. Pia mazingira ya kwamba alienda mwenyewe hadi kuingia gest uckute kulikuwa na makubaliano mazuri.

Nachelelea kumlaumu jamaa uckute wabaya wake ndo wamemtibulia dili (maji taka!). Labda kama alijaribu kumlazimisha kwanamna yoyote ile, lakini kwa umri hiyo ni chakula tosha kabisaaa!
 
Back
Top Bottom